Mbunge Msigwa aikwaza CCM kwa kuweka wazi viongozi wa CCM kuhusika na ujangili wanyamapori

Msigwa atakuwa akunywa kangara atakurupukaje na kuropoka vitu asivyovijua!
 
Kiongozi aliyetajwa na Msigwa siyo wa CCM bali ni Diwani wa Chadema na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu,ina maana magwanda hawawajui hata viongozi wao,huku ndo kukurupuka kuongea bila kuwa na uhakika wa unachokiongea,hao ndiyo viongozi wa magwanda ambao kazi yao kubwa ni kupotosha umma

Umetokea wapi?
 
huyu mchungaji naye anajichanganya eti aliweka addendum ya ufafanuzi kuhusu mafisadi na ilisahaulika mbona anakuwa msanii?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom