Mbunge Msigwa azidi kuingarisha CHADEMA-Picha

duuu hiyo foleni utadhani wapo mashine kusaga vileeeee!!!!!wangekuwa wale jamaa wa chama ambacho nyoka akiwa ndani haonekani wangeweka mamilioni kuwabeba na kuwanunulia pombe
 
Harufu ya ukombozi halisi wa mtz naanza kuifeel maana namwona bibi kizee amepanga foleni kuchukua kadi. "Yes we can"
 
Back
Top Bottom