Mbunge apendekeza zitungwe sheria za kuibana Jamii Forum na Intenet cafe

aliulizwa form za kutaja mali na kamati ya maadili akadai pepo wachafu wamezichukua...mh

Hivi kwanini watu wenye akili zenu nam mnao heshimika sana mnataka kupoteze muda na huyu shuga mami.waswahili wanasema ukimwaga ugali namwaga mboga sasa huyu mama ni kumuanika madhambi yake yote anayofanya na asidhani kuwa watu hawajui na atambue kuwa wanajf siyo waumini wake anaowabuluza kama watoto wadogo.humu kuna watu na akili zao hakuna longolongo kama kanisani kwake.atoe ujinga
 
Haiitaji sheria ila ni kumuelimisha tu huyo [mjane] kuwa asome sheria
hii mitandao iko worldwide na mingine hutumika hata kuchagua rais wanaomtaka.
tatizo ni kuwa hata huyo aliyempa ubunge ana tatizo!!
Mkuu huyu mama sio mjane, maana mumewe yupo. Sijui kwa nini walitengana na bado najiuliza hata kama walikuwa na tifu kiasi gani, basi mama (kwa title lake) angelianzisha kumsamehe huyo mzee wake ili wakaliendeleze lile segere.
 
ONGELA MAMA lwakatare kwa kuitangaza jf bila we kujua kweli we kilaza watu wengi toka mchana wameanza kuifatiria jf na huakika memba wataongezeka humu wiki hii jf idumuuu na isianguke kama jk anavyoanguka jukwaani. Iwe juu kama mlima kilimanjaro ambao upo kenya
 
Mwanasheria gani serious anaweza kupoteza muda wake kusema upuuzi wa huu mtandao?

ni wewe ndio unauona kuwa ni upuuzi, si kosa lako, yawezekana wewe ndiyo mpuuzi na upuuzi umekuathiri kisaikolojia.
 
Alikuwa wapi wakati wote

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Back
Top Bottom