Mbunge Lucy Mayenga apata ajali!

Acheni ubahiri, tunavibaka wengi sana mtaani ambao wanaweza kuwa madereva wazuri tu......toeni ajira kwa vijana!

Anyway.....pole sana!


NL, inawezekana pia kuwa alikuwa na dereva na akamuaomba amuachie usukani ili naye afanye vitu vyake na dereva apumzike!
 
pole sister,

lakini, hivi hawa wa viti maalum ni wabunge kweli? manake qualifikesheni yao kubwa ni mashine whether used or brand new!

kweli ccm wanafanya madudu!
Tafadhari mkuu weka wazi hiyo mashine kwani inanitia wasiwasi isije ikawa mashine ya kufua moto!Hata hivyo huyo toto bomba haswa,naomba namba yake tafadhari mwenyenayo ili niweze kumpatia huduma nyingine kamilifu sababu analipa kikweli.
 
Tafadhari mkuu weka wazi hiyo mashine kwani inanitia wasiwasi isije ikawa mashine ya kufua moto!Hata hivyo huyo toto bomba haswa,naomba namba yake tafadhari mwenyenayo ili niweze kumpatia huduma nyingine kamilifu sababu analipa kikweli.

eti ona alivyo bomba japo pasport size tu, lakini anaita kishenzi sasa aajiri dereva kibaka wa manzese atasalimika kweli humo kwemnye shangingi lake?

namba yake labda ujaribu kuusearch google
 
Lucy, pole sana na hongera kwa Mungu kukunusuru na kifo. Lakini jamani epukeni kuendesha long journeys usiku. Pia muwe na tabia ya kujua kama umechoka au la wakati ukiendesha gari. Mara nyingi ajali huwa zinatokea karibu na destination sababu mojawapo ni watu kuchoka na kuanza ku-relax. Please try to know when you are fatigued during driving.
For quick info fatigue can be recognized when you notice the following:
ü Yawning
ü Excessive blinking
ü Disconnected thoughts
ü Difficulty keeping your head up
ü Nodding
ü Not being aware of the past few miles
ü Weaving into another lane or onto the hard shoulder of the road
ü Being unaware of traffic around you
ü Missing traffic signs
ü Finding that you have decelerated unintentionally
ü Missing your exit or turn.
These are all signs of sleepness that need immediate attention. When fatigued please take a rest or snap, it will help. Taking coffee, miraa, etc, won't help, they just worsen the situation.
Honorable Lucy, I wish you quick recovery.
 
Pole sana Mbunge wetu Mungu akujaalie nafuu uponr haraka

hayo mengine tutahoji akishapata nafuu jamani likiwemo la yeye kuruhusiwa kuendesha gari mwenyewe si nilisikia wana madereva!

get well soon mami
 
Pole sana Mbunge wetu Mungu akujaalie nafuu uponr haraka

hayo mengine tutahoji akishapata nafuu jamani likiwemo la yeye kuruhusiwa kuendesha gari mwenyewe si nilisikia wana madereva!

get well soon mami

mbunge wenu???????? huu ni wa viti maalum, au nyie ndio watu maalum???????
 
SPECIAL seats Member of Parliament (CCM), Ms Lucy Mayenga, escaped with minor injuries when she was involved in a car accident at Chalinze area in Dodoma.

The MP told this newspaper over the phone today that she was expected to be transported to Dar es Salaam today for more check-ups.

She said she was driving to Shinyanga to attend CCM regional council meetings starting tomorrow, when the accident occurred at around 10 pm on Wednesday night.

She further said she was trying to avoid an on-coming vehicle, when her car slipped and overturned. The MP said she has sustained scratches, but she also feels some pain inside her chest.

"I think the chest pains could be the result of the seat belt, but this will be cleared after going through check-ups in Dar es Salaam," MP Mayenga explained.

SOURCE: Daily News
 
pole sister,

lakini, hivi hawa wa viti maalum ni wabunge kweli? manake qualifikesheni yao kubwa ni mashine whether used or brand new!

kweli ccm wanafanya madudu!

For sure we are still doubting, Hawa watu sifa zao ni duni kabisa, Na ile mantiki ya mbunge kama muwakilishi inakuwa haionekani hapo. Mbunge wa viti maalum anamuwakilisha aliyemteua bungeni, na wala si wananchi.

Angalia CV ya Lucy hapa chini.
 

Attachments

  • LUCY MAYENGA's CV.doc
    25 KB · Views: 157
Tafadhari mkuu weka wazi hiyo mashine kwani inanitia wasiwasi isije ikawa mashine ya kufua moto!Hata hivyo huyo toto bomba haswa,naomba namba yake tafadhari mwenyenayo ili niweze kumpatia huduma nyingine kamilifu sababu analipa kikweli.
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Lucy
Middle Name:
Thomas
Last Name:
Mayenga
Member Type:
Special Seat
hayaConstituent:
No Constituency
Political Party:
CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location:
P.O.Box 44, Bariadi
Office Phone:
+255 713 260926
Ext.:

Office Fax:

Office E-mail:
lmayenga@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Start Date:
28 December 2005
End Date:
30 August 2010
Date of Birth
23 August 1977
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mikocheni Primary School
Primary Education
1989
1991
PRIMARY
Kisutu Girls Secondary School
Secondary Education
1991
1995
SECONDARY
Jitegemee Secondary School
High School
1996
1998
HIGH SCHOOL
Tanzania School of Journalism (TSJ)
Certificate
1998
1999
CERTIFICATE
Tanzania School of Journalism (TSJ)
Diploma
1999
2000
DIPLOMA
Centre for Foreign Relations (CFR)
Diploma
2003
2004
DIPLOMA
CERTIFICATIONS

Certification Name or Type
Certification No.
Issued
Expires

No items on list





EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
Business Time Co. Ltd
Journalist
2000
2002
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama cha Mapinduzi
Special seat (Youth Group)
2005
To Date
Chama cha Mapinduzi
Member General Council (UVCCM) & (UWT)
2004
2004
Chama cha Mapinduzi
Member of Regional Youth Council (UVCCM)
2002
2002
Chama cha Mapinduzi
Branch Chairman-Ward & Youth
1998
1999
Chama cha Mapinduzi
Youth Commander (CCM)
1988
1988
PUBLICATIONS

Description
Published Date

No items on list



SPECIAL SKILLS

Skill Name or Description
Years Experience
Acquired Through
Skill Level

No items on list





RECOGNITIONS

Recognition Type
Recognition Date
Reason
Action Taken
Issued by

No items on list
 
KUna haja ya kufanya utafiti wa kina kujua kuna nini kati ya Gairo (kuanzia maeneo ya Pandambili) had Dodoma kuna nini hasa kinachosababisha ajali mara kwa mara katika maeneo hayo

Hili eneo ni moja ya sehemu zenye barabara nzuri kabisa katika Africa. Tatizo ni speed tu. Hakuna zaidi.
 
Salutation
Honourable

Member picture


First Name:
Lucy
Middle Name:
Thomas
Last Name:
Mayenga
Member Type:
Special Seat
hayaConstituent:
No Constituency
Political Party:
CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location:
P.O.Box 44, Bariadi
Office Phone:
+255 713 260926
Ext.:

Office Fax:

Office E-mail:
lmayenga@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Start Date:
28 December 2005
End Date:
30 August 2010
Date of Birth
23 August 1977
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award

Start Date


End Date


Level

Mikocheni Primary School

Primary Education


1989


1991


PRIMARY

Kisutu Girls Secondary School

Secondary Education


1991


1995


SECONDARY

Jitegemee Secondary School

High School


1996


1998


HIGH SCHOOL

Tanzania School of Journalism (TSJ)

Certificate


1998


1999


CERTIFICATE

Tanzania School of Journalism (TSJ)

Diploma


1999


2000


DIPLOMA

Centre for Foreign Relations (CFR)

Diploma


2003


2004


DIPLOMA

CERTIFICATIONS

Certification Name or Type

Certification No.


Issued


Expires


No items on list





EMPLOYMENT HISTORY
Company Name

Position


From Date


To Date

Business Time Co. Ltd
Journalist

2000


2002

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location

Position


From


To

Chama cha Mapinduzi
Special seat (Youth Group)

2005


To Date

Chama cha Mapinduzi
Member General Council (UVCCM) & (UWT)

2004


2004

Chama cha Mapinduzi
Member of Regional Youth Council (UVCCM)

2002


2002

Chama cha Mapinduzi
Branch Chairman-Ward & Youth

1998


1999

Chama cha Mapinduzi
Youth Commander (CCM)

1988


1988

PUBLICATIONS

Description
Published Date

No items on list



SPECIAL SKILLS

Skill Name or Description
Years Experience
Acquired Through
Skill Level

No items on list





RECOGNITIONS

Recognition Type
Recognition Date
Reason
Action Taken
Issued by

No items on list
Nimeshapiga hiyo namba kwa bahati mbaya haipatikani,lakini nitajaribu kutuma email nadhani itajibiwa,ahsante mkuu.
 
Nimeshapiga hiyo namba kwa bahati mbaya haipatikani,lakini nitajaribu kutuma email nadhani itajibiwa,ahsante mkuu.

wabunge bana ni wayeyushaji, hiyo namba na email kaweka pale kama kukamilisha procedures tu, ana namba kibao kwa taarifa yako na ka-email kale nadhani walishakablock, we tembelea physically idodomya nyakati za minuso utawini mkuu.

na ukitaka kumpata kirahisi, tafti kwanza kizee chake ni ki nani mule ccm kilichompigia chapuo la ubunge, halafu unakuna palepale................ bla kukosea tageti
 
Back
Top Bottom