Mbunge alalamikia Dawa za kuongeza nguvu za kiume bungeni!!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Philipa Mturano mbunge wa viti maalumu CDM anachangia bajeti ya wizara ya afya na kulalamikia dawa za kuongeza nguvu za kiume. Anasema wanaume wakitumia hizo dawa inakuwa balaa kwa akina mama. Katolea mfano wa jamaa aliyekunywa dawa hizo huko Kimara mwisho uume ukakuwa na kufikia uzito wa kilo 12.........huyu mama anaonekana kama ni mhanga vile anavyoongea kwa uchungu!!
 
Huyo mbunge mpaka analalamika hivyo ujue Mr nae kajilipua!! Pole dada ndio maisha ya ndoa yanataka uvumilìvu! Utazoea ucjali
 
Philipa Mturano mbunge wa viti maalumu CDM anachangia bajeti ya wizara ya afya na kulalamikia dawa za kuongeza nguvu za kiume. Anasema wanaume wakitumia hizo dawa inakuwa balaa kwa akina mama. Katolea mfano wa jamaa aliyekunywa dawa hizo huko Kimara mwisho uume ukakuwa na kufikia uzito wa kilo 12.........huyu mama anaonekana kama ni mhanga vile anavyoongea kwa uchungu!!
Mkuu,Wakati huyo mbunge anaongea alikuwa kwenye hali gani?
 
Philipa Mturano mbunge wa viti maalumu CDM anachangia bajeti ya wizara ya afya na kulalamikia dawa za kuongeza nguvu za kiume. Anasema wanaume wakitumia hizo dawa inakuwa balaa kwa akina mama. Katolea mfano wa jamaa aliyekunywa dawa hizo huko Kimara mwisho uume ukakuwa na kufikia uzito wa kilo 12.........huyu mama anaonekana kama ni mhanga vile anavyoongea kwa uchungu!!
mhh 12kg?
 
Back
Top Bottom