Mbunge akifuatilia mjadala kuhusu katiba

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
314491_188992757853745_100002290673535_433680_184633268_n.jpg
 
huyo ni salome,mbuge wa iramba mashariki......mbuge wa magamba
 
Hakuna kamati ya nidhamu?huku kwa kweli ni kukosa nidhamu!!imeniuma kwa sababu anachezea pesa ya mlipa kodi
 
Nyie matatizo ya dunia yamemsonga na yeye binadamu au inaweza kuwa raha na starehe za dunia pia,
 
Na akistuka tu anapiga makofi, ndo walewale wanaolala busy wakirudisha gharama za uchaguzi!
 
hivi hawa wanakuwaga wanafanya nini usiku au karibu na asubuhi?lazima kuna kitu wanafnya ndo maana wanalala sana
 
Back
Top Bottom