Mbunge Lucy Mayenga apata ajali!

pole sana dada,tibiwa muhimbili usiende nje ya nchi.
Hakuna Madakitari wa kuwatibu viongozi wa CCM cos they are so special. Dada nenda kutibiwa India baada ya huko pitia Uingereza ku check afya yako kabla ya kurudi nyumbani. Utakapokuwa Uingereza mpigie simu Waziri mkuu atakuja kukusalimia hapo Uingereza.Nina imani kama bado upo Chalinze Bunge litakodi ndege ije ikuchukue hapo. Ugua pole dada
 
1312.jpg
KUMBE MZURI SANA!.......
i wish ningemuoa
 
Ni kuanzia 2005. Ni speechless sana kwa sababu ni mbunge wa kuteuliwa!

aaaaaaaaaaaah haya mambo ya kuteuliwa na 50 kwa 50 yananiudhi sana jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! I truely hate the 'idea' of special seats....

BTWleo ndo namsikia hata jina
 
Bado wanatafuta Kondoo aliyenona kuhakikisha ushindi! Yale maganda ya mayai kutoka Bagamoyo hayafui dafu kwa Kondoo mnono!
 
Huyu mbunge mbona simjui

angekuwa wa kugombea amsure hata kama si wajimboni kwako unekuwa ushamsikia lakini sasa hizi ni zile nafasi za kugaiwa utamjuaje na mtu mwenyewe wanadai huwa speechless akiwa in the house.

anyways same here!! ndo kumsikia leo
 
Ni kuanzia 2005. Ni speechless sana kwa sababu ni mbunge wa kuteuliwa!

Kwa nini bado tunakumbatia hawa wabunge wa kuteuliwa na rais kwenye mfumo wetu wa vyama vingi? Nafikiri hii inawapa advantage chama tawala kuongeza wabunge japokuwa kuna wachache kutoka upinzani. Mbunge alitakiwa apatikane kwa merits zake kwa kuchaguliwa fairly na wananchi, na sio mapenzi binafsi ya rais....this is very anti-democracy!
 
KUna haja ya kufanya utafiti wa kina kujua kuna nini kati ya Gairo (kuanzia maeneo ya Pandambili) had Dodoma kuna nini hasa kinachosababisha ajali mara kwa mara katika maeneo hayo

Kama umepita eneo hilo ulilosema ni sehemu ambayo imenyooka sana hivyo madereva wengi huweka mafuta kwa hiyo wanakwenda kwa mwendo wa kasi sana.

Kinachotakiwa ni kuwa na Sign posts za kuwaeleza madereva waendeshe kwa speed kiasi gani. tatizo kubwa la Tanzania ni kutaka kufix kila kitu kiujanja ujanja. Highway code tunayo? Kama ipo inasemaje?

Si tulisema wamewapa tenda Majembe Auctions kufanya hiyo kazi ya ukaguzi walikuwa wapi hadi hili gari linapinduka kwa speed ya ajabu.

Majembe Auctions wanatakiwa wawe barabarani 24/7 kuvizia magari yanayokwenda speed mbaya nk. si wamepata tenda? Au hiyo ni kwa DSM peke yake? Watanzania wataendelea kufa kama inzi hadi pale watakapopata akili ya kufahamu kwamba leo ni kwako kesho ni kwa mwingine. Tena hawa viongozi wakipukutika kama hivi ndio watapata akili nzuri.
 
pole sana lakini na wewe Lucy usiku wote huo ulikuwa unakwenda Dodoma kufanya nini??
 
Mtoto anaita balaa jamani mwenye picha yake full aweke hapa

Date of Birth: 23 Aug 1977

EDUCATION

  • Centre for Foreign Relations (CFR) Diploma 2003 2004 DIPLOMA
  • Tanzania School of Journalism (TSJ) Diploma 1999 2000 DIPLOMA
  • Tanzania School of Journalism (TSJ) Certificate 1998 1999 CERTIFICATE
  • Jitegemee Secondary School High School 1996 1998 HIGH SCHOOL
  • Kisutu Girls Secondary School Secondary Education 1991 1995 SECONDARY
  • Mikocheni Primary School Primary Education 1989 1991 PRIMARY
d23.jpg

Lucy Mayenga (R) (c) http://issamichuzi.blogspot.com/2006_07_01_archive.html
 
chonde chonde wajameni maisha muhimu kuliko hivyo vyeo nawasii wabunge wote kama unaona watu wameshpalia cheo chako kwa jicho la husda kama sala ya bunge letu tukufu linavyosema waachie, uhai uko pale pale haujalishi wewe ni masikini au tajiri. Nivizuri kujipunguzia wenye husda juu ya mafanikio yako.( under consipirance theorem)
 
Pole Lucy, get well soon!.
by the way baada ya kuzimika ule mshumaa wa Amina mle mjengoni, maua yamebakia machache angalau ya kuleta nuru machoni na kulipendezesha bunge on the eyes of the beholder.

Get well soon!.
 
Back
Top Bottom