Mbunge mmoja wa CHADEMA sawa na Wabunge 20 wa CCM

Status
Not open for further replies.
mbunge mmoja wa chadema sio sawa na wabunge 20 wa ccm (vice versa is true!)....there is big gap btwn ccm & chadema, maji na mafuta kamwe havichangamani...and cant be compared....
 
HIvi hamjachoka na hizi hotuba zao na haya ya Operesheni Sangara na Sato? Hivi Operesheni hii imezaa matunda kiasi gani kule kanda ya ziwa:

Matawi mangapi yameanzishwa?
Wanachama wangapi wamepatikana?
Kiasi gani kimepatikana na michango kwa chama?

Mwanakijiji
1. Naona siku hizi unazeeka vibaya kama jina lako lilivyo. Huwezi kuchoka kufanya harakati wakati hali bado ni mbaya. Naamini unafahamu kabisa kwamba Operesheni hii ni ya nchi nzima sio ya kanda ya ziwa tu ingawa jina lake lilikuwa na uhusiano na kanda ya ziwa. Operesheni hii imefanya kazi mikoa michache tu na hivyo ni lazima iendelee mpaka nchi nzima ifikiwe hivyo utake usitake utandelea kusikia tu hii operesheni mpaka kieleweke.Nimeambiwa kwamba operesheni hii itanedlea mpaka mwakani muda mchache kabal ya kampeni za uchaguzi mkuu.

2. Kwenye operesheni hii kila kata unapofanyika mkutano huwa wanaunda uongozi wa tawi kama haupo,kila mkutano huwa kuna wanchama wapya ambao wanajiunga na chama na kwa takwimu za haraka haraka kutoka kwenye vyanzo vyangu ni kuwa huwa kwa siku moja wanafanya mikutano ama 16 au 14 na katika kila mkutano wanachama 40- 100 kutegemea na maeneo hujiunga na chama. Nadhani haya ni mafanikio makubwa kwani kun amsemo usemao something is better than nothing. Kwahivyo basi ni muhimu hii operesheni iendelee.Pamoja na hayo pia opereseheni hii inasaidia kutengeneza mtandao wa chama na kukitambulisha chama katika maeneo yale ambayo kulikuwa hakuna chama.Nadhani utakuwa umenielewa.
 
mbunge mmoja wa chadema sio sawa na wabunge 20 wa ccm (vice versa is true!)....there is big gap btwn ccm & chadema, maji na mafuta kamwe havichangamani...and cant be compared....

Teh teh teh,ukiwa shabiki unakuwa mtumwa.Yaani huwezi kuona utofauti basi wewe ni kipofu wa vipofu
 
ukila na kipofu usimshike mkono, wewe ni kipofu umenionaje mimi? au ndio kusema wote tumegongana kwa upofu wetu? ccm ndio baba na mama wa vyama vyoooote tz, hakuna upinzani wala nini, huko mnakoita ni kambi ya upinzani kumejaa vibaraka wa ccm tupu.....inshallah ipo siku na nyinyi mtatoka kidedea....
 
Kibaya zaidi wanaongelea agenda moja ufisadi ufisadi??

Elimu vipi? afya vipi? barabara na makazi vipi? mishahara na pension vipi? kilimo vipi?

wanatumia party resources (mikopo) for one agenda for four years? sipati picha wanachama kama wanaelewa na kama kuna justification ya allowances, perdiem kwa viongozi dull kama hawa.

Tumain nadhani huna matumaini kabisa. Fuatilia vizuri operesheni hii utagundua kwamba CHADEMA hawajadili ufisadfi peke yake hayo yote uliyoyataja ya afya,elimu,barabara,makazi na kila kitu kinachaojadilika katika eneo husika huwa vinajadiliwa.Acha kukurupuka na kupotosha umma.
 
HIvi hamjachoka na hizi hotuba zao na haya ya Operesheni Sangara na Sato? Hivi Operesheni hii imezaa matunda kiasi gani kule kanda ya ziwa:

Matawi mangapi yameanzishwa?
Wanachama wangapi wamepatikana?
Kiasi gani kimepatikana na michango kwa chama?
Mkuu mimi ni tunda la operation Sangara na tupo wengi:) hawajafanya kazi bure mkuu
 
Ufisadi ndio ajenda...pekee lol

hapo ndipo mnaboa wananchi, ufisadi hauondolewi jukwaani ...na nchi haichukuliwi kwa ajenda moja???

Kama wananchi hawatawapa nchi ufisadi utaondokaje?...kama mdau (mwananchi) nahitaji kusikia areas kama afya, elimu, barabara, biashara, zinazungumza vipi? ili niwape kura??

besides si CCM nao wanasema wanapinga ufisadi? na mafisadi? sioni mantiki ya kuongelea miaka minne agenda moja...na wala hakuna tija zaidi ya kupoteza media air time/space, resources (scarce) ...badala kutoa alternatives wanaimba ngojera..lol
Tuambie hoja za kafu ni zipi? kualikwa ikulu ya Zanzibar na kupewa bure viti vya uwakilishi tena siku za mwisho kabla ya uchaguzi?
Nimesema nisiwasikie tena nyie wapemba mnakuja hapa na kelele zile zile za miaka yote, umesikia?
 
Nadhani hawa wanaopinga hii operesheni ya CHADEMA ni kwa kuwa wameona matunda yake na hivyo wanaiogopa.Hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Wakuu kwanza niombe radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda kidogo.Nisingependa nitoe sababu za kutokuwa kwangu hewani. Kwa sasa niko likizo mkoani Tanga.Nikiwa huku Tanga nimepata bahati ya kuhudhuria Operesheni Sangara ya CHADEMA,kwakweli CHADEMA wanajitahidi kuchanja mbuga.Katika speeches nilizovutiwa nazo katika operesheni hii ni hii ya Mbunge Grace Kiwelu,yeye alisema kwamba Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 20 wa CCM kwa utendaji,akadai kwamba wabunge wengi wa ccm sio watendaji kazi yao ni kupiga makofi tu wanapokuwa bungeni.Nakubalina na kauli ya Mbunge huyu kwamba CHADEMA imejaliwa kuwa na wabun ge vichwa na CCM imejaza makapi.Ila mimi naongeza kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 wa CCM

Mimi tarehe 16, 17 na 18 nilikuwa muheza nilikwenda pale maguzoni kufata mbegu za miti ya Mitiki kule Potwe na nilikuwa nakaa pale muheza mjini.

Niliona helkopta kama ya jeshi pale Muheza na nilipouliza niliambiwa Mbowe na NGO yake wapo pale katika kampeni za uhamasishaji.

Nilichogundua watu wengi hususan watoto walihudhuria mkutanoni kwa ajili ya kushangaa helikopta na wala si kumsikiliza Mbowe.

Chadema muwe makini na tathini zenu kwani wengi wanafata kuona helikopta na sio kufata mkutano.
 
HM
Kwanza Nasikitika kwamba tathmini yako si sahihi kwamba uliona watoto tu.Kwanza nikubaliane na wewe kwamba ni kweli watoto hudhuria mikutano hii kwa lengo la kushangaa helkopta lakini ukumbuke kuwa na watu wazima pia huhudhuria. Ndio maana nimesema kwamba huwa wanapata wanachama 40 mpaka 100 inategmea na eneo. Lakini pia ukumbuke kuwa mbegu inapandwa miongoni mwa watoto hawa ambao katika umri mdogo watakuwa wakiitambua CHADEMA.Ubishe usibishe ni kwamba hii operesheni is very effective,wewe umeangalia sehemu moja tu.Pili CHADEMA sio NGO ndugu yangu najua unaiita hivyo kwakuwa CHADEMA is a strong party
 
Unabishana na huyo ? Jaribu kusoma historia yake hapa forum utagundua hata kama mimi si mwandikaji sana lakini nimesha msoma huyu jamaa amejaa chuki dhidi ya Wachaga , Mkabila ana matusi kwa watanzania , ni mpuuzi na kipofu kiasi cha kuona Chadema si chama yeye analia na helikopta na kuwaita wapenzi na wanachama wa Chadema wote wajinga . Huyu si wa kujibishana naye he is a looser , ni nyoka , shetani , hafai hata kufuatwa nyuma .Huyu ni makapi tena ya miwa .
 
Wakuu kwanza niombe radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda kidogo.Nisingependa nitoe sababu za kutokuwa kwangu hewani. Kwa sasa niko likizo mkoani Tanga.Nikiwa huku Tanga nimepata bahati ya kuhudhuria Operesheni Sangara ya CHADEMA,kwakweli CHADEMA wanajitahidi kuchanja mbuga.Katika speeches nilizovutiwa nazo katika operesheni hii ni hii ya Mbunge Grace Kiwelu,yeye alisema kwamba Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 20 wa CCM kwa utendaji,akadai kwamba wabunge wengi wa ccm sio watendaji kazi yao ni kupiga makofi tu wanapokuwa bungeni.Nakubalina na kauli ya Mbunge huyu kwamba CHADEMA imejaliwa kuwa na wabun ge vichwa na CCM imejaza makapi.Ila mimi naongeza kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 wa CCM

This is a joke. Hao wabunge wa Chadema wamefanya nini kuboresha maisha ya wananchi wao? Maana utendaji mkuu wa mbunge ni kutetea maslahi ya jimbo lake. Tutajieni majimbo ya Chadema na wame fanyia nini wananchi wao. I'm sorry to say this but it seems wabunge hao "vichwa" wa Chadema wana jali zaidi "u-celebrity" badala ya kuwa shughulikia wananchi walio wapigia kura.
 
kila siku nitasema na nitarudia tena na tena, kuna watu wanafanya JF ni kichaka cha kujadili hoja za CHADEMA against CCM. hivi kama wanazuoni lazima kuangalia ni lipi tunalitaka na si nani na nani kafanya nini wapi. kama huu ni mtandao wa ilani za CHADEMA semeni kwa uwazi si kuniacha tu nikiwa na hoja sijibiwa wakati haya yanaonekana. Dr. Kaborou alikuwa CHADEMA kushindwa tu kidogo kaenda CCM, Shaibu Ally Akwilombe naibu katibu mkuu Chadema, kwa maslahi ya chama na ukoo alienda CCM, sasa hivi zitto kwa maslahi ya kafulila amebaki na maslahi binafsi ya ubunge amalizie kipindi chake kule dodoma ahame chama. kile chama ni cha ukoo wa kina mtei na ndugu zake
 
Unabishana na huyo ? Jaribu kusoma historia yake hapa forum utagundua hata kama mimi si mwandikaji sana lakini nimesha msoma huyu jamaa amejaa chuki dhidi ya Wachaga , Mkabila ana matusi kwa watanzania , ni mpuuzi na kipofu kiasi cha kuona Chadema si chama yeye analia na helikopta na kuwaita wapenzi na wanachama wa Chadema wote wajinga . Huyu si wa kujibishana naye he is a looser , ni nyoka , shetani , hafai hata kufuatwa nyuma .Huyu ni makapi tena ya miwa .
kama ni hivi JF haina maana hata kidogo
 
This is a joke. Hao wabunge wa Chadema wamefanya nini kuboresha maisha ya wananchi wao? Maana utendaji mkuu wa mbunge ni kutetea maslahi ya jimbo lake. Tutajieni majimbo ya Chadema na wame fanyia nini wananchi wao. I'm sorry to say this but it seems wabunge hao "vichwa" wa Chadema wana jali zaidi "u-celebrity" badala ya kuwa shughulikia wananchi walio wapigia kura.

Mkuu this is not a joke but it is a serious fact whether you like or not.Umesema vizuri kwamba utendaji mkuu wa Mbunge ni kutetea maslahi ya jimbo lake.Kama unafuatilia vizuri siasa za Tanzania basi utagundua wabunge hawa wako mstari wa mbele kutetea maslahi ya wananchi wao kama huamni basi fuatilia ansard za bunge na jaribu kwenda majiomboni kwao ukafanye japo ka simple study ili kujua wabunge hawa wamefanya nini kwa kipindi chote walichokuwa wajumbe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom