Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

Status
Not open for further replies.
sina cha kuchangia as long as kigwa sioni kama ana faida kwangu zaid ya kujutia kura yangu,nzega hatuna maji na wakati tumezungukwa na mabwawa mawili na pia tupo karibu kbs na mgodi,stend yenyewe imejaa vumbi na takataka,hakuna sehem ya kutupia taka ngumu wala maji machafu,sioni alichokifanya kwa huu muda wa miaka 3 zaidi ya ubabe na mabifu ya kijinga tu.
 
hakuna cha kutafutwa wala mkono wa mtu.....ni ajali tu kikubwa wawe makini na vyombo vyao vya kusafiria
 
Pole kwa ajali Dr. Kuna haja ya kukumbuka kuchunguza vyombo vyetu vya usafiri kabla ya kuanza safari, Ni utaratibu mzuri badala ya kutake things for granted!!!!
 
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?

Baada ya kumuengua kugombea unec inaonekana bado hawajaridhika.

btw pole sana HKigwangalla kwa ajali na nakuombea kwa Mungu akuepusha na mabaya yote yanayokuandama.
 
Last edited by a moderator:
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?

Mambo yalivyo kwa turufu ya serikali yetu kuhatarisha usalama wa watu wake, ukiwa dereva mwenyewe kwenye gari yako kabla you take your seat behind the wheel hakikisha umeangalia mabo yote ya msingi kwa usalama barabarani, hata kama utachukua wrench kuhakikisha bolt za matairi zimekaza ni bora kuliko kuhatarisha maisha yako. Kwani wenye majina hawajui nani anayewafuatilia.

Bahati nzuri utandawazi wa siku hizi wengi wanaamua kulipua mabomu mitandaoni kwa kuwatumia watu wasio karibu sana na hawa umoja wa wanawake, vinginevyo watakunyofoa pua.
 
Apumzike mahali pema peponi.....kwa hiyo jimbo lingine hilo liko wazi.kazi kweli kweli.
 
Angekufa ingekuwa safi sana, ujuaji unamtokea puani, si anajifanya anazijua fitina... Apumzike kwa amani motoni... Kwanza ana dhambi ya milele ya 'kuiba' jina la mtu...
 
pole ndg, mwenyezi Mungu atakuponya hata kama u machoni pa watesi wako, naomba watz tukumbuke utu wetu kwanza,itikati...
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Jitahidi ukipona uhame hiyo garage unayofungia matairi inawezekana adui zako wamejipenyeza mpaka kwa mafundi wako!
 
apone mapema inaelekea Bashe amem-beep. Si ndio walitoleana bastola kwenye chaguzi zao za magamba? Chezea nyinyiemu weye.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom