Mbunge ahoji jimbo la Malecela kutokuwa na barabara ya lami

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,988
Ama kweli awa wazee wanazeeka vibaya
mbunge aliechukua nafasi ya karandinga mzee wetu malecela bwa livingstone amedai
barabara nyingi za waliokuwa mawaziri wakuu na marais zina lami na kushangaa iweje
za dodoma alikokuwa akiishi mzee wetu malecela akuna hata njia ya lami

pamoja na hayo amehoji serikali ina mpango gani kuunganisha njia ya lami kutoka chuo cha udom
mpaka mvumi kumuenzi karandinga huyo??

Kazi ipo waende kwa msuya wakaulize aliwekaje bank mlimani lami mahospital,,unajua mambo mengine
sio lazima usema bungen usaidiwe ni akili tu sasa kama mzee wetu alijua waziri mkuu ni uongozi
wa maisha basi mpaka alipotoka kwenye ubunge nahisi amejua sasa aliitajika kuwafanyia mengi wananchi
pengine nisilaumu sana maana wananchi wamekuwa wakimpigia kura na kama si nec kutimua mambo yale anyaway
tusiyakumbuke sana akika angekuwa mjengoni tena ..sasa nahisiluzinde we tetea kama wewe jimbo lako
aliepita sindwele tugange yajayo achana na kutumia kivuli cha karandinga kuomba msaada jimboni
 
huyo mzee chigwiyemisi alishawahi sema tutunze pumba ili wakati wa njaa eti tule pumba kweli jamani aaargh aende zake huko.
 
Mzee wetu alijijenga zaidi ukweni Tukuyu na ndiko kulipokuwa na barabara ya Lami, kuhusu Mvumi sidhani kama ilikuwa ni kipaumbele chake wakati akiwa na madaraka na hiyo ilija mcost mpaka akapoteza ubunge kwa bwana mmoja nafikiri aliitwa Mazengo, nakumbuka akiwa waziri wa ujenzi pale Mvumi mvua ilikuwa ikinyesha kidogo tu basi pale shambani kwake magari pamoja na basi ya Mbwilo ilikuwa haipiti kwenda Dodoma na hiyo ilichangia sana achilia mbali kuwanyima maji wagogo wenzie toka shambani kwake
 
Back
Top Bottom