Mbunge kortini kwa kumkashifu Kikwete

Naona Jeshi la polisi hapa wameamua kumpelekea JK message direct kuwa "kazi yake ni kuchekacheka na kukumbatia mafisadi". Wasingewapeleka mahakamani asingepata huu ujumbe!


JF home of the Great thinkers, nimekubali.
 
hivi kwa namna rais wetu anavyopenda ku smile smile.....anaweza kukaa kati kati ya Huku CHEVES ..huku AHMEDENAJAD..HUKU..ghadafi..huku..MORALES.. huku..KIM JONG IL...

au mmepata kumuona putin ..au ...medeyev wakicheka...

kwa majirani mmepata kuona kagame,museveni,kibaki au bingu wanacheka..???..viongozi ambao wanaweza kumkaribia jk kwa kucheka na kutake issues ize ni kama zuma,mswati ....sikumbuki mwingine....

hawa marais sijapata kuwaona wakicheka hata mara moja...sijui labda wakiwa chemba na wenziwao[ambao wala sijapata kuwaona ..kuacha cheves ambaye naomi campbell alijipeleka akalambwa...akaachwa]...nahisi jk akikaa kati kati ya hawa mabazazi wanaweza wakajaribu kutest zali..kama vipi!!


kama vipi majina yao yaingie kwenye Guinness book of world records

..................................
amani yetu inatumiwa vibaya
 
Tatizo ni kusema lililo bayana.....nani asiyejua kuwa JK anachekacheka? Tumerithi tabia ya kutukuza viongozi hata kama wanatupeleka kaburini. Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunafundishwa kusema "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama"....ilikuwa mwiko kupinga 'fikra sahihi" za mwenyekiti huyo. Ako kaugonjwa bado kamo katika bongo za watu wengi. Kaaazi kweli kweli!
 
Ama kweli Tanzania ni nchi ya demokrasia. Yaani kusema kuwa Rais kabaki kuchekacheka, kashindwa kuongoza na anakumbatia mafisadi ni lugha ya KASHFA!!!!! Kwani ni uongo jamani? Badala ya kufanya kazi kwa ufasaha yeye ni kukenua meno tu, people need you to be serious about FISADIZ, people need you to be serious about their lives and not kukenua meno.
Yaani watu wakisema ukweli basi ni KUBAMBIKWA KESI ZISIZO NA MIGUU NA VICHWA.
 
Back
Top Bottom