Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,886
- 1,193
Badala ya watanganyika kulalamika, kwa nini tusiwape wazenji uhuru wao na tuachane nao?tatizo la wana visiwa hivi ni roho ya kupenda madaraka makubwa tu wanasingizia kero za muungano na malalamiko lukuki yasiyo na ukweli
Watu wa Tanganyika ndiyo wangelalamika kwani rasmali zetu nyingi zinatumika kuwalea wao mfano suala la umeme pia wapo bungeni wakula posho kupisha bajeti hata za wizara zisizo wahusu kazi kusema ndiyoooooooooooo
ndiyo maana mtu asema hata yale ambayo hakutumwa