Mbunge awa Wakala

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Katika kuhakikisha chama chake kinaibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mbunge mmoja maarufu sana wa Chama anayetokea kanda ya kasakazini fulani aliamua yeye mwenyewe kuwa wakala na kushinda katika kituo cha kupigia kura hadi masanduku yalipoondoka...
 
Hizi ni thread za kitoto na za kizembe kabisa.........kuna usiri gani kumtaja huyo Mbunge? watu wengine hovyo kabisa!!
 
huyu ni mbunge wa watu na lazima ajitume kwa kufanya hivyo ili kuhakikisha
kwamba chama na watu wa TZ kama wewe ambae unafikiri kwamba Mh. hastahili
kusimamia na kuwa wakala mbadilike na mjue kwamba hawa ni viongozi na sio watawala
ambao wangetaka kukao ofisini wakati chama kikihujumiwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom