Mbunge Dr. Mary Mwanjelwa amekanusha vikali kuwa anataka kuhamia CHADEMA

Ningependa kuwakumbusha kuwa huyu ni Dokta wa kupewa.Hana PhD ya kusomea.
Kwa kweli sipendi sana anavyojiita Dokta.Sipendi kabisa.
 
Ukimwangalia huyo the so called dr harafu ukaunganisha na alivyohusishwa na wizi wa taulo hotelini huko arusha huwezi amini. tayari alishachafuka huyo.
Taarifa yake inadokeza uwaziri siyo issue ila kama ushawishi wa kujiunga na movement for change utamfikia kikamilafu atasepa,
 
Ningependa kuwakumbusha kuwa huyu ni Dokta wa kupewa.Hana PhD ya kusomea.
Kwa kweli sipendi sana anavyojiita Dokta.Sipendi kabisa.

Huyu si ndiye aliyeiba Sabuni na Soap Dish kwenye Hotel Arusha au? Sasa CDM Wangempeleka wapi Huyu Mwizi? Inaonekana Alitunga habari halafu ameikanusha maana amegundua siku hizi CDM inauza sana
 
Habari za uhakika kwa asilimia 100 % ni kwamba amezaa na mkulu wa inji kwahiyo hawezi kuhama CCM huyu.
 
...kwa nini mnadhani kuwa kila mtu anafaa kuwa CDM? Hawa wengine hawana utashi binafsi, ndio maana unakuta wanasema atakachosema mwenyekiti ndio hilo hilo! Unategemea mtu kama huyo ahame tena aache ulaji?
 
Back
Top Bottom