Wananchi wa Tarafa ya Namswea- Wilaya ya Mbinga waishio Dar es salaam walichanga pesa ili kununua vifaa vya maabara kwa ajili ya Ruanda Secondari. Mheshimiwa akatoa pendekezo kuwa atanunua vifaa hivyo na kwenda kukabidhi kwa Mkuu wa shule. Baada ya muda aliibuka na kueleza kuwa, amenunua vifaa na kusafirisha kwa bahati mbaya gari imepata ajali na vifaa vyote vimeharibika.
Aliombwa uthibitisho wa Polisi kupima ajali hiyo-- Hakutoa, Aliombwa hata picha za tukio--- Hakutoa. Akaombwa hata copy za risiti ya manunuzi-hajatoa. Wananchi wamekuwa wakiulizia hatima ya tukio hilo bila majibu na sasa Jamaa yupo kimya.