Mbunge gani anatupigania maslahi ya taifa kwa sasa?

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Waungwana naomba msaada wenu wa kunijuza ni mbunge gani ambae kwa sasa anapigania maslahi ya taifa hili kwa ushujaa wa dhati?kwa sasa naona wote wanalinda maslahi ya vyama vyao na majimbo yao.

Bunge lilokwisha tulikuwa na Dr.Slaa na Zitto kabla hajanunuliwa kwenye kamati ya nishati na madini
 
Ni wabunge wooooote wa CDM isipokuwa Zito kuna muda beki yake inakatika, na baadhi ya wapiganaji wa ccm usoni ila mioyoni PURE CDM and i like the guys.
 
Waungwana naomba msaada wenu wa kunijuza ni mbunge gani ambae kwa sasa anapigania maslahi ya taifa hili kwa ushujaa wa dhati?kwa sasa naona wote wanalinda maslahi ya vyama vyao na majimbo yao.

Bunge lilokwisha tulikuwa na Dr.Slaa na Zitto kabla hajanunuliwa kwenye kamati ya nishati na madini

Wabunge watakao pigania Maslahi ya Taifa utawatambua kwa kujua nini msimamo wao juu ya yale mambo ya kitaifa,Katika Bunge la watu 300 ilikuja hoja ya Richmond wenye dhamira ya kweli kupigania Maslahi ya Taifa walisimama imara kufanya kazi,mwisho wa siku walitishwa wakasambalatishwa wengine wamerudi Bungeni kwa nguvu ya Wapiga kura wao na sio kwa mapenzi ya wanachama wenzao.jaribu kujiuliza ilipotakiwa kupigwa kura kupitisha Maamuzi sauti ya ndio ilimeza ya hapana ,kama kuna vitu ambavyo vinahitaji mabadiliko ni pamoja na kura ya siri na sio kura ya wazikwenye maamuzi makubwa ya Bunge.hapo ndio tutajua wangapi wamesema ndio na wangapi wamesema Hapana .3/4 ya wabunge ni wa ccm unadhani tutapata Watetezi wa dhati wa maslahi ya taifa.
 
Back
Top Bottom