Mbowe zungunga nchi nzima lakini sahau uwaziri mkuu !

mwanafyale

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
1,641
535
kama unaakili timamu nadhani utakualiana nami kwamba haitotokea kamwe katika historia ya nchi hii kuongozwa na mtu anayeitwa freeman mbowe ! Mbowe amedhihirisha wazi tabia yake ya ubabe dhidi ya wabunge wenzake kwa kuwatolea maamuzi, ukabila wa hali ya juu wakati wa uteuzi wa wabunge viti maalumu, nk

mbowe ni sawasawa na kenge kwenye msafara wa mamba !
 
Naisikitikia Tanzania wagonjwa wa akili wanazidi kuongezeka siku hadi siku.
 
kama unaakili timamu nadhani utakualiana nami kwamba haitotokea kamwe katika historia ya nchi hii kuongozwa na mtu anayeitwa freeman mbowe ! Mbowe amedhihirisha wazi tabia yake ya ubabe dhidi ya wabunge wenzake kwa kuwatolea maamuzi, ukabila wa hali ya juu wakati wa uteuzi wa wabunge viti maalumu, nk

mbowe ni sawasawa na kenge kwenye msafara wa mamba !

Nani akubaliane na chizi?
 
Nadhani wewe ni mpitaji tu..kwanza hueleweki..ZUNGUNGA. ndo nini tena?????? .Siku nyingine ukitumwa kataaa maana utaumbuka.
 
kama unaakili timamu nadhani utakualiana nami kwamba haitotokea kamwe katika historia ya nchi hii kuongozwa na mtu anayeitwa freeman mbowe ! Mbowe amedhihirisha wazi tabia yake ya ubabe dhidi ya wabunge wenzake kwa kuwatolea maamuzi, ukabila wa hali ya juu wakati wa uteuzi wa wabunge viti maalumu, nk

mbowe ni sawasawa na kenge kwenye msafara wa mamba !

yaani watu wengine mnaongea as if mmeshikishwa ukuta...
 
Na huyo waziri mkuu wa sasa asiye mbabe amelifanyia nini taifa, badala yake tunadidmia tu, wote na boss wake ni watu wa kulalamika na kulia hovyo, Mizengo asiguswa kidogo machozi waaaaa, na amshukuru Anna Makinda kumuepusha na Zari la Lema safari hii angelia kwa sauti akitaka aonewe huruma.Tanzania ya leo tunahitaji Waziri mkuu mbabe kama Freeman mBOWE, umeshuhudia alivyowanyamazisha waliotaka tafsiri ya kambi rasmi.Mbowe anafaa sana huyo ni sawa na POMBE MAGUFURI hakuna kulemba
 
kama unaakili timamu nadhani utakualiana nami kwamba haitotokea kamwe katika historia ya nchi hii kuongozwa na mtu anayeitwa freeman mbowe ! Mbowe amedhihirisha wazi tabia yake ya ubabe dhidi ya wabunge wenzake kwa kuwatolea maamuzi, ukabila wa hali ya juu wakati wa uteuzi wa wabunge viti maalumu, nk

mbowe ni sawasawa na kenge kwenye msafara wa mamba !

Unapondika majina ya watu, miji nk anza kwa herufi kubwa.

utakualiana ulikuwa unataka andika nini?

zungunga Ulikuwa unataka andika nini?

Huu ni ukenge na ujuha.
 
mwanafyale gani wewe huna akili kiasi hicho...hopeless!
Unaongelea uwaziri mkuu gani na kiswahili chako bomu namna hiyo kama vile umezaliwa Nyasaland!
Pisha wanaume waongee, kichwa yako ina moto.
 
kama unaakili timamu nadhani utakualiana nami kwamba haitotokea kamwe katika historia ya nchi hii kuongozwa na mtu anayeitwa freeman mbowe ! Mbowe amedhihirisha wazi tabia yake ya ubabe dhidi ya wabunge wenzake kwa kuwatolea maamuzi, ukabila wa hali ya juu wakati wa uteuzi wa wabunge viti maalumu, nk

mbowe ni sawasawa na kenge kwenye msafara wa mamba !

KajisaIdie kwanza.....
 
Ameingia mitini. Au amekamatwa akiwa na dawa za kulevya? Huu ugonjwa wa akili sijui utaisha lini au ndio ugumu wa maisha?
 
kama unaakili timamu nadhani utakualiana nami kwamba haitotokea kamwe katika historia ya nchi hii kuongozwa na mtu anayeitwa freeman mbowe ! Mbowe amedhihirisha wazi tabia yake ya ubabe dhidi ya wabunge wenzake kwa kuwatolea maamuzi, ukabila wa hali ya juu wakati wa uteuzi wa wabunge viti maalumu, nk

mbowe ni sawasawa na kenge kwenye msafara wa mamba !
wewe findufyangu kweli yaani unampangia uwaziri mkuu mwenzio kwanini? hujui baada ya mabadiliko ya katiba hakutakuwa an cheo hicho tena kwa mujibu wa CHADEMA ? mtu anapofanya harakati si lazima ufikirie cheo kama nyie watu waCCM MNAOAMINI VYEO NI ULAJI TU NA SIYO UTUMISHI WA WATU
 
Haujajenga hoja,ila inaonekana una chuki na mbowe,tena unatumiwa.haujui ulitendalo,ingekuwa kanisani,ningekuita yuda msaliti.nakwambia mbowe ni mwanasiasa wa kweli ni kiboko ya ccm.
 
kuna wagonjwa wengi sana wa akili katika leval tofauti na huyu nae yumo knye stage fulani
 
kama unaakili timamu nadhani utakualiana nami kwamba haitotokea kamwe katika historia ya nchi hii kuongozwa na mtu anayeitwa freeman mbowe ! Mbowe amedhihirisha wazi tabia yake ya ubabe dhidi ya wabunge wenzake kwa kuwatolea maamuzi, ukabila wa hali ya juu wakati wa uteuzi wa wabunge viti maalumu, nk

mbowe ni sawasawa na kenge kwenye msafara wa mamba !

Wewe inaonekana unafaa zaidi kwanini hukuchukua fomu ukamsaidia Kikwete. Au ni mganga wako kakutuma labda sio Mboye wa Chadema ni mwingine. Na unapangia chama kama nani? Hayo waachie wenyewe hayakuhusu.
 
nawasikitikia sana watu wa K'njaro maana ndiyo hawataki kuamini ! Ingawa mbowe ndiye mmiliki wa Jamii forums lakini SAHAU KWENYE NCHI HII MBOWE KUWA PM. LABDA KWENYE UKUMBI WA BILLS.
 
yaani watu wengine mnaongea as if mmeshikishwa ukuta...

Great thinkers,, uhuru wa kutoa maoni ni haki ya kila mtu, na kama usipotambua hilo basi unapungukiwa sifa ya kuwa Great thinker. Mtu katoa mawazo yake binafsi,, ninyi mnamwita majina yoooote mabaya mnayoyajua, kwanini? Ebo! Kisa katajwa Mbowe? au CDM? Akitokea mwingine akaanidika maneno yanayofanana na hivi kuhusu JK au CCM hapo ninyi roho kwatu. Mnaishusha hadhi Jamii Forums,, inakuwa kama kijiwe cha wahuni tu na watu wenye matusi kama huyu aliyeandika hapo juu.
 
Back
Top Bottom