Mboye bado hujajibu......

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
380
45
Wakati wa mkutano mkuu wa chadema Mboye alipata muda wa kueleza juu ya chama chake kutuhumiwa kuwa ni cha kikabila na kifamilia....
Wakati wa hoja hii alishindwa kujieleza kwa nini chama si cha kifamilia au kikabila bali aliishia kulalama na kutoa mifano isiyo na tija....eti mbona sisiemu nao wapo hivo, mbona Kikwete na mwanaye, mbona Sita na mkewe, mbona zikawa nyingii...
Tulitaka kusikia kuwa chama si cha kikabila au cha kifamilia kwa sababu hizi.....kwa mfano

a)Uongelee teuzi za wabunge wenu, je si za kifamilia si za kikabila?

b)Utuelezee juu ya uteuzi wako na kwanini hujachaguliwa kama demokrasi yenu inavyosema?
 
Vipi kama ukiamua kwenda alipo na kumuuliza, sidhani kama Mboye atakuja hapa JF na kukujibu!

By the way Mboye yupi huyo?
 
Kwa kiswahili cha mazungumzo ni tusi, nita proove-
Bintiye - binti yake
Mboye - ?

MODs watu kama PapoKwaPapo ni kupiga ban la maisha, sijui kama huyu jamaa amepiga mswaki kupost matusi hapa! Mbo..ye
 
Mkuu Avatar yako inaniacha hoi asee...big up!
Mkuu hapo ni enzi nikiwa jeshini, hatukuwa na muda wa kusubiri kukata gogo, lazima ufanye mazoezi kama haya, unaruka na kitu kinajiachia teh teh teh
 
hata mie nashangaa sidhani kama huyu mboye atataokea hapa kwanza jina sio lake then then
 
Back
Top Bottom