Mbunge CCM atoa nguo ya ndani mkutanoni

Kazi kweli kweli wengine wanatoa viwalo vya ndani wengine wanavaa vikuku mguuni masaa 24 mwee!
 
Shimizi ni kigauni kidogo-dogo cha ndani. Ni kama muungano wa bra na under-skirt.
Am kweli wewe maamuma unahitaji imamu mzuri in fact alitoa sidiria(Bra) aliyokuwa ameinunua dukani kawa dhamira hiyohiyo
 
Ni Mh. Florence Kyendesya. Aibu kubwa kwa Mby na CCM. Huyu mama alipata hicho kiti cha wenyekiti wa UWT kwa kuhonga mahela mengi ya EPA sasa alikuwa na shida gani mpaka atoe nguo ya ndani hadharani!!!!!!!!!!!!!!!!!Shame on you.

Inawezekana yeye ni chupi mkononi naalikuwa kwenye tenda akaktoka haraka haraka kwenda kwenye kikao maana alikuwa amechelewa hivyo akaihifadhi kwa muda kwenye hand bag. Hivi anastahili kuitwa heshimiwa huyu?!
 
Du! Hiyo kali ya mwaka. Inaonekana huyo mama amezoea kutoa hongo ya ngono thats why alifanya vile ili opornent wake ashawishike na c**** yake. Kila binaadamu ana mbinu zake za kujitaftia ummarufu lakini wakati mwingine mbinu zinaweza kwenda kinyume. Kama mbinu za huyo ni kuvua nguo za ndani basi anaweza kuwa na kaugonjwa fulani au ni sexmania. kwamtindo huu namshauri akaonane na daktari wa magonjwa ya akili au atangaze biashara mapema ila asisahau ku condomize. TWAFWAAAA!
 
Am kweli wewe maamuma unahitaji imamu mzuri in fact alitoa sidiria(Bra) aliyokuwa ameinunua dukani kawa dhamira hiyohiyo
Nami pia nilielewa hivyo, kwamba alitoa sidiria. Lakini hapa nilikuwa namsaidia mwenzetu aliyehitaji kujua shimizi ni nini.
Ni kweli nahitaji imamu mzuri. Unaweza ukawa wewe kama cv yako ina mvuto.
 
Si kubaliani na matamshi haya ndugu yangu Kichuguu.Haikuwa lazima kutaja jinsia,huku ni kumdhalilisha mwanamke.Unge-discuss tu moja kwa moja issue yenyewe.

Tabia mbaya sana hii. Mbunge huyu lazima alikuwa ni mwanamke; kitendo cha kukimbilia kutoa chupi yake kinaonyesha jinsi alivyo mwepesi kutoa chupi zake na huenda aliukwaa ubunge kwa kutoa chupi yake vivyo hivyo.
 
Hii ndiyo aina ya viongozi tulio nao.Wako wengi wa aina hiyo, kama sio kuvua sidiria hadharani wanafanya mambo mengine mengi ya hovyo tu.Tutafika kweli?
 
Hatuwezi fika Tikerra kwa sababu waheshimiwa wanayabariki. Kwa Chama makini ni wazi kingetoa tamko na hata kumchukulia hatua za kinidhamu, lakini hawataweza fanya hivyo kwa sababu ni mtu wa kina Mulla na RC Mwakipesile.

Alipohojiwa na waandihshi wa habari, Mulla alikana jambop hilo kutokea mwenye kikao hicho lakini wakati huo huo akadai yawezekana yalifanyika kwenye corridors za ofisi za CCM Mkoa. Mbali ya Mwenyekiti huyo vile vile kikao hicho kilihudhuriwa na RC Mwakipesile lakini wote wanapoulizwa wanakanusha, lakini wakati huo huo wajumbe ambao ni pamoja na viongozi wa jumuiya za cha hicho wakithibitisha na kulalamika kwamba wamedhalilishwa na mwana mama huyo.
 
Back
Top Bottom