Mbunge huyu anachanganya siasa na dini

Mwambao

Member
Apr 11, 2011
22
6
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (Chadema), alisema "mimi ni kiongozi wa Kanisa Katoliki, viongozi wanazungumzia udini na tuhuma kwa baadhi ya vyama vya siasa nashangaa hawachukui hatua.

Wewe ni kiongozi wa kanisa katoliki au mbunge wa rombo ?ukisikia kuchanganya dini na siasa ndio huko hata waumini wako utawalazimisha wafuate chama chako pole mbunge kwa kutojitambua

Chanzo: Habari Leo
 
Source : Habari leo !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tupo kwenye information age hakuna siri, ni vema kuwa open sasa ukijificha si ndio mtasema ana ajenda za siri na kanisa
 
Huenda ikawa ana kofia ya mzee wa kanisa katika jimbo lake, ndicho alichomaanisha hapo!
na hii ndio athari ya kusema bila kufikiri (kama alivyonukuliwa ndivyo) kwani wengine watamfasiri watakavyo wao na kumuelewa wanavyojua wao.
kujisahau mtu kwa nafasi yake aliyoko ni jambo jengine. Haya ndio mapungufu ya wanasiasa wetu na wahariri wa vyombo vya habari pia.
ama wanafanya kusudi ama kujisahau siwezi kuwasemea hapo.

Lakini kitendo cha mtu kuwa kiongozi inamaanisha ni kiongozi wa watu wote (haimaanishi kuwa kiongozi wa dini fulani tu) akijiambanua na hilohapo sijui... Inanipasa kuisoma habari hiyo!
 
Hata Basili mramba alikuwa ni mkatoliki kwa taarifa yako
Rombo hawajali dini bali commitments
Mramba presha juuuuuuuuuuuu aligalagazwa na mkaazi wa kijijini Selasini
 
Hivi hawa cdm viongozi, Slaa, kutoka uongozi wa kanisa huyo selasini ndio hivyo tena, na wengine wangapi ambao wapo kwenye uongozi, ubunge, udiwani wa cdm wanatokea kanisani? Duhh.
 
safi selasini kwa KWENDA kanisani....YESU ni MWANA wa MUNGU hata kama hawataki....NENDA kanisani ukirudi NYUMBANI sio maandamano
CCM oyeeeee
 
Hivi hawa cdm viongozi, Slaa, kutoka uongozi wa kanisa huyo selasini ndio hivyo tena, na wengine wangapi ambao wapo kwenye uongozi, ubunge, udiwani wa cdm wanatokea kanisani? Duhh.

wale mnaotuletea kutoka zenji ni wanini?
certificate in terrorism
 
Back
Top Bottom