Mbunge huyu hatufai

Mbona jana 2meletewa ripoti hapa kuwa ametoa vitanda ktk hospital hapo mjini.wee gamba acha majungu.KATIKA WABUNGE NNAOWAZIMIA UKIMWONDOA KAMANDA LEMA AMBAE NAMKUBALI BASI NI REV.PETER MSIGWA.usitake niwadharau iringa mjini..huyo bwana ni commited..usitake 2kutukane arusha.MSIGWA AME2SAIDIA SANA MERU.ukitizama 24hrz hilo shangingi lake utakuta lina vumbi la mbuguni,maroroni msi2 wa mbogo na engarenanyuki mda wote wa kampeni.pliz Mwache kabisa..

Mnataka afungue banda la Mama Lishe, mle bure ndio mjue anafanya kazi? Lukuvi? Makinda?
 
Utajaribu sana kudanganya umma, lakini utashindwa. Mpiganaji hatambulishwi, matendo yake husema yote; Hongera Mch. Msigwa
 
huyu jamaa hatarudia tena nadhani alikuwa anabip.unajua siyo kwamba watu wanaojifanya wanaipenda CCM ni kweli wanaipenda laa ,kunamaslahi waliyokuwa wanapata sasa nahisi wanahofia kupotea.kama vijiushuru vya masoko vijijini viposho nk.POLENI SANA MAGAMBA.
 
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.

Duh, mwenyewe unajiona umeanza kwa mkwara hapa JF!
kwa vyovyote utakuwa umechanganyikiwa kutokana na
kupanda kwa bei ya mchele. Maisha bora kwa kila Mtanzania...
 
join Date : 30th April 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.

Acha unafiki na ujinga, kazi kubwa ya Mbunge ni kulinda keki yetu ya Taifa ili iwanufaishe Watanzania wote, na hilo ndilo wanalolitekeleza wabunge wote makini. Huwezi pata maendeleo kwa kunywa ulanzi na kuacha wezi wanakomba uchumi wetu.

Kazi za kitaifa wanazofanya ndizo zilizomlamisha JK wenu kukubali kuwajibisha mawaziri wake, kama wewe huioni kazi yake, sisi tunaiona na kuithamini.
 
Humu ukiwataja wabunge wa cdm hata waliombumbu unashambuliwa kwani malaika hawa? Kazi kweli maana wengi wa wabunge wa cdm wana mafail mirembe
 
Back
Top Bottom