Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Huyu ni naibu waziri wa fedha; though na yeye ni mbunge it could be to put it kwamba msiba huu ni wa Serikali zaidi tofauti na wa dada.

Mkuu marehemu Sumari ni naibu waziri wa fedha wa wapi?

Tanzania currently tuna manaibu wawili tu ambao ni Mh. Pereira na Mh. Teu
 
Huyu ni naibu waziri wa fedha; though na yeye ni mbunge it could be to put it kwamba msiba huu ni wa Serikali zaidi tofauti na wa dada.

Hakuwa waziri bana..........Hata ubumge hakula kiapo

[h=1]Tanzania[/h]
Chiefs of State and Cabinet Members of Foreign Governments
Date of Information: 8/12/2011
Pres.Jakaya Mrisho KIKWETE
Vice Pres.Mohamed Gharib BILAL, Dr.
Prime Min.Mizengo Kayanza Peter PINDA
Pres. of ZanzibarAli Mohamed SHEIN, Dr.
Min. for Agriculture, Food Security, & CooperativesJumanne Abdallah MAGHEMBE
Min. for Communication, Science, & TechnologyMakame Mnyaa MBARAWA
Min. for Community Development, Gender, & ChildrenSofia Mnyambi SIMBA
Min. for Defense & National ServiceHussein Ali MWINYI
Min. for East Africa Cooperation AffairsSamwel John SITTA
Min. for Education & Vocational TrainingShukuru Jumanne KAWAMBWA
Min. for Energy & Mineral ResourcesWilliam NGELEJA
Min. for Finance & Economic AffairsMustapha Hadi MKULO
Min. for Foreign Affairs & Intl. CooperationBernard Kamillius MEMBE
Min. for Health & Social WelfareHadji Hussein MPONDA, Dr.
Min. for Home AffairsShamsi Vuai NAHODHA
Min. for Industry, Trade, & MarketingCyril CHAMI
Min. for Information, Youth, Culture, & SportsEmmanuel John NCHIMBI
Min. for Infrastructure DevelopmentAndrew John CHENGE
Min. for Justice & Constitutional AffairsCelina Ompeshi KOMBANI
Min. for Labor & EmploymentGaudensia Mugosi KABAKA
Min. for Lands & Human Settlements DevelopmentAnna TIBAIJUKA
Min. for Livestock & FisheriesMathayo David MATHAYO
Min. for Natural Resources & TourismEzekiel Magolyo MAIGE
Min. for TransportOmari Rashid NUNDU
Min. for WaterMark James MWANDOSYA
Min. for WorksJohn Pombe Joseph MAGUFULI
Min. of State for Good Governance, Pres.'s OfficeMathias Meinrad CHIKAWE
Min. of State for Public Service Management, Pres.'s OfficeHawa Abdulrahman GHASIA
Min. of State for Social Relations & Coordination, Pres.'s OfficeStephen Masatu WASSIRA
Min. of State for Environment, Vice Pres.'s OfficeTerezya HOVIZA
Min. of State for Union Affairs, Vice Pres.'s OfficeSamia SULUHU
Min. of State for Investment & Empowerment, Prime Min.'s OfficeMary Michael NAGU
Min. of State for Policy, Coordination, & Parliamentary Affairs, Prime Min.'s OfficeWilliam LUKUVI
Min. of State for Regional Admin. & Local Govt., Prime Min.'s OfficeGeorge MKUCHIKA
Attorney Gen.Frederick WEREMA
Governor, Central BankBenno NDULU
Ambassador to the USMwanaidi Sinare MAAJAR
Permanent Representative to the UN, New YorkOmbeni Yohana SEFUE
 
Pumzika kwa amani Ndugu Sumari....
After a long battle.....RIP
 
Napenda kuchukua fursa hii kuipa pole familia ya marehemu Sumari pamoja na ndugu jamaa na marafiki zake. Nawaombea kwa Mungu awajalie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kupotelewa na mwenzenu. NIchuke fursa pia kulipa pole Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuondokewa na mbunge na aliyekuwa naibu waziri wa fedha.Nikipe pole pia chama cha mapinduzi CCM kwa kuondokewa na kada na mwanachama wake. Nimpe pole pia rafiki yangu Joshua Nassary kwa kuondokewa na aliyekuwa mpinzani wake mkubwa katika kipindi cha uchaguzi wa mwaka jana. Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina lake libarikiwe. Amen.
 
r i p,
utabiri wa mrithi wa shehe yahaya naona unatimia alitabiri huu ni mwaka mbaya kwa wabunge,,,,,,,, swali who nezt
 
RIP Mb! namkumbuka alishawahi kumjibu Zito Kabwe "majibu ya hovyo hovyo" bungeni. wakati akiwa naibu waziri wa fedha.
 
R.I.P. Mzee Sumari
Tunatarajia upendo ulioonyeshwa na wana ccm kwenye mazishi ya dada Regia tutauona kwa wanachedema pia kwenye msiba huu!
Wasambaa wana msemo wao usemao " ukitandika umvyedi na ugoshe mvyedi " usitegemee mbunge kama Livingstone Lusinde ( kibajaji ) yule Mbunge wa Mtera afe halafu apate heshima na maziko kama ya Regia! hapana hilo nakataa kabisa, kuna wabunge wengine wakifa ni Great relief kwa Taifa.
Kwa Marehemu Sumari R.I.P atazikwa kutokana na Historia ya matendo yake hapa Duniani, nadhani msiba wa Regia ni funzo kubwa kwa wanasiasa wote wanatakiwa wachague kuishi maisha ya namna gani!
 
Back
Top Bottom