Mbunge gani anatupigania maslahi ya taifa kwa sasa?

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
waungwana naomba msaada wa kuambiwa ni mbunge gani kwa sasa anapigania maslahi ya taifa hili?kila mmoja naona anapigania maslahi ya chama chake au jimbo lake na masuala ya kitaifa yana chwa bila msemaji

Bunge lilokwisha alikuwepo Dr.Slaa na Zitto kabla ya kunuliwa katika kamati ya Raisi ya madini ambayo mpaka leo hatujaiona faida yake kwa taifa
 
Wa chama chetu tu. THE GREAT CDM Mps.
 
Sijamuona hata mmoja...
WOTE WANAKIMBIZANA KWENDA LOLIONDO NA KUWAPELEKA "WATEJA" WAO HUKO!!!

Wote hakuna anaeguswa na matatizo ya wananchi kwa sasa kwa sababu tabu zao ziliishia majukwaani!!!

Pale kwenye wote weka "baadhi!"
 
Nyie acheni wivu kuna mtz asiyejua mchango mkubwa na wa maana dhidi ya mafisadi na kwa maslahi ya taifa kama lowasa na rostamu?............hawa ndiyo watz halisi ndiyo maana kikwete,serikali na ccm na ccm-b wanaogopa kuwafgusa km ukoma kwasababu tu wanatetea sana maslahi ya taifa
 
waungwana naomba msaada wa kuambiwa ni mbunge gani kwa sasa anapigania maslahi ya taifa hili?kila mmoja naona anapigania maslahi ya chama chake au jimbo lake na masuala ya kitaifa yana chwa bila msemaji

Bunge lilokwisha alikuwepo Dr.Slaa na Zitto kabla ya kunuliwa katika kamati ya Raisi ya madini ambayo mpaka leo hatujaiona faida yake kwa taifa

Mapema sana kusema nani,huoni wanavo itwa pembeni kuongea taratibu na mawazari,spika na wana kaa kimya?
 
Back
Top Bottom