Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,420
- 2,271
Ni vema ukadadisi chanzo cha hayo matumizi mabaya ya kodi.Haya ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Hivi kwa nini tuigharamikie siasa kwa kiwango hiki? Huu ujuha utaisha lini?
Ni vema ukadadisi chanzo cha hayo matumizi mabaya ya kodi.Haya ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Hivi kwa nini tuigharamikie siasa kwa kiwango hiki? Huu ujuha utaisha lini?
Huyo mbunge ana kila dalili za ulevi wa ubunge!
Nimekuwa nikihoji hapa siku zote, ni vigenzo gani vinavyotumika kumpa mtu status ya Premium member!!? sijawahi kujibiwa, mwenye jibu naomba anijuze.
Ilielezwa kuwa Oporukwa alifanya mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Nkoma wilayani hapa, lakini alishindwa kufuata taratibu na kuvusha muda uliopangwa kisheria. Polisi walilazimika kumtia mbaroni kwa mahojiano kutokana na kushindwa kufuata sheria na kusababisha adha kwa wananchi wengine wanaoshi maeneo jirani na uwanja wa mkutano. Mkutano huo wa Oporukwa ulikuwa na lengo la kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kuongoza jimbo hilo. Habari zaidi zinaeleza kuwa Oporukwa alitiwa mbaroni wakati akitazama mpira wa miguu, ambapo alialikwa kuwa mgeni rasmi.
whaaaaaaaaaat????
Nidadisi ili inisaide nini? nchi hii inakosa vipaumbele na inakuwa highly mismanaged thanks to fools like u. Kama mwapenda sana siasa fungueni benki yenu mchange pesa kisha muanzishe ligi yenu ya siasa. EBO.Ni vema ukadadisi chanzo cha hayo matumizi mabaya ya kodi.
Ta'adabu!Nidadisi ili inisaide nini? nchi hii inakosa vipaumbele na inakuwa highly mismanaged thanks to fools like u. Kama mwapenda sana siasa fungueni benki yenu mchange pesa kisha muanzishe ligi yenu ya siasa. EBO.
Kuwashukuru wapiga kura wake ndio ulevi wa ubunge?