Mbunge CCM akerwa na Kikwete kuwapa ulaji rafiki zake


Mbona JK alimsaidia sana Kigwangala alipokuwa anatafuta Ubunge. Kama sikosei Kigwangala alikuwa ni mtu wa karibu sana na First Family kabla ya kupata Ubunge.

Kuna haja ya watu kuwa na shukrani, ni alama ya ustaarabu.
labda aliahidiwa kitu hajakipata na muda umepita au amegunduwa kadanganywa si unajuwa mambo ya kiswahili ukaahidiwa itakuwa kesho inachukuwa week

 
Huyu si juzi tuu alikuwa analalamika January Makamba kuongelea mambo ya posho nje ya vikao? Na yeye akaongelee huko huko kwenye vikao.

Labda amejirudi, cha muhimu tuzingatie kile anachokisema.
Kama anachokisema ndiyo hali halisi basi tumuunge mkono.
Akipotoka basi tumkosoe, Juu ya JK kutoa vyeo kwa kuzingatia ushikaji namuunga mkono huyu Mbunge..
 
Ulilosema ni la kweli haya matamko hatukuyaona kipindi cha BWM, hapo kuna lao jambo na yanaonyesha ni chuki zaidi za kidini kuliko dhamira ya kweli ya kumkomboa mtanzania


kitu cha kujiuliza je hali ya maisha ilikuwa hivi kipindi cha BWM? na je kama baba&babu zetu walifanya kosa tuendelee kulirudia hata kama umeligundua ndilo linalowarudisha nyuma? Naamini ukiyajibu utapata pakuanzia kifikiri upya malalamiko yako kwa watoa matamko.
 
Dr.Kigwangala alipewa jimbo kimagumashi alafu anaanza kuchonga(wengi hilo tunalitambua), asipoangalia huu ndo msimu wake wa kwanza na wa mwisho kuingia Bungeni:
 
Huyu si juzi tuu alikuwa analalamika January Makamba kuongelea mambo ya posho nje ya vikao? Na yeye akaongelee huko huko kwenye vikao.
Mnapoteza muda wenu kumjadili huyu mtu, alishapoteza mwelekeo siku nyingi. nadhani hajui hata anachokisema
 
Hv haya mabala za kikristo mbona toka jk huwa yanatoa matamko mbona enzi ya mk hawakutoa,ha ha ha kumbe jk ni muslim

Tabia ya mtu mdini ni kuacha kujadili hoja na mantiki ndani ya mada ama kama ni ya msingi au si ya msingi. Mdini anaona tu kwamba Jk anashambuliwa kwa sababu ya dini yake. Atakapokuja Rais mkristo na yeye mtasema anashambuliwa kwa sababu ya dini yake. Jengo hoja na kisha onyesha hitimisho la ukweli na uongo wa mada iliyo mbele yetu.

nisingepende Jk akosolewe kwa sababu ya dini yake bali kwa sababu ya Urais wake kwa manufaa yetu wote
 
Ulilosema ni la kweli haya matamko hatukuyaona kipindi cha BWM, hapo kuna lao jambo na yanaonyesha ni chuki zaidi za kidini kuliko dhamira ya kweli ya kumkomboa mtanzania



Hamis ni jina la kikristo kuanzia lini? Hamis kingwangala wa nzega ndiye aliyeleta mjadala huu sasa wakristo wanashambuliwa kwa nini wakati mbunge aliyetoa tamko ni mwislamu? wadini utawajua tu hawana hoja
 
Kigwangala anazuga, yupo karibu na first family, na alibebwa kupata ubunge licha ya kushindwa vibaya kwa kura za CCM na Bashe na Selelii.

Anasema tu ili asikike...

NI KATIBA MPYA TU ITAKAYOPUNGUZA MADARAKA MAKUBWA KUPITA KIASI YA RAIS WA TANZANIA...
 
kwangu sioni tatizo kuanzia Nyerere, Mwinyii, Mkapa na Kikwete wakijadiliwa kwani bila wao kuwa Marais wa nchi ni nani angawajua? Fursa yao ya kuwa Marais haiwezi kukwepa changamoto mbalimbali kutoka kwa wananchi waliowaongoza ambao wanapima mema na mabaya yao kama yalikuwepo, yapo au yatakuwepo
 
natofautiana na wanaomtukana matusi Jk na naungana na wanajenga hoja za kumsaidia kutuongoza
 
Dr Kigwa, mpe Rais nafasi pana zaidi ya uteuzi sio lazima kwenye chama kama kuna mapungufu kwa aliowateua tuambie na sisi tutachangia. Nani kasema wazalendo na waadilifu wanapatikana CCM tu? wewe ungekuwa Rais ndio ungeharibu nchi kabisa kama mtazamo wako wa uteuzi unaegamia kwenye chama tu.
 
Kuna mjadala unaendelea mitaani wa kupinga wabunge kuwa mawaziri kwa hoja mbalimbali ili kuepusha mawaziri kuegemea kwenye chama na kutumia muda mwingi kuyatumikia majimbo yao ya uchaguzi badala ya nchi wewe Dr Kigwa unamrudisha Rais kwenye chama kuteua watendaji wa serikali....
 
Kigwangala anazuga, yupo karibu na first family, na alibebwa kupata ubunge licha ya kushindwa vibaya kwa kura za CCM na Bashe na Selelii.

Anasema tu ili asikike...

NI KATIBA MPYA TU ITAKAYOPUNGUZA MADARAKA MAKUBWA KUPITA KIASI YA RAIS WA TANZANIA...

Dr Kigwa na wewe hukutoshi kwenye ubunge ulikuwa mtu wa tatu kwenye kura za maoni baada ya Bashe na Selelii ukabebwa na kuukwaa ubunge.... mbona hukumshauri Rais jina lako lisipitishwa na CCM-NEC kwenye mchujo kwani ulikuwa hukubaliki na wananchi unaowaongoza. kama wateule wengine wa JK hawatoshi na wewe ulipata ubunge wa nzega huku hautoshi ...............walikuwepo waliotosha zaidi yako.
 
Sasa huyu bwana amegundua lini haya anayoyasema?? Eti anashukuru 2015 JK muda wake unnaisha na kama angesimama tena wangemnyima. Jamaa anasahau ni mwaka jana tu walimpa agombee. After all JK kafanya kampeni yeye, Mkewe na Mwanae, sasa sijui CCM wanaubia gani kwenye urais wa Kikwete!!

Si mlishaambiwa kuwa Mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania. Ila Tatizo wanaCCM hawajui kuwa na wao wapo kwenye same boat!!
 
Ukizingatia na hiyo nafasi ya ubunge alipita kwenye kura za maoni kwa bahati mbaya, tunasubiri 2015 ka atapewa tena.., Maanake hana tofauti sana na mbunge wa viti maalum

mkuu naomba ujaribu kutafuta avatar nyingine
 
nimejaribu kumsoma kigwa kwa umakini mkubwa lkn nimesindwa kuelewa anachokimaanisha, guy is too disorganized haeleweki yupo upande gani sijui serkali, chama au wananchi? naona anarukaruka tu amekosa msimamo wa anachokiaddress
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom