Mbunge gani ungependa kusikia akichangia (au kutoa hoja) bungeni?

ntafurahi tena kumuona yule Baba Anayelia...
Teh teh sijui safari hii atakuja na lipi
 
Kwani lazima kuchangia bana? Kusinzia na kugonga meza na kuzomea ndiyo kazi ya kwanza ya mbunge yoyote wa ccm. Kuongeza idadi ya sauti zinazoafiki
 
Ningependa kusikia wote wakichangia ili nijue nani pumba zake zimezidi.
 
kwa wale wapenzi wa pichazzzzz ... huyu hapa sijui atasema nini?

vick.jpg
 
Back
Top Bottom