Mbunge mwenye uchungu wa kweli

Dume la Mende

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
423
64
Naomba nimjue Mbunge mwenye uchungu wa kweli wa nchi yetu:

  • Ambaye amekataa ule mkopo wa mamilioni (up to 200 mil) payable in 5 years?
  • Ambaye amekaa kuchukua mkopo wa gari wa milioni 90? Lema? Anybody knows?
  • Ambaye amekataa mshahara mkubwa wanaopata, au kutoa japo robo ya mshahara huo kuelekeza sehemu fulani jimboni mwake japo kwa mwaka mmoja?
Kama hakuna, basi mujue kwamba wote hawa ni sawa tu, tunawapepea tu wao wanakula kiulaini mnoo. Hakuna cha CDM,CCM,CUF,NCCR etc wote hawa ni walaji tu. Sisi huku tunabaki na ushabiki na kutoleana matusi na chuki, kashfa nk. Wenzetu wala. Tumeliwa kekundu.
Fikiri kwa makini utaona.
 
Kila mtu anapenda kulipwa vizuri...ila kuna watu wanataka kulipwa vizuri kazi hawafanyi/hawawezi! Siwezi kumhukumu mbunge yeyote atakayedaka mamilioni ya ubunge halafu akatimiza wajibu wake i.e kutetea maslahi ya watu wa jimbo lake na Tanzania kwa ujumla, ila nina tatizo na mbunge anayedaka hela yote hiyo halafu hayuko kwa maslahi ya waTanzania.
 
huwa nashangaa sana kuona kuna watanzania leo bado wako katika trivial level za kuangalia mambo, sasa kama kuna watu wenye upeo kama wa ndugu FUSO where is hope for this country, very cheap ngoja nitoke maana unaweza kutapishwa
 
Ufinyu wa mawazo, kama huna la kuandika ili kuwafanya great thinkers kujadili ni bora uache tu.
 
huwa nashangaa sana kuona kuna watanzania leo bado wako katika trivial level za kuangalia mambo, sasa kama kuna watu wenye upeo kama wa ndugu FUSO where is hope for this country, very cheap ngoja nitoke maana unaweza kutapishwa

Mkuu nadhani hapo umeona lilipo tatizo la wengi. Huyu FUSO ni wale wasioweza ku argue kwa hoja, amejifunza humu sentensi au maneno mawili matatu anayatumia kuonekana naye ni critical. Utaona mara "crap" au upeo mdogo etc. Sasa hapo mwenye upeo mdogo ni FUSO au mtoa hoja. Terrible.
 
Dume la Mende .....hakuna mbuge huyo Tanzania na nina hakika hatakuja tokea..........wote njaa kwanza & utaifa baadae
 
Naomba nimjue Mbunge mwenye uchungu wa kweli wa nchi yetu:

  • Ambaye amekataa ule mkopo wa mamilioni (up to 200 mil) payable in 5 years?
  • Ambaye amekaa kuchukua mkopo wa gari wa milioni 90? Lema? Anybody knows?
  • Ambaye amekataa mshahara mkubwa wanaopata, au kutoa japo robo ya mshahara huo kuelekeza sehemu fulani jimboni mwake japo kwa mwaka mmoja?
Kama hakuna, basi mujue kwamba wote hawa ni sawa tu, tunawapepea tu wao wanakula kiulaini mnoo. Hakuna cha CDM,CCM,CUF,NCCR etc wote hawa ni walaji tu. Sisi huku tunabaki na ushabiki na kutoleana matusi na chuki, kashfa nk. Wenzetu wala. Tumeliwa kekundu.
Fikiri kwa makini utaona.
swala sio kugawana hizo milioni 90/200
Muhimu ni mbunge awezeshe uwepo wa mifumo bora na hai ya utawala.
Okey sasa mfano RA agawe mili 200 kwa people atakuwa amesaidia nini?
 
tatizo sio kukataa malipo ama mishahara mikubwa,wanalipwa hiyo kutokana na kazi waifanyayo,tatizo lililopo ni kuwa kuna wabunge hawaridhiki na hicho kiwango hadi wana tuingiza ktk mikataba feki kwa lengo la 10%
 
Naomba nimjue Mbunge mwenye uchungu wa kweli wa nchi yetu:

  • Ambaye amekataa ule mkopo wa mamilioni (up to 200 mil) payable in 5 years?
  • Ambaye amekaa kuchukua mkopo wa gari wa milioni 90? Lema? Anybody knows?
  • Ambaye amekataa mshahara mkubwa wanaopata, au kutoa japo robo ya mshahara huo kuelekeza sehemu fulani jimboni mwake japo kwa mwaka mmoja?
Kama hakuna, basi mujue kwamba wote hawa ni sawa tu, tunawapepea tu wao wanakula kiulaini mnoo. Hakuna cha CDM,CCM,CUF,NCCR etc wote hawa ni walaji tu. Sisi huku tunabaki na ushabiki na kutoleana matusi na chuki, kashfa nk. Wenzetu wala. Tumeliwa kekundu.
Fikiri kwa makini utaona.
saswa mkuu kwa hiyo sasa tufanyeje?
 
saswa mkuu kwa hiyo sasa tufanyeje?
Swali zuri mno, kwamba imedhihirika wote bilankujali chama ni watu wasioweka mbele maslahi ya Taifa? Na hapa si wale wa CCM tu hapana, na vyama vyote! Tufanyeje tulio wanyonge? wapi kimbilio letu? Ni swali gumu mno.
 
Niliwasikia Mnyika kasema robo ya mshahara wake utachangia katika moja ya miradi ya maendeleo ya ubungo.
Lakini sio issue kulipwa kingi as long you are doing what people are expecting awe CCM,CDM,CUF,NCCR NA WENGINEO.
Na nidhana potufu kusema eti kukubali mshahara huo ni uadilifu au uzalendo mbona mimi nalipwa kikubwa kwa post yangu na nina wajua jamaa wenye post na qualification kama zangu makampuni mengine wanaminywa je unataka mimi nikatae haya masalalilo.
Kuna jamaa kibao weanalipwa bags of money mjini kwa kazi yao, so chapa kazi ulipwe ujira wako.
 
Uzalendo wa mtu ni kukata malipo yake halali? na hata kama akikataa ndiyo suruhisho la matatizo yanayoikabili jamii? ndiyo maana nikasema mtazamo huu ni dhaifu.

kinachotakiwa hapa ni kuungana pamoja kubadili huu mfumo mzima, na uzalendo si kukataa mshahara wako, ukikataa then what? na je akichukua akatumia hizo hela jimboni kwake!!

Kuna wabunge wengi tu wanatumia mishahara yao kusaidia miradi majimboni si lazima wajitangaze for your info.
 
Mkuu nadhani hapo umeona lilipo tatizo la wengi. Huyu FUSO ni wale wasioweza ku argue kwa hoja, amejifunza humu sentensi au maneno mawili matatu anayatumia kuonekana naye ni critical. Utaona mara "crap" au upeo mdogo etc. Sasa hapo mwenye upeo mdogo ni FUSO au mtoa hoja. Terrible.

garbage, unafikiri kukataa mshahara wako ndiyo initial stage of any change? jaribu kazini kwako mwisho wa mwezi huu then uje utuambie itakuwaje.
 
Swali zuri mno, kwamba imedhihirika wote bilankujali chama ni watu wasioweka mbele maslahi ya Taifa? Na hapa si wale wa CCM tu hapana, na vyama vyote! Tufanyeje tulio wanyonge? wapi kimbilio letu? Ni swali gumu mno.

Kizazi kilichop kwenye madaraka kwa sasa kilizaliwa enzi zile za Azimio la Arusha! Mtumishi wa Umma hakuruhusiwa kuwa na mshahara zaidi ya mmoja hivyo walizoea hali ile kwa kipindi kile! Ghafla katika utumishi wao Azimio la Arusha likawekwa kando, kizazi kilichofuatia kikawa kimeingia kwenye vyanzo mbadala vya mapato zaidi ya ule wanaoupata kwenye ajira rasmi. Kwa vile wenzao hawakujua njia mbadala ya kutengeneza fedha nje ya kipato chao, wakadhani hawa wa kizazi kipya wanachota hizi za serikali/umma. Kwa hali hiyo wakaanza kutumia nafasi zao katika utumishi vibaya na kuchota bila huruma hela za walipa kodi na ndicho kilikuwa chanzo namba wani cha ufisadi!
 
garbage, unafikiri kukataa mshahara wako ndiyo initial stage of any change? jaribu kazini kwako mwisho wa mwezi huu then uje utuambie itakuwaje.
Huna point, ndiyo maana majibu yako yametawaliwa na jazba na hasira zisizo na sababu. Hapo penye rangi unadhihirisha jinsi ulivyo mtupu katika fikra. Kama ingekuwa garbage kama unavyoiita,, umejisumbua kwanini kusoma na kujibu? watu wenye akili timamu huwa hawajisumbui na garbage. You are contradicting yourself mamie.
 
Back
Top Bottom