Mbunge adai kufanyiwa vitendo vya kishirikina jimboni

Mara kumi kuburudika na mpira, wanasiasa wa nchi hii wameshatufanya mazuzu, kila siku ufisadi ufisadi na hakuna hatua zozote wanazochukua, bora wakae kimya kuliko kuongea kwa jazba mpaka nyama za koo ziwaume bure.Shellukindo wote wawili ni maji ya shingo, hamrudi tena bungeni.

maishu yanajadiliwa miaka nenda rudi,.....way foward hata hatujaijua...........so tiring politcs!!!!!!!

hiyo ndo sifa ya wasiasa....tarumbeta kwa sana hamna kucheza!!!!!!!!
 
Kuna watu wanafanya kazi kwa kuangalia upepo na Shelukindo ni namba moja. Anashindwa majukumu ya mwenyekiti wa kamati anakuja kupiga debe mtaani ili wananchi wamwone yeye jasiri kumbe zero tu. wacha angolowe ata kama January anatumiwa na mafisadi.
 
Hawa wabunge wetu wanashangaza sana wakiwa bungeni wanakaa kimya bunge utafikiri wapo mapumzikoni, leo uchaguzi unakaribia ndio wanaanza Richmond, mafisadi, Kiwira, Meremeta eti mpaka kieleweke. Mlishindwa nini kuongea bungeni kikaeleweka mje muongee leo mitaani acheni longalonga zenu msizidi kutuchosha akili na mawazo. Kama muda umeisha umeisha pumzikeni tutadeal na wabunge wapya period!!
 
Mimi namsifu Beatrice Sherukindo sana tena sana kwa kulikweka jambo hilo wazi.

Ushirikina au tuseme kuamini ushirikina limekuwa ni tatizo. Uamini usiamini sasa hivi wanasiasa wanaliona kama mtaji. Nionavyo mimi mbali na kupata wabunge ambao ni Ufisadi-sponsored, sasa tutapata ambao ni uchawi-sponsored.

Mzee mzima Mongella yeye anajivuna wazi wazi kwamba wapinzani wake atawaangusha.

Na hilo la juzi la Sheikh Yahya kutabili kifo cha mpizani wa Kikwete? Nalo lilishabikiwa na ndumila kuwili wa serikali. wapambe.
 
Aende kwa marehemu Mandondo kule atapata ujinga wote anaoutaka,ila pepo hatokuwa nayo iwapo umauti utamkuta kabla ya kutubu!

kwi kwi kwi si amuone jirani yake hapo korogwe bingwa wa kuota wachawi stephen ngonyani a.k.a maji marefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom