Mbunge chadema aweka wazi `sikukwenda bungeni kuruka juu ya viti na kucheza dansi`

Alagwa

Member
May 30, 2012
95
85
Mbunge wa jimbo la Mbulu Mh Mustapha Akonay amewataka wananchi wa jimbo la Mbulu kuacha siasa Chafu kwani haina msingi wowote mbele ya jamii na kuongea mambo pila ya kujua msingi wake na taratibu za utendaji kazi wa kiongozi hii ni baada ya watu wasio eleweka kuanza kusambaza maneno ya siasa ambayo hayana msingi kwa jimbo la mbulu.

Aidha Mh Akonay alibainisha kuwa changamoto zilizo kwanye jimbo la Mbulu ni tofauti na Changamoto za Ubungo kwani kwa sasa wananchi wa Mbulu wanataka barabara na maji wakati watu wa ubungo wanamahitaji yao tofauti na wa Mbulu na hivyo hata utendaji wa kiongozi ni lazima uwe tofauti kwani kwa sasa yupo katika harakati za kuwezesha mitandao ya simu kuleta huduma karibu na jamii lakini kwa ubungo au arusha wabunge hawawezi kudai swalla la mawasiliano kwani tayari wanayo katika majimbo yao

Na Paul Alagwa - Mbulu Manyara
 
Aliyemwambia watu wa ubungo hatutaki Barabara na maji nani?
 
Hao wananchi nadhani ni wale wanaodhani kazi ya mbunge ni kuwagawia wananchi pesa anazozipata kwenye vikao,huo ni ujinga wa hali ya juu
 
hii ya kuruka ruka kwenye viti sio anampiga dongo Sendeka huyuu
 
Wajiulize miaka yote hiyo chini ya CCM wamevuna nini mpaka ifikie kumzoda namna hiyo mbunge huyo ambaye hana hata miaka mitatu.
 
Back
Top Bottom