Mbunge Lucy Mayenga apata ajali!

1312.jpg

pole dada yetu

Dah mzuri sana kwa sura.
Sijawahi mwona akichangia bungeni wala kumsikia wenzangu vp anamchango gani huyu kwa taifa?
 
Kama safari ilikuwa ya kikazi kwa nini aendeshe mwenyewe, si aajili dereva jamani!!! hata kusema pole tunashindwa sasa.
 
Kwa nini bado tunakumbatia hawa wabunge wa kuteuliwa na rais kwenye mfumo wetu wa vyama vingi? Nafikiri hii inawapa advantage chama tawala kuongeza wabunge japokuwa kuna wachache kutoka upinzani. Mbunge alitakiwa apatikane kwa merits zake kwa kuchaguliwa fairly na wananchi, na sio mapenzi binafsi ya rais....this is very anti-democracy!

You are damn right!
Katiba ya jamhuri inamruhusu raisi kuteua wabunge 10 wa viti maalum. Wengine pia wanaingia bungeni kwa kuteuliwa na vyama vyao kulingana na wingi wa kura ambazo chama kilipata wakati wa uchaguzi mkuu, mfano wake Halima Mdee wa Chadema. Ni wengi sana hawa.
 
Akili yako bana kweli jembe km Mdee liwe vitimaalum .tokaaa hapa
 
Back
Top Bottom