Mbunge,mchungaji LWAKATARE aumbuka bungeni

Ana kesi kibao pale kinondoni za kutokulipa wafanyakazi mishahara.Mchungaji au mchunguliaji?
 
Atakanusha muda si mrefu kwamba hahusiki,atafutwe Shetani ndio mhusika mkuu!!
 
teh teh eti kishoka yeye, mbunge yeye, mchungaji yeye!

umesahau jina moja! mpaka mafuta wa bwana yeye!

sijui bwana gani alimpaka mafuta?? Yaani huyu mama ni mwizi, wale watumishi wake ndo usisema maana wanaiba hadi yale alosema mchngaji msigwa kuwandio ya kuombea(wake za watu na waume za watu)
 
Mchungaji mwiziii. Ndo maana Mimi nimeanzisha kanisa LANGU home.
 
Back
Top Bottom