Mbunge Asumpta Mshana na Mary Mwanjelwa hawajui msimamo wa serikali ya Israel

Wabunge walikuwa sahihi...sisi walokole tunataka ubalozi wa Israel , ubaloz wa Israel kwetu ni lazima kama ilvyo mahakama ya kadhi kwa waislam, tutadai mpaka tutapata huo ubaloz,hata kama msimamo wa Tanzania hautambui ,tutapata tu.
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourable
First Name: Assumpter
Middle Name: Nshunju
Last Name:Mshama
Member Type:Constituency Member
Constituent: Nkenge
Political Party: CCM
Office Location: Box 64, Kyaka. 21494, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 783 852736/+255 752 131913
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: amshama@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth


Hiyo hapo juu ndo CV ya Mbunge wetu Asupmter
 
Kulingana na taarifa za vyombo vya habari vya wiki mbili zilizopita Balozi wa Israel Tanzania alikuja Dar kujitambulisha na kwa taarifa balozi wa Israel nchini ndiye pia anawakilisha Tanzania na anakaa Nairobi. Sisi watanzania tunadandia lifti ya wakenya badala ya kuwa na Ubalozi wetu kamili pale Jerusalemu na wao wawe na ubalozi wao kamili hapa Dar. Tatizo la nchi yetu tunarithi hata vitu ambavyo sio vya msingi, kama Mwl. Nyerere alivunja uhusiano wetu na Israel ina maana kuwa Rais mwingine akija ni mpaka afuate yale yale tu??? Hatuna uwezo wa kuamua mambo yetu wenyewe kama sisi ni mpaka tuangalie tu the past things ambavyo havina mashiko, Mwl alikosea kabisa kuharibu mahusiano na Taifa teule la Israel na cha kushangaza akaanzisha uhusiano na taifa la Palestina very wrong, ndio maana Tanzania tuko hapa directly tunapata laana according to the scriptures. Kwa hivyo hawa Wabunge wako sahihi na niko nyuma yao kwa 150%
 
Pia wapo Dodoma, wana kama eka laki moja hivi chini ya Kilimo kwanza na Bwana Dustan Mrutu. Kama utakumbuka rais alitembelea hilo shamba mwezi uliopita, wanalima mboga mboga na wanasema in 3-4 years time Tanzania (maybe kupita kwao) itakuwa ina export kwa E/Africa & bayond.

Ila swali la msingi hapa nadhani na umbumbumbu wa legislatures wetu. Inakuwaje mbunge asijue issue/sera ya Tanzania Middle East?

Bw. Mrutu ni bosi wa kitu inaitwa SAGCOT - a land grabbing machine funded by foreign governments and multinational companies. This is my view of this institution so far, ironically used by the government as a symbol of green growth in this country. All foreign governments and institutions interested in our land are supporting this thing (actually it's foreign-born and then instituted into our government plans), which will have deleterious impacts to existing users of the targeted land ( Southern Agricultural Corridor of Tanzania: home ). On the face value, the idea sounds great. But the people who are charged with the responsibilities of protecting interests of the majority end up favoring the few foreigners. Make no mistakes, this is land grabbing. Mr. Mrutu is facilitating that. Kwamba wata-export in 3-4 years? Kwani mboga wanazolima sasa hivi wanauza wapi? Dodoma? Kariakoo? Na huyo myahudi lengo lake ni kulisha soko la ndani? Do you think so? Here, I am not trying to discourage exportation. Rather, I am trying to get you understand the whole phenomenon.
 
Mkuu unamanisha nchi ambazo zinamatatizo duniani ni kwasababu hawana balozi za Israel? Miak mitatu sasa dunia imepata msukosuko wa uchumi,watu wamepunguzwa kazi,vita na magonjwa je hii inaonyesha kuwa dunia nzima haina ushirikiano na Israel? Itakua vizuri ukitupa majibu haraka na mifano dhairi.
 
Yap. You are some how right. Rwanda is doing well because President Paul Kagame had opted for warm diplomatic ties with Israel. Southen Sudan has dip ties. In 10 year if all goes will S/Sudan will be developed than some of us.....But let Zanzibaris embrance OIC...Kila mtu kivyake
 
"Hakuna aliye adui mkubwa wa waaminio (waislamu) kama wayahudi....."

Kwa uzoefu wangu, wayahudi wanaongoza kwa ubaguzi. Na si kwa waislamu tu. Hawa jamaa ni wabaguzi sana. Fuatilia news uone hatua wanazochukua kukabiliana na wahamiaji kutoka Africa. Sina taarifa kuhusu nchi nyingine yeyote yenye sera mbaya namna hiyo kwa wahamiaji. Nikifuatilia mwenendo ya Taifa hili na watu wake, nina mashaka kuwa hili ni taifa teule. Na kwamba eti, tusipokuwa na mahusiano ya kibalozi na nchi hii tutalaaniwa. This is utterly nonsense at best. Mahusiano na taifa lolote lile hapa duniani hayapaswi kuwa kwa misingi ya kidini. Ni makosa makubwa kufanya hivyo. Hata ukizingatia dini, Wayahudi si waisilamu wala wakristo. And remember, religions are evil. You just look at the evidences.
 
Inaelekea NewOrder na Kikulacho ni wajuzi wa siasa za kimataifa embu mnijuze sababu hasa za kina za sie kutokuwa na mahusiano na Israel maana wengine JF tunaichukulia kama vyuo vingine tu vinavyotoa elimu mbalimbali japokuwa hakuna cheti kinachotolewa zaidi ya kupanua uelewa wetu na ukichanganya na vyeti vyetu vya kuungaunga vya QT mpaka juu tunakuwa tupo fit.


Jodoki,
Kwa miaka mitatu na nusu nimefanya kazi Lebanon katika katika mgogoro huu wa Israel na Palestina kwa upande mmoja na Israel na Syria kwa upande mwingine. Mataifa yote ya kiarabu isipokuwa Moroko, Masri, Imarati, Kuwait na Jordan hazina uhusiano wa kibalozi na justifiabaly ni kutoka na makovu ya vita ya Israel na mataifa ya kiarabu mwaka 1967.

Ni ukosefu wa diplomasia makini ndio maana tunakuwa na marafiki wasiotuletea faida kubwa. Kenya ni mshirika wa Israel na hawa jamaa ni watalii wazuri kiasi kuna direct flights kati ya Mombasa na Tel Aviv. Israel ni wakulima wazuri kuliko yeyote duniani. Egypt na jangwa lake leo ni mzalishaji mzuri wa machungwa na ndizi kutokana na teknolojia ya umwagiliaje na mbegu!! Tungeweza kufaidika na hilo lakini sijui ni nani anafaidika kwa kutokuwa na mahusiano.

Tukachagua Vietnam, Cambodia. Sijui tunafaidika na nini. Mifano hii haimaanishi ni kuwapuuza. Ninaangalia faida kiuchumi.
 
Kwa muda Diplomatic issues za Israel zimekuwa zikifanyika Nairobi. Balozi wa Israel Kenya anawahudumia nchi za E/Africa pamoja na Malawi.

Hawa walokole wameshindwa kutofauita bunge na imani zao? Na huyu Mary Mwanjelwa sio ndio tuliambiwa aliiba taulo hotelini huko Arusha? Ulokole wake unaanzia wapi na unaashia wapi?

naomba tuheshimiane humu kwa imani zetu, unapouponda ulokole ukidhani unamponda Marry mwanjelwa ujue kwamba ni wengi unatuboa, pia elewa kuwa Marry kasema kwa maoni yake basi na ww utoe yako na sio kuattack mawazo ya mtu.
 
Leo katika kipinsi cha maswali na majibu Mbunge wa Nkenge Asumpta Mshama na Mery Mwanjelwa (CCM), wameitaka Serikali itoe Maelezo kwa nini haijafungua Ubalozi nchini Israel kwani kutofanya hivyo ni kuikosea biblia na Tanzania itapata laana.

Kutokana na hali hiyo Wabunge hawa hawajajua msimamo wa Serikali ya Tanzania kwani inatambua kuwa Palestina ni Taifa huru na ndiyo maana nchi yetu katu haitafungua ubalozi katika nchi ya Israel na Lebanon kutokana na uonevu unaofanywa kwa chuki za kidini, hivyo hawa wabunge kuna kila chembe ya dalili ya kutumwa na makuadi wa Israel kwa kuwasemea kupitia Bunge.

Ni vema wawe wanasoma kwanza wabunge wetu kabla ya kukupuka na hoja butu.

nani kakwambia kuhojiubalozi wa israel ni hoja butu? hivi unafahamu ni nchi ngapi haziitambui israel kama nchi kamili? Tz haina budi kuanzisha mahusiano imara na Israel, kwa vyovyote vile, laana haitaondoka tz unless imeibariki Israel.
 
naomba tuheshimiane humu kwa imani zetu, unapouponda ulokole ukidhani unamponda Marry mwanjelwa ujue kwamba ni wengi unatuboa, pia elewa kuwa Marry kasema kwa maoni yake basi na ww utoe yako na sio kuattack mawazo ya mtu.

Shardcole, sina hakika ulikusudia kunijibu lakini ukahafilika au hukunielewa nilichouliza. Labda nifafanue zaidi, Mbunge anaposema serikali ifanye jambo kwa sababu limeandikwa kwenye kitabu cha dini anayofuata mbunge ni sahihi? Hasa kwa Tanzania ambayo tunasema serikali haina dini?

Assumpta Mshana ana-argue kwamba Tanzania kutokuwa na ubalozi wa marekani ni kinyume na maandiko ya biblia, na hivyo tutapata laana! Sasa nikuulize bunge linaendeshwa kwa biblia? au kitabu kingine cha dini? Sababu zilizopelekea Tanzania kuvunja mahusiano yake na Israel huko nyuma anazifahamu mbunge? Na kama hazifahamu, inatupa picha gani sisi wananchi wa kawaida kuhusu watunga sheria wetu (wabunge) kutojua sera za za nchi? Watangiaje maboresho ya sheria kama hata historia ya nchi inawapiga chenga?

Kwenye red: Nimeuliza ulokole wake unaanzia wapi na unashia wapi? Do you know?
 
Hawa wabunge wameuliza jambo la msingi sana ambalo serikali yoyote makini ilipaswa kuwa imelifanya juzi na zio jana. Maandiko matakatifu katika biblia yako wazi kuhusu kubarikiwa wale wanaibariki Israel kama taifa teule la Mungu. Na anayechaguaa ukilaani Israeli anachagua laana badala ya baraka. KWA HIYO< TANZANIA KUTOKUWA NA UHUSIANO WA KIBALOZI KAMA ILIVYOKUWA HUKO NYUMA AUTOMATICALLY IMECHAGUA LAANA. Jambo lolote laweza kutanguka lakini chochote kilichotajwa kwenye biblia lazima kitatimia tu.

Chukua mfano wa Marekani anabarikiwa kwa sababu ya kuwa na uhusiano mzuri na Israel na kuitetea Israel. Au tuangalia jirani zetu Kenya moja ya chanzo cha mambo yao kwenda vizuri ni kutokana na wao kuwa na uhusiano mzuri na Israel. Hebu angalia Tanzania pamoja na kuwa na rasilimali nyingi kuliko Kenya kwa mbali, Tanzania bado iko hoi sana. Wenzetu mpaka wamegundua mafuta sisi bado tupo tunapiga mark time. Kumbuka hili ni suala la kiroho zaidi ambalo taathira zake kwenye uchumi na maisha jumla ya kimwili ni kubwa kuliko unavyoweza kufikiri.

MIMI NASEMA UBALOZI WA ISRAEL NCHINI TANZANIA NA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ISRAEL ULITAKIWA KUWA UMEFUNGULIWA JUZI NA SIO JANA. Tanzania una nafasi ya kuchagua laana au BARAKA.

Katufu, unataka tuamini kuwa mambo yoooote mazuri yaliyotokea kwenye hizo nchi ulizo taja ni kwa sababu ya mahusiano waliyonayo Israel? Yaani hakuna juhudi binafsi, baraka zilishuka kama vua na mambo yakawa safi! Vipi kuhusu mambo mabaya yaliyotokea kwenye nchi hizo hizo, mfano post election violence - Kenya, Mafuriko ya Katrina - USA?

Binafsi nikisoma vitabu vya dini huwa pia nakuchukulia contex nzima, kwamba mambo hayo yaliandikwa kwa nyakati gani, kulikuwa na nini kipindi hicho ambacho kilisukuma matamko fulani kutolewa.
 
naomba tuheshimiane humu kwa imani zetu, unapouponda ulokole ukidhani unamponda Marry mwanjelwa ujue kwamba ni wengi unatuboa, pia elewa kuwa Marry kasema kwa maoni yake basi na ww utoe yako na sio kuattack mawazo ya mtu.
Wewe ni msomi wa wapi? daima katika mjadala wowote kinachotakiwa kuwa "attacked" ni mawazo na hoja za mtu na sio mtu mwenyewe. Sasa wewe unataka tofauti yake?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kwa kuwa hili suala limeibuliwa Bungeni na wabunge wa CCM, wale makuwadi wa magamba humu JF kimyaaaaa; hakuna cha dini yetu wala nini simply kwa kuwa hoja imetoka kwa wana CCM! Hivi hoja husika ingekuwa imeanzishwa na Mbunge wa CHADEMA, hata kama ingekuwa na mantiki kiasi gani, ingekuwaje humu saa hizi? Ingeshafika post ya ngapi humu? Na hapo ndipo unafiki ulipo!

Kidogo naanza kupata mwanga kuhusu uhusiano uliopo kati ya CCM na wafuasi wa dini ileeeee ambao ni members humu JF. Kwao suala la kusimamia ukweli halipo bali kuitetea CCM hata kama ni pumba. Je, ni kwa kipindi cha mpito tu wakati wa awamu hii wataendelea kufanya hivyo? Ikija awamu nyingine (ya CCM) yenye mrengo tofauti na hii utetezi wao utaendelea? Kama hautaendea, watageukia chama gani na kwa nini?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Huu ndio udini wenyewe tunaouongea sasa Waislam nao wakisema kuhusu Saudi Arabia, Mecca na Medina utawajibu nini? jamani ioneeni huruma Tanzania, tumeishi bila ya huo ubalozi na Israel sasa sioni kwanini tushindwe sasa hizi chokochoko za dini zitalipasua taifa hili! Tuwe na staha uisomavyo Biblia wewe usitake ieleweke hivyohivyo na kila mtu! Give us a brake nyie Walokole

Ebu sikia wewe Gezaulole kwani walokeole si watu? Tena sasa tunataka sensa ya watu na makazi iwe na kipengele cha kuonyesha hapa Tanzania walokole tuko wangapi na wako wapi ili nasi tuweze kutetea maslahi yetu. Hao wabunge wametusemea sisi. Kama wewe unaona si point ni kwa vile huna maslahi nayo. walokole tuna maslahi yetu na Israel tena kwa sana. Tunataka Tanzania ifungue huko ubalozi haraka.
 
Tanzania kuvunja ubalozi na Israel sio kwasababu nyingine zaidi ya uonevu unaofanywa na Israel la kutaka na bado inaendelea kuiondoa Taifa la ki PALESTINA fatlikia kinachoendelea uko utashangaa km kweli Taifa linalojiona teule linaweza kufanya hivyo...Swala sio udini kwani ata Israel penyewe ukristu ni kiduchu sana.....Try to read the following data below:
Religion affiliation of Israel population as of 2011 was
:
  1. 75.5% Jewish
  2. 16.7% Muslim
  3. 2.1% Cristian
  4. 1.7% Druze
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Tanzania kuvunja ubalozi na Israel sio kwasababu nyingine zaidi ya uonevu unaofanywa na Israel la kutaka na bado inaendelea kuiondoa Taifa la ki PALESTINA fatlikia kinachoendelea uko utashangaa km kweli Taifa linalojiona teule linaweza kufanya hivyo...Swala sio udini kwani ata Israel penyewe ukristu ni kiduchu sana.....Try to read the following data below:
Religion affiliation of Israel population as of 2011 was
:
  1. 75.5% Jewish
  2. 16.7% Muslim
  3. 2.1% Cristian
  4. 1.7% Druze

Haya bana.
 
2.1% Cristian alafu watu wanaongelea mahusiano ya nchi ya Israel na Tanzania kwa Udini? Jamani muda wakufikiri nje ya kapu la mawazo finyu umefika. Yako mambo zaidi ya Udini kwa mustakabali wa Tanzania.
 
Kwa uzoefu wangu, wayahudi wanaongoza kwa ubaguzi. Na si kwa waislamu tu. Hawa jamaa ni wabaguzi sana. Fuatilia news uone hatua wanazochukua kukabiliana na wahamiaji kutoka Africa. Sina taarifa kuhusu nchi nyingine yeyote yenye sera mbaya namna hiyo kwa wahamiaji. Nikifuatilia mwenendo ya Taifa hili na watu wake, nina mashaka kuwa hili ni taifa teule. Na kwamba eti, tusipokuwa na mahusiano ya kibalozi na nchi hii tutalaaniwa. This is utterly nonsense at best. Mahusiano na taifa lolote lile hapa duniani hayapaswi kuwa kwa misingi ya kidini. Ni makosa makubwa kufanya hivyo. Hata ukizingatia dini, Wayahudi si waisilamu wala wakristo. And remember, religions are evil. You just look at the evidences.

Ubaguzi kaanzisha Mungu! Na ndio sababu kuna Taifa, Kabila, Lugha, na Rangi...! Ukimuona nyani mweusi ni wetu na wa India ni Muhindi! Hiyo imempendeza Muumba
Ni hapa Tg tu ndio tunakiuka mpango wa Mungu, na kujifanya kipumbavu hatuna ubaguzi!
kutonikaribisha chumbani kwako na mkeo nikuite mbaguzi!
 
Back
Top Bottom