Mbunge Malocha ahutubia Wananchi dhidi ya Mwekezaji; Wateketeza Matrekta ya shamba la Kanisa Efatha

Wanaoleta machafuko katika nchi hii ni baadhi ya viongozi wa dini waroho wa kujitajirisha. Pia waharirii wa vyombo vya habari wamo kwa kuwa wanashabikia machafuko ili wauze magazeti bila kujali usalama wa Taifa letu. hawajui watu wengi wakifa au uchumi ukitetereka kutokana na nchi mkukosa amani hawatauza magazeti yao. ni busara kila mtu kwa nafasi yake kuchunga amani katika taifa letu.
 
SASA KWA HILI TUACHE UNAFIK, TNASUBILI TAMKO LA KADINAL AU TUTAMIN MMEPATA LA KUSEMA, AU KWA KUWA WALOCHOMA AYO MATREKTA NI WAKRISTU BASI HAMNA NOMA OW NDO INAKUA SOO, AU KUNYA LZM ANYE KUKU, AKINYA BATA KAHARISHA. ACHENI UCHOCHEZ WA DINi

NAHISI SIJAKUELEWA MKUU, KUNA ALIYESAPOTI HICHO KITENDO? Waliochoma na aliyewashawishi wachome wote wanapaswa kuchukuliwa hatua kali. Na kama mwekezaji naye kachukua eneo kimakosa ahukumiwe.
 
CCM wanaikubali falsafa ya nguvu ya umma! safi sana!

Nguvu yoyote ikitumika negatively haina maana yoyote ile sana sana ni umasikini wa akili na kimaisha.
Enzi za ujima ulaya kulikuwa na watu waliokuwa wakiitwa 'aryans' walikuwa na nguvu na shupavu sana lakini kila mahala wanapo shinda vita huchoma [arson]kila kilichokuwepo mahala hapo. kuna sehemu walikuta ustaarabu wa hali ya juu wao waliharibu na matokeo yake wameyayuka kabisa duniani.
Hao wananchi ni maskini wa kutupwa lakini wamechoma matrekta ambayo wenye mali wanaweza kudai bima lakini wao wataendelea na umaskini tu sana sana watabaki na ardhi ambayo hawanauwezo wa kuitumia vizuri.
 
we kweli abunuwasi! wanakijiji hawana sehemu ya kulima! ardhi yote amechukua epahta! hakuna amani tena hapo! please jenga contsructive argument usiwe kama abunuwasi wa ukweli!
 
walinzi wa shamba walimkata masikio yote 2 mwananchi mmoja na kumkata vidole mwingine kt ya feb na mach .
 
Tatizo ni uchumi.
Ni rahisi kuchochea watu kufanya jambo wasilolijua kama wana njaa na hawana uhakika wa leo wala kesho.
 
we kweli abunuwasi! wanakijiji hawana sehemu ya kulima! ardhi yote amechukua epahta! hakuna amani tena hapo! please jenga contsructive argument usiwe kama abunuwasi wa ukweli!
Ninacho maanisha ni kwamba wasingefanya destruction kwani wangeweza kutumia raslimali zilizopo hapo kwa manufaa yao . kwa sababu hao jamaa ephata kila itakavyokuwa hapo wasingeweza kuishi vizuri sana valuation ingefanyika na wanakijiji collectively wangewaza kuhodhi japo majengo ambayo wangeweza kuyatumia positively
 
SASA KWA HILI TUACHE UNAFIK, TNASUBILI TAMKO LA KADINAL AU TUTAMIN MMEPATA LA KUSEMA, AU KWA KUWA WALOCHOMA AYO MATREKTA NI WAKRISTU BASI HAMNA NOMA OW NDO INAKUA SOO, AU KUNYA LZM ANYE KUKU, AKINYA BATA KAHARISHA. ACHENI UCHOCHEZ WA DINi
wananchi ndo waliochoma moto dini inaingiaje hapo
 
Mbona wawekezaji wa kigeni hawachomewi mali zao?
Au migodi haishiki moto?,,,,aaahaaa migodi sio MASHAMBA!
 
inabidi watu kubadilika.mashamba wameuza wenyewe then sasa ndo wanaamka usingizini serikali lazima iwajibike kumlinda huyu mwekezaji wa ndani kama inavyowalinda wawekezaji wa nje , Huu ni uonevu kabisaa wakamatwe waliohusika
 
Shamba la Malonje linalomilikiwa na Kanisa la Efatha limepata hasara kubwa baada ya wananchi wa kijiji cha Sikaungu wilayani Sumbawanga vijijini mkoani Rukwa, kujichukulia sheria mkononi na kuvamia moja ya kambi yaShamba hilo iitwayo Sikaungu na kuyateketeza kabisa matrekta mawili makubwa aina ya New Holland na kubomoa baadhi ya nyumba kwenye kambi hiyo.Mchungaji Kiongozi Michael Meela wa Kanisa la Efatha mkoani Rukwa akiongelea kuhusu suala hilo alisema hasara iliyopatikana ni zaidi ya shilingi milioni 228 na kwamba tukio hilo lilitokea mara tu baada ya Mbunge wa Jimbo la KwelaMh. Ignas Malocha kuhutubia mkutano wa hadahara kijijini hapo na kuwahamasisha wananchi watumie nguvu ya umma kuyakomboa mashamba yao yaliyochukuliwa na mwekezaji huyo.Kamnda wa polisi wa mkoa wa Rukwa Bw Jacob Mwaruanda akithibitisha kuhusu sakata hilo alisema tayari wanawashikiliawatu 11 kwa tuhuma za kufanya uharibifu huo mkubwa na
DSC06985.jpg
kwamba wanatarajiwa kufikishwa wakati wowote mahakamani
 
Mfumo Kristo unaolinda Makanisa bila kujali wananchi wa kawaida (Vibaka, Albino wanauliwa pasipo sababu) Kukosekana haki na usawa ndio Tatizo kubwa nchini kwetu, Makanisa wanapewa Previlage tokea wakati wa Mwalimu, sasa hivi mjue kuwa:

"Honeymoon period is Over"

Wananchi wenye hasira kali hawakubali tena, mtapambana na nguvu za umma na makanisa yanayojengwa kutumia nguvu na mali za wananchi na ufisadi hayatodumu
 
Mfumo Kristo unaolinda Makanisa bila kujali wananchi wa kawaida (Vibaka, Albino wanauliwa pasipo sababu) Kukosekana haki na usawa ndio Tatizo kubwa nchini kwetu, Makanisa wanapewa Previlage tokea wakati wa Mwalimu, sasa hivi mjue kuwa:

"Honeymoon period is Over

Wananchi wenye hasira kali hawakubali tena, mtapambana na nguvu za umma na makanisa yanayojengwa kutumia nguvu na mali za wananchi na ufisadi hayatodumu
mfumo kristo bla bla bla bla bla, hakuna jipya only a sucker can think this way..:hatari::hatari:
 
Huyo mbunge sio muislamu ?!!!!! INakuwaje hii habari haijapata umaarufu kama ya makanisa ya Mbagala...
au kuchoma mali za kanisa la Efatha ni Halali
 
trekta.jpg

Shamba la Malonje linalomilikiwa na Kanisa la Efatha limepata hasara kubwa baada ya wananchi wa kijiji cha Sikaungu wilayani Sumbawanga vijijini mkoani Rukwa, kujichukulia sheria mkononi na kuvamia moja ya kambi ya Shamba hilo iitwayo Sikaungu na kuyateketeza kabisa matrekta mawili makubwa aina ya New Holland na kubomoa baadhi ya nyumba kwenye kambi hiyo. Mchungaji Kiongozi Michael Meela wa Kanisa la Efatha mkoani Rukwa akiongelea kuhusu suala hilo alisema hasara iliyopatikana ni zaidi ya shilingi milioni 228 na kwamba tukio hilo lilitokea mara tu baada ya Mbunge wa Jimbo la Kwela Mh. Ignas Malocha kuhutubia mkutano wa hadahara kijijini hapo na kuwahamasisha wananchi watumie nguvu ya umma kuyakomboa mashamba yao yaliyochukuliwa na mwekezaji huyo.Kamanda wa polisi wa mkoa wa Rukwa Bw Jacob Mwaruanda akithibitisha kuhusu sakata hilo alisema tayari wanawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kufanya uharibifu huo mkubwa namsako unaendelea kuwatafuta wengine waliohusika katika tukio hilo.

Source: Mjengwa Blog
 
Hawa na wamechochewa na CHADEMA na ni wadini sana! Hii nchi watu wamechoka sio swala la dini wala siasa, watu wamechoka na maisha magumu. Wakipata inspiration ya kutosha wanaweza kwenda hata ikulu
 
Back
Top Bottom