Mbunge Komba ashtakiwe

Hizi taarifa ni kweli Captain anatembea na Lulu hata mamayake lulu analitambua hilo, na ile nyumba lulu aliosema anaenga kimara ni captain komba ndio anayoijenga, even mke wa komba alishakwenda kumkanya mama yake lulu kuhusu binti kutembea na mumewe akaambulia matusi na hiyo kesi imeshafika ktk familia ya komba a kwa mkewe, ngoma ni nzito kwana ilifikia kipindi lulu alimtukana mke wa komba.

Mke yupi Salome au Jane?kwani komba anawake wengi tena wanajuana wote.Ufataki akuanza jan
 
Jamani hawa watoto nao wanatuchosha, kwanza ni vigumu sana kuelewa ni kwa namna gani watoto kama hawa wakike wanaishia kwenye mikono ya haya mafataki tena yenye sura na shepu za kishetani kama Komba. Komba hajaanza leo na hataacha leo, haya ni mapepo yaliyojaa humu duniani na bahati mbaya kwa watoto wetu yanalindwa na nguvu za mapepo wenzao ccm na serikali. Eti hili dudu nalo ni mbunge wa chama tawala anayeshinda kwa kura, ndio maana dawa kamili ni kukazana huku huko kwenye grassroots, wananchi wa songea waulizwe wanatupelekea nini bungeni? lakini hawa wakina kimemeta nao ni ajabu hawatuambii popote pale kwamba wanahitaji maombi kwa ajili ya uchovu walioletewa na haka katoto, ni pepo la ngono limemkamata na huu ndio hasa unakua mwisho wa watoto wasiosikia. sasa kwa umri huu yuko gerezani? hata tukijidanganya kwamba ni gereza la watoto bado ni gereza tu, waombe na kusali sana mungu ampe 2nd chance. Pamoja na hayo mimi sikubaliani na hii hukumu ya kuchukuia hatua, hata mtu mzima unapokabiliwa na abuse ya kupigwa nani atakayeacha kujitete kwa kumsukuma ama hata kumtwange mppigaji, je walitaka akae kimya, ili auawe yeye na tuongelee postmortem? lulu atetewa kisheria naamini atashinda, na baada ya hapo yeye na wazazi wake wakae chini kutafakari yaliyowakuta na kumshukuru mungu kwa revelation, na karudishwe shule kaache umalaya usiokua na faida, kwa nini haya yote jamani? hata majirani za kanumba wanasema walishachoka na kelele za kupigana wapenzi hawa feki. taifa lenye kupenda ngono viongozi wake wote wameshinda kwa kanumba lakini kwa mayunga, kiaro wala mwakanjuki hawataoneka, acha pinda apukutwe laana itaendelea kuwafuata, kikwete nae ndio hayo chama kinamfia, Bilalli bilahaya ka lline up mdogo wake eti nae asikose kula maana ni zamu yao, laana kum haw

Ndio matokeo ya BONGO MUVIZ plus Nigerian. Unafikiri wakishapata zile illusions kwenye senema na wao hawatamani kuendesha magari na kutanua madiskoni?

Halafu mnaniambia Kanumba na wahuni wenzake wanastahili kupongezwa kwa kugawa ajira na kuinua vipaji. Ndio ajira zenyewe hizi za mtoto mdogo kwenda kulaliwa na mtu mwenye mtumbo wooote ule na umri wa baba yake? Poh!
 
Once upon a time people used to grow old gracefully , not anymore courtesy of VIAGRA.
 
Jamani hawa watoto nao wanatuchosha, kwanza ni vigumu sana kuelewa ni kwa namna gani watoto kama hawa wakike wanaishia kwenye mikono ya haya mafataki tena yenye sura na shepu za kishetani kama Komba. Komba hajaanza leo na hataacha leo, haya ni mapepo yaliyojaa humu duniani na bahati mbaya kwa watoto wetu yanalindwa na nguvu za mapepo wenzao ccm na serikali. Eti hili dudu nalo ni mbunge wa chama tawala anayeshinda kwa kura, ndio maana dawa kamili ni kukazana huku huko kwenye grassroots, wananchi wa songea waulizwe wanatupelekea nini bungeni? lakini hawa wakina kimemeta nao ni ajabu hawatuambii popote pale kwamba wanahitaji maombi kwa ajili ya uchovu walioletewa na haka katoto, ni pepo la ngono limemkamata na huu ndio hasa unakua mwisho wa watoto wasiosikia. sasa kwa umri huu yuko gerezani? hata tukijidanganya kwamba ni gereza la watoto bado ni gereza tu, waombe na kusali sana mungu ampe 2nd chance. Pamoja na hayo mimi sikubaliani na hii hukumu ya kuchukuia hatua, hata mtu mzima unapokabiliwa na abuse ya kupigwa nani atakayeacha kujitete kwa kumsukuma ama hata kumtwange mppigaji, je walitaka akae kimya, ili auawe yeye na tuongelee postmortem? lulu atetewa kisheria naamini atashinda, na baada ya hapo yeye na wazazi wake wakae chini kutafakari yaliyowakuta na kumshukuru mungu kwa revelation, na karudishwe shule kaache umalaya usiokua na faida, kwa nini haya yote jamani? hata majirani za kanumba wanasema walishachoka na kelele za kupigana wapenzi hawa feki. taifa lenye kupenda ngono viongozi wake wote wameshinda kwa kanumba lakini kwa mayunga, kiaro wala mwakanjuki hawataoneka, acha pinda apukutwe laana itaendelea kuwafuata, kikwete nae ndio hayo chama kinamfia, Bilalli bilahaya ka lline up mdogo wake eti nae asikose kula maana ni zamu yao, laana kum haw

Umenichosha bure, nimesoma mwanzo mwisho na sijaelewa ulichoandika. Memkwa.
 
Kama ni kweli sioni ajabu kwani mkoa anaooka watu wanaanza kuchapwa wakiwa wadogo sana, huko miaka 18 ni mzee, scrap.

Unaona ajabu hilo? kuna viongozi wanakaa na wake za watu kama wake zao na bado Watanzania wachache wanawafagilia na kuwaona hakuna kama wao.
 
Inasemekana mh. Mbunge Komba amekuwa na mahusiano kimapenzi na "LULU" kwa muda mrefu.

Kama kweli Lulu hajafikisha miaka 18 na shule kakatiza, je inakuwaje wanaume hawa 'wakubwa' kuachiwa hivihivi wakiharibu watoto na kesho yake kwenda 'Mjengoni' kutunga sheria?

Nijuzeni wenzangu.....

Kati ya mwaka 2005 hadi 2006 nimemshuhudia akiingia kwenye guest moja iliyopo karibu na aliyokuwa Kijitonyama hostel ya UDSM. Rafiki yangu alikuwa anafanya kazi pale nami nilipokuwa naenda kumuona nilimshuhudia akiingia na watoto wa sekondari.

Nadhani ni rahisi kumpata, ukimuona yuko kwenye Tinted hasa kipindi kile akiwa anatumia Renge nyeusi.
 
Huyu jamb nilishawah muona hoteli moja inaitwa Angoni Arms songea kama miaka 2 iliyopita alikw na watoto kama sio wa form 2 kutoka songea girls hadi ikanibd niondoke eneo lile sbb nilikw naona aibu mie sasa. Hv lile umbo akivilalia vile vitoto brain concussion c hapohapo inaweza kuvipata hvy vitoto

hehehehehehehehehehehehehe

mtikisiko wa ubongo
 
Jitu silipendi lile! Jana limeongea pumba utafikiri mtoto mdogo! Saa ya ukombozi inakaribia!
 
Du kweli wazee wa leo wanaharibu hata vitoto kama hivi ni hatari sana mbele ya jamii na Mungu
 
Mimi sijawahi kuona anafanya nao mapenzi, bali namuona akiwa na watoto wa sekondari na pale ustawi wakipiga stori tu na kutaniana. Isitoshe pale safina kinyama huwa kuna bar na hotel so huwa wanaenda kula msosi na vinywaji na kuondoka zao.
 
Jitu silipendi lile! Jana limeongea pumba utafikiri mtoto mdogo! Saa ya ukombozi inakaribia!

Kaongea pumba? Membe anatolea ufafanuzi sasa hivi bungeni kuhusu alichoongea Komba, hususan kuhusu ndege ya malawi iliyoingia anga na upande wa Tanzania wa ziwa Nyasa. Ni kitu very sensitive na muhimu sana, bila kukiongea yeye ungekijuwa hicho?

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Hatujasikia mwandishi wala yeyote wa upinzani kuli ripoti hilo kitaifa.
 
Tatizo la baadhi ya dada zetu, they r addicted to big fish n' Anacondaz....
 
Hizi taarifa ni kweli Captain anatembea na Lulu hata mamayake lulu analitambua hilo, na ile nyumba lulu aliosema anaenga kimara ni captain komba ndio anayoijenga, even mke wa komba alishakwenda kumkanya mama yake lulu kuhusu binti kutembea na mumewe akaambulia matusi na hiyo kesi imeshafika ktk familia ya komba a kwa mkewe, ngoma ni nzito kwana ilifikia kipindi lulu alimtukana mke wa komba.

taarifa hizi ni zandani nimezipata toka kwa mdogowake mke wa komba ambaye anafanya kazi na dada yangu.
Kama ni hivyo kifo cha msanii wetu S.C.K nani kamuua? isije ikawa alikuwa anakula mali za wakubwa huyu
R.I.P Kanumba
 
Hizi taarifa ni kweli Captain anatembea na Lulu hata mamayake lulu analitambua hilo, na ile nyumba lulu aliosema anaenga kimara ni captain komba ndio anayoijenga, even mke wa komba alishakwenda kumkanya mama yake lulu kuhusu binti kutembea na mumewe akaambulia matusi na hiyo kesi imeshafika ktk familia ya komba a kwa mkewe, ngoma ni nzito kwana ilifikia kipindi lulu alimtukana mke wa komba.

taarifa hizi ni zandani nimezipata toka kwa mdogowake mke wa komba ambaye anafanya kazi na dada yangu.

Yei yei yei.....!!! Hizi ni tuhuma nzito sana.
 
kweli kama yule mtoto kaweza kumbemba yule mzee kifuani basi dogo ni mashine zaidi ya trekta
 
Back
Top Bottom