Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

Mtei alisema yeye anasimamia msimamo wa Mbowe na kamati kuu ya chama hicho kuhusu kumpendekeza Dk Slaa kuwania nafasi hiyo.

( MWANANCHI JAN 3,2013)

Naona wenye chama (mtu na mkwe) wameshafanya maamuzi siku nyingi wengine subiri siku ya kura mtekeleze maamuzi yao.
 
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz! Naona wana CHADEMA wamesusa hii thread! Haishikiki! Hoja ziliisha na ile thread ya kwanza waliposupport. Siku zote tunasema CHADEMA hakuna checks and balances. Mbowe aliponukuliwa kusema, wana CHADEMA waliona dhambi kupinga kauli yake. Leo amekanusha, wanamsupport. Bendera fuata upepo au ndio great thinkers?
 
Mhn Siasa noma...ndo yale yale "nilinukuliwa vibaya" Tatizo labda si kunukuliwa..bali ni kutafsiriwa...maana nukuu, ni maneno ya mtoa habari.

Kauli ya Mwenyekiti ni Kauli ya Chama...Kwa jambo hili nyeti, kama kweli Mbowe amekanusha..alipaswa aitishe Press Conference...Maana issue ya Siasa za makundi katika vyama vyetu ni issue kubwa na Nyeti.
 
Nilisema tz hakuna chama makini, CDM ni wababaishaji sana hawa jamaa!
 
Hujui unenalo. Huwezi kufanya japo utafiti kidogo tu, kabla hujaamua kubisha, achilia mbali kujenga hoja kinzani dhidi ya hoja nyingine au mtu mwingine usiyekubaliana naye!

kiongozi heshima kwako hivi ni kweli mwananchi walimsingizia?
kama ni kweli na ile habari ya tanzania daima iliyokua inasema MBOWE AWAKUNA WATANZANIA nayo pia haikua sahihi?
 
Ina maana aliongea kichaga au kiswahili kama ni kiswahili aliyasema hayo anayoshutumiwa nayo

Mkuu, gazeti la mwanachi waliamua kupotosha hiyo habari kwa sababu zao.

Ndio maana wengi wetu hum Jf tulihoji utofauti wa hiyo habari kati ya mwananchi na Tanzania daima.
 
Naona wenye chama (mtu na mkwe) wameshafanya maamuzi siku nyingi wengine subiri siku ya kura mtekeleze maamuzi yao.

watu wengine nao ni maajabu kwani binadamu mmoja si anafikra tofauti na mwingine na malengo nayo huwa tofauti na ya mwingine,hata kama mtu kiongozi nje ya vikao si atakuwa anafikiri tofauti na wengine:bange:mimi sioni ubaya wa mtu kukisema anachokiamini ambacho hakijafikia azimio la pamoja la taasisi,ila ni mbaya sana kutoa msimamo tofauti najambo ambalo taasisi unayohusika nayo imeshatoa azimio,waliojitangaza CCM wamevunja demokrasia ipi,CUF Je?,CHADEMA noma:crazy:
 
Mhe Mbowe kumbukeni mnayotamka yanaenda kutendeka sababu mwanadamu anauungu ndani yake,jamani ndio yenu na iwe ndio na hapana yenu na iwe hapana,mkiangalia sana kwamba mnafanya kwa ajili ya watu aliowaumba Mungu na wala si nyie hivyo hatutegemei sana utashi wenu tunatamani muwe mnamshirikisha Mungu kwenye maamuzi yenu mkiisikiliza sana sauti ya Mungu msije mkadaiwa,kama kiongozi uliebeba dhamana ya watz,usifurahie nafasi hiyo iogope sana sababu utatoa hesabu mbele za Mungu juu ya damu za watu wake starehe za duniani ni za muda mfupi sana acheni kuigiza maanisheni.
 
Kibanda na Makunga wana kesi ya kujibu tena ya uchochezi mahakamani.Kibanda kachanganya na za kwake Mhando yupo Kazini
 
Im verry dispointed na mbowe,
angeweza sema aliteleza ulimi kwakuwa ni kweli aliongea.atatia aibu cku
ukiwekwa mkanda wa kideo hapa na mtakosa namna ya kumtetea. Halafu jf
mna mambo,watu washabadilika humu,mlikuwa mnamtetea na kusifia
alichosema leo kageuka na nyie mnageuka, mejiabisha kwakweli.

Mkuu tupia hiyo video, watu kuandika hisia zao sio nzuri hata kidogo.

Narudia tena, mwananchi walipotosha hiyo habari kwa maksudi.
 
Naona wenye chama (mtu na mkwe) wameshafanya maamuzi siku nyingi wengine subiri siku ya kura mtekeleze maamuzi yao.

Naona wana magamba na mlionunuliwa slaa amewakaa vibaya,waachieni watanzania wanajua aina ya kiongozi wamtakae vinginevyo mtaugua kwa pressure bure ccm imeoza na inanuka ufisadi hadi ngazi ya vijiji na hakuna hatua inazochukua kwa hiyo mnapoteza muda wenu
 
10:34am Jan 3
Ulisema slaa anatosha urais 2015 leo unasema umelishwa maneno lakini unaendelea kubaka demokrasia eti utahakikisha unasimamia kumpata mgombea urais 2015 ukiwa mwenyekiti kana kwamba unahati miliki ya uenyekiti! Hivi hizi nguvu za uungu watu zinatoka wapi yaani mtu unakuwa na uhakika wa kuhodhi uenyekiti ndani ya chama cha demokrasia!
 
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!
Naona wana CHADEMA wamesusa hii thread! Haishikiki! Hoja ziliisha na
ile thread ya kwanza waliposupport. Siku zote tunasema CHADEMA hakuna
checks and balances. Mbowe aliponukuliwa kusema, wana CHADEMA waliona
dhambi kupinga kauli yake. Leo amekanusha, wanamsupport. Bendera fuata
upepo au ndio great thinkers?

Kwani ww haupo????, Hongereni sana maana ndicho mlichokuwa mnatafuta. poor mwananchi newspaper & all those behind the scene.
 
Back
Top Bottom