Mbunge akifuatilia mjadala kuhusu katiba

314491_188992757853745_100002290673535_433680_184633268_n.jpg

Kikao cha bunge kikiisha na yeye kumaliza kuchapa usingizi anakinga mkono alipwe "Posho ya kuchapa usingizi bungeni" Wabunge wa CCM ni hovyo kabisa!!!! Wanatia hasara tu nchi yetu wanachokifanya hata hakieleweki.
 
Hapo tutapata katiba kweli!!?

Katiba ya Chama cha mafisadi itakayowahakikishia kuendelea kuwepo madarakani milele itapatikana ndiyo maana wanachapa usingizi kama kazi, lakini katiba ambayo Watanzania wengi tunataitaka ya kuweza kulinda maslahi ya Tanzania na Watanzania, kupunguza nguvu kubwa alizokabidhiwa Rais, kulipa bunge letu nguvu kubwa ikiwemo kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais kama utendaji wake hauridhishi, kuhakikisha kuwa tuna tume huru ya uchaguzi na siyo hii tuliyonayo tume ya magamba n.k. haitapatikana kamwe.
 
Itakuwa ni ulevi tu! Hao wapo hapo kuongeza idadi ya kura kama spika au mwenyekiti anauliza "wangapi wanaafiki" ndiooooooooooooooooo!
 
mmmhh! Akimaliza utaona huyooooo! Kupokea posho au nae anapiga makofi huku alikua ka lala na aelewi kilichoongelewa
 
Back
Top Bottom