Mbowe: Rasimali za Watanzania zimeuzwa

Serayamajimbo

Senior Member
Apr 15, 2009
191
38
Mbowe: Rasimali za Watanzania zimeuzwa


na Asha Bani


amka2.gif

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema umasikini wa Watanzania umetokana na viongozi wakuu wa nchi kuuza nchi na rasilimali zake kwa wageni kutoka nje ya nchi.
Mbowe alisema hayo jana katika Kijiji cha Moa wilayani hapa, wakati akihutubia mamia ya wananchi katika mfululizo wa mikutano ya chama hicho maarufu kama Operesheni Sangara inayoendelea mkoani hapa.
Alisema, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejiuzia na kujilimbikizia rasilimali za nchi, huku zingine zikiuzwa kwa Wazungu wakati Watanzania walio wengi wakiendelea kuteseka kwa umaskini.
“Nchi imeuzwa, nchi imekuwa maskini, CCM inawatenga Watanzania, inamilikisha rasilimali za taifa nje ya nchi pamoja na nyingine kujimilikisha wao wenyewe ili waweze kuitawala nchi kwa mabavu na nguvu za dola, ni lazima kuwe na mabadiliko ya dhati ili kila Mtanzania aweze kunufaika na rasilimali za taifa,” alisema Mbowe. Aidha, alisema kutokana na hali hiyo kuna haja ya Watanzania kuwa kitu kimoja ili kuing’oa CCM madarakani kwa kuwa wameiangamiza nchi na kuwafanya wananchi kama mtaji wao. Naye Mkurugenzi wa Vijana wa chama hicho, John Mnyika alisema serikali imewasahau wakazi wa wilaya hii kutokana na kushindwa hata kuwajengea hospitali na kuwaletea wauguzi wa kutosha, kuwa na maji safi na salama na hata shule.
 
......“Nchi imeuzwa, nchi imekuwa maskini, CCM inawatenga Watanzania, inamilikisha rasilimali za taifa nje ya nchi pamoja na nyingine kujimilikisha wao wenyewe ili waweze kuitawala nchi kwa mabavu na nguvu za dola, ni lazima kuwe na mabadiliko ya dhati ili kila Mtanzania aweze kunufaika na rasilimali za taifa,” alisema Mbowe. Aidha, alisema kutokana na hali hiyo kuna haja ya Watanzania kuwa kitu kimoja ili kuing’oa CCM madarakani kwa kuwa wameiangamiza nchi na kuwafanya wananchi kama mtaji wao.......

Duuuh kama ni hivyo sasa iposiku tutaambaiwa tuhame kwa majumba yetu pia nini?

Hebu mtupe vivid evidence ni jinsi gani serikali ya CCM inauza rasilimali yetu?

Na ni jinsi kani au tuweke mikakati ipi kuelimisha jamii hii ya watanzania na kuelewa kuwa nchi imuza au inauzwa?

Kama inchi inauza inamaana inaashiria machafuko yako mbele ya uso wetu kama yale yaliyotokea Zimbabwe?

Me nadhani Operation Sangara has to come up with evidence kuwa Serikali ya CCM imefanya hiki kwa % hiii na Haijafanya hiki kwa%
fulani na kuwa haijatimiliza ahadi ya ilani yake na sasa basi ni mikakati gani CHADEMA inayo kutokana na hayo mapungufu itaboresha endapo wananchi wakiichagu CHADEMA na kuunda serikali?

Pia CHEDEMA yapaswa kutambua asilimia kubwa ya watanzani hawajui Katiba ya nchi yaooo, hawajui Mustakabali wa nchi,hawajui wajibu wa wabunge na bunge kwa wanchi,hawajui Ilani ya CCM hata ya CUF na CHADEMA na vyama vingine, Je leo hii mtawezaje kuwabadilisha hawa watanzania over 70% waweze kujua hivyo vitu ili waweze kuwachagua viongozi bora wa kuwaongozaaa?

CHADEMA mwapaswa kujipanga na kujiandaaa na kuijulisha jamii kwa hali na mali kama kweli mwataka operation sangara iwapate watu wengi na kutoa chamgamoto kwa uchaguzi ujao na kuistua CCM. Mkikaaa kupiga majungu hooo mara serikali ya CCM inafanya fyongo ina fanya vile jamani na nyie sindio mtajulikana mwapiga bla bla tuuu. Ipeni heshima Operation sangara kama kweli mko kwa maslahi ya watanzania na mwache fitna na mizengwe.
 
Duuuh kama ni hivyo sasa iposiku tutaambaiwa tuhame kwa majumba yetu pia nini?

Hebu mtupe vivid evidence ni jinsi gani serikali ya CCM inauza rasilimali yetu?

Na ni jinsi kani au tuweke mikakati ipi kuelimisha jamii hii ya watanzania na kuelewa kuwa nchi imuza au inauzwa?

Kama inchi inauza inamaana inaashiria machafuko yako mbele ya uso wetu kama yale yaliyotokea Zimbabwe?

Me nadhani Operation Sangara has to come up with evidence kuwa Serikali ya CCM imefanya hiki kwa % hiii na Haijafanya hiki kwa%
fulani na kuwa haijatimiliza ahadi ya ilani yake na sasa basi ni mikakati gani CHADEMA inayo kutokana na hayo mapungufu itaboresha endapo wananchi wakiichagu CHADEMA na kuunda serikali?

Pia CHEDEMA yapaswa kutambua asilimia kubwa ya watanzani hawajui Katiba ya nchi yaooo, hawajui Mustakabali wa nchi,hawajui wajibu wa wabunge na bunge kwa wanchi,hawajui Ilani ya CCM hata ya CUF na CHADEMA na vyama vingine, Je leo hii mtawezaje kuwabadilisha hawa watanzania over 70% waweze kujua hivyo vitu ili waweze kuwachagua viongozi bora wa kuwaongozaaa?

CHADEMA mwapaswa kujipanga na kujiandaaa na kuijulisha jamii kwa hali na mali kama kweli mwataka operation sangara iwapate watu wengi na kutoa chamgamoto kwa uchaguzi ujao na kuistua CCM. Mkikaaa kupiga majungu hooo mara serikali ya CCM inafanya fyongo ina fanya vile jamani na nyie sindio mtajulikana mwapiga bla bla tuuu. Ipeni heshima Operation sangara kama kweli mko kwa maslahi ya watanzania na mwache fitna na mizengwe.

Ushahidi unaozungumzwa na CHADEMA si huu hapa: http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16

Asha
 
Ushahidi unaozungumzwa na CHADEMA si huu hapa: http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16

Asha

Thnks na Safi,

Nimezipata na nazifanyaia kazi je CCM mbona hujanipaaa au hawajatoaa?

Sasa Dada yangu Asha, Tatizo lipo hapa je watu waote wana weza Acces Internet? Je ni Jitihada zipi CHADEMA na UMOJA WA VIJANA WA CHADEMA UMEFANYA AU NATARAJIA KUFANYA nikimaanisha kutoa elimu kwa watanzania aswa aswa wa vijiji kuweza kuijua katiba na Sera za CHADEMA??

Me nadhani Operation sangara haija tendewa haki yake ipaswavyo kwani immediately after the 2005 election CHADEMA walitakiwa waingie kwa wananchi na kuwaelimisha hayo yote we huoni leo wangekuwa mbali now kumebakia miezi 11 tu wananchi wataelewa kweli???

Naomba mtu ndani ya JF atupe nae za CCM tuone na tufanye comparison

Thnks again

 
miaka mitano sasa mnasema haya. Tunajua nchi inauzwa. Tuambieni sasa mnafanya ninyi ili kuzuia? ninyi kama chama cha siasa mtafanya nini? haitoshi kulalama tu, tupeni mbadala sasa? Msijekuwa kama Kibaki, Chiluba, Muluzi nk
 
Your Own Private Africa by VERLYN KLINKENBORG (Chanzo: The New York Times, September 24, 2006

ISOMEKE:
A Private Foreigner Owning Part of Tanzania
If I could talk with one of the wildebeests in front of me, here's what I'd ask: "How big were the herds 150 years ago?" I'd ask a cow, not a bull. The bulls are frantic, shaping momentary harems out of the passing horde of females, surging ahead in great clouds of dust, dueling under noontime acacias. It's summer in northwestern Tanzania, two degrees south of the equator, and Lee Fuller, a tall, jubilant South African, has driven me into the heart of the migration. The herds glance sideways at us - and there is a lot of sideways to a line of passing wildebeests. They've spilled across the western corridor of Serengeti National Park, a narrow strip of land pointing toward Lake Victoria, and onto Grumeti Reserves, a new, private safari reserve where Fuller is the head guide. They are following the grass, one and a half million of them. They are the color of a thunderhead just before the storm breaks on top of you.
Humans don't seem to know the answer to my question. A hundred and fifty years ago, David Livingstone was just finishing his trek across the continent, some 16 degrees south of us. No one was counting wildebeests back then. The first good counts came in the mid-20th century. Thanks to those, we know that today there are at least five times as many wildebeests in the greater Serengeti ecosystem than there were 50 years ago.
Here's why I mention this. Africa distorts your sense of time and permanence. It makes you believe that whatever you see has lasted forever, whether it's a leopard in a tree by night or a woman walking down a path with a plastic bucket on her head. At Sasakwa Lodge, the heart of Grumeti Reserves, a waiter serves tea in the shade of the veranda. Red oat grass stands thick on the plains below. Giraffes stride through it with the motion of seaweed in a slack tide. The rains are a memory. You imagine it has always been this way - the unending grassland, the migrating wildebeests, the shifting balance between predator and prey, the impeccable service.
But sooner or later, you remember. Every view (especially one that is nearly empty of people) has a history. The only timelessness in nature is the timelessness of change.
And so, the wildebeests. I would like to know how many there were 150 years ago - back in the time before time - because in the late 1880's and early 1890's, a plague called rinderpest swept across sub-Saharan Africa. It was probably brought to Ethiopia by infected cattle imported for the Italian army. It killed at least 90 percent of the cattle on the continent and huge numbers of the buffaloes and wildebeests. In 1960 it was still killing wildebeest calves in the Serengeti. Three years later, after a massive campaign to vaccinate cattle all across Africa, rinderpest vanished from the wildebeest herds. Good rains fell in the Serengeti in the early 1970's, and now there are well over a million more wildebeests in this ecosystem than there were in 1960. When rinderpest breaks out - and it has done so as recently as 1997 - a biological fence of vaccinated cattle probably keeps it from reaching the wildlife.
One and a half million wildebeests are a lot. But I don't know whether the historic herd, the one before rinderpest, was bigger or smaller than the one that exists now. No one does. The lesson, I suspect, is that the only historic herd that matters is the one that's migrating through the present.
Every day at Sasakwa I got up and looked out at the savanna. Every day I drove down into it with Lee Fuller, at dawn and again after tea. Sometimes we followed a frail watercourse, sometimes a well-traveled track through the woodland. I saw lions mating again and again (and again) and a herd of elephants turning blue - all but their tusks - in the swift, equatorial dusk. I watched a cheetah kill a Thomson's gazelle using the wildebeest herd to conceal its approach. I saw impala in the high grass, and I could feel their nervousness, but I didn't really understand it until the morning when Fuller and I got out of the Land Rover and walked up the nearly dry bed of the Grumeti River. Fuller carried a .416 Rigby rifle, a very big gun by American standards. For a couple of hours I felt like prey. We stood under baboon roosts. We examined hyena and leopard tracks. We watched fork-tailed drongos (black, iridescent birds) attack a young martial eagle. We considered the blossoms of Acacia tortilis and felt the leathery leaves of an abutilon. Then we drove some more.
One morning, Fuller and I were driving down the hill before dawn, slipping out of the woodland and into the open, a clear, blue day ahead. Fuller said, with satisfaction, "Just us and 140,000 hectares." I knew exactly how he felt.
It was never really just us, of course. There were guests and staff at Sasakwa Lodge and its sister lodge, Sabora Plains Tented Camp, as well as a construction crew at a river camp being built at Grumeti called Faru Faru River Lodge. There were askaris (uniformed guards) in hidden observation posts all around us, armed with binoculars and two-way radios. Every day we saw antipoaching patrols coming and going, men crowded into the backs of Toyota pickups, waving as we passed. Sometimes I caught the glint of a windshield on the main Tanzanian highway, a rough, red-gravel road that cuts across the reserves. One day we drove past Fort Ikoma, an old German redoubt that is now a kind of back lot with maintenance buildings and staff housing for Serengeti National Park. Southeast of Ikoma - still on the reserves - is a lone village called Robanda. But 140,000 hectares is about 346,000 acres, or more than 540 square miles, bigger than Grand Teton National Park and almost one-tenth the size of Serengeti proper. This is for the exclusive use of guests staying at Grumeti Reserves. The landscape feels empty, except for the game.
In 2002, the Tanzanian government leased this land to Paul Tudor Jones II, an American conservationist and financier in his early 50's. Since June - when the first full season of commercial operation began - Grumeti has been managed by Singita, a highly regarded South African lodging and safari company. The reserves are really three contiguous hunting blocks with Sasakwa at the center: Grumeti Game Reserve, Fort Ikoma Open Area and Ikorongo Game Reserve. Hunting blocks are supposed to generate income for the central government and local districts through the sale of hunting licenses and trophy fees. Grumeti Reserves would make no financial sense, as far as the government is concerned, if the hunting revenues from these blocks simply vanished. Jones's solution has been to pay the hunting fees and nearly eliminate hunting.
In a sense, Grumeti Reserves is a private extension of Serengeti National Park. If it had been up to the wildebeests, the reserves would have been part of the park from the beginning. The conservation gains are immediately obvious. The reserves add protected land to the western corridor of the Serengeti, right in the path of the great migration. Hunting blocks that were legally overhunted and commercially poached - and that were perfectly positioned to intercept wildlife - are now carefully guarded. Dozens of poachers have been arrested and thousands of wire snares destroyed. Resident herds of animals have quickly rebounded in the reserves, though the behavior of some species still shows how heavily they were hunted.
In the midst of all this is Sasakwa Lodge, a cluster of elegant colonial cottages with a spa and equestrian center on Sasakwa Hill. At $1,500 a night (part of which goes to the government as "hunting" revenue), Sasakwa is one of the most luxurious resorts in Africa. Which leaves only a few questions: Do you really need a pedicure after watching a cheetah with her cubs? And do you judge conservation solely by the good it does? Or do you judge it by the good it does, divided by the number of people who are able to witness and directly benefit from it?
What makes these questions more complicated is that Grumeti Reserves borders the fastest-growing human population anywhere around the Serengeti between the park and Lake Victoria. Some call it a "human fence."
One afternoon, instead of going south out of Sasakwa, Fuller and I drove north, out the service entrance. We were joined by Barbara Schachenmann, a Tanzanian of Swiss origin who coordinates community relations for the Grumeti Fund, a foundation still partly underwritten by Jones but designed to direct some of the profits from the reserves into the villages that border it. We passed the guides' houses and a helicopter hangar and the lodge's generators. An askari raised a gate for us. Then we drove over a stone bridge and into a different set of expectations.
The district was densely settled. The long, and now somehow smoky, gravel road seemed like the convergence of paths coming in from the countryside and braiding away again. It felt as though there were a new impulse, a new intention in the landscape, every few dozen yards: a small patch of maize or sunflowers; the driver of a broken-down Land Cruiser camped out and waiting for a part, which might take days to reach him; women washing clothes along the roadside; maintenance facilities and staff housing and a warehouse for the reserves; a few rows of sorghum; piles of burned bricks; a school with a neatly swept dirt yard lined with white stones; and then zebu cattle (a few of them as big as a wildebeest) walking along the ditch. I realized that a certain Africa - its wildlife and their habitat - had been naturalized for me long before I ever caught a glimpse of it. But nothing had ever naturalized the life of the human districts for me. I found it hard to believe the two could be contiguous.
At a village called Singisi, where the people are Issenye and Datoga, we watched a rehearsal for an H.I.V.-education dance whose overt sexuality had the whole village laughing. We saw wells that had been dug by the Grumeti Fund and schools it had built, as well as a piggery and a building that would soon house a sunflower-oil press. We passed fields of artemisia being grown, with Grumeti logistical support, for their antimalarial properties. We passed Grumeti vehicles carrying villagers up to their jobs at Sasakwa Lodge. At a village called Natta Mbiso, Fuller steered the Land Rover over a dirt berm, and we followed a bicycle track a couple of kilometers through the bush to a cluster of thatched houses shaded by bougainvillea. The place was called Bugerera, a name that, for all I know, means "No Elephants, Please." There we found an irrigated garden, a farm in the shade of enormous fig trees where sugar cane and bananas and cassava grow beside bell peppers and carrots and marjoram. The air was lush with moisture, the soil black, not red. The forest seemed to climb over itself toward the ridges. There has been a market garden here for years, and the hope is that soon it will provide most of the vegetables and herbs for Grumeti Reserves. But to the main road there is now only a dusty trail with the track of a puff adder leading across it.
For the people in this district, the hard boundary with wildlife conservation used to be the edge of Serengeti National Park. The land in between was porous. Now the hard edge is the boundary of Grumeti Reserves. Wherever you find that edge - in Africa or anywhere else - you come across a cultural border that causes puzzlement at best, resentment at worst. It's worth exploring that border, though doing so isn't yet a regular activity at Grumeti, just to give the reserves its proper context. How abrupt the edge is became clear on the road back up to the lodge. One minute we were threading our way through a herd of goats and zebu cattle. The next we were being greeted at Sasakwa by a man from one of the villages we had just visited. He was wearing a Grumeti Reserves uniform (khakis and a polo shirt) and holding a silver tray of cool, damp washcloths to wipe off the dust. In a few kilometers, we had moved from a poor world shaped by livestock to a rich world shaped by wildlife - but both indisputably governed by humans.
On my last day at Sasakwa, I stood on the east bank of the Grumeti River beside the corpse of an old buffalo bull. He lay in Ikorongo Game Reserve, which, like most of the land in Grumeti Reserves, was vacated in the 1970's by order of the Tanzanian president, Julius Nyerere, as part of a plan to urbanize - to village-ize, really - people who lived in rural areas. Sometime that day the bull had risen from his night bed in the tall grass, taken a few steps toward the east and fallen. You could see the signs of his last struggle in the mud around his muzzle. Then the vultures that nest in the fig trees along Grumeti began carving a bloody porthole where his tail used to be. They ate as far into him as they could, but their beaks and talons were too weak to open his hide. Only a lion or hyena could do that, and so far none had found this corpse. So the old bull lay there nearly whole. In Africa, this is a dignified death.
We had come hoping to see a banquet of hyenas standing around the carcass, bickering over seconds, or perhaps just a rubble of bones and a horn boss that would, in time, be eaten by horn moth caterpillars. But the old buffalo lay nearly unconsumed, still black and barrel-sided, because there were wildebeests and zebras all around him. In the old days, five or six years ago, there was every chance this bull would have been snared or shot by a poacher, his carcass swallowed by the commercial market for bush meat. In the older days still, there was every chance he would have died of rinderpest. The wildebeests around us were drunk on lust and territory and so much grass after good rains. The predators were drunk on lust and wildebeests. The buffalo was so much extra meat.
It was just too dark for the tsetse flies to be bothersome. Their narrow, harrying whine had followed us while we were looking for the bull. His terrain was also theirs. Ever since I got to Sasakwa, I had been trying to make sense, if only an ethical sense, of the absence of humans. The tsetse flies were another clue, more powerful in their own way than hunting block leases or wildlife laws or the good intentions of a socialist president. Tsetse transmit African trypanosomiasis, or sleeping sickness, which in East Africa kills mostly livestock. It was tempting to say, simply, that the flies had kept people out of this habitat by killing their cattle. I was told that several times. But the answer is more complicated and more interesting.
The rinderpest plague that began in the 1880's was followed by famine, by smallpox, by locusts - a series of biological bombs that ended a way of life. Rinderpest destroyed the cattle herds and the wealth of the people, and the resulting famine sent the survivors into exile in search of food. Where cattle had once grazed in what was then Tanganyika, the bush took over and with it the tsetse. Everything suggests that there was less trypanosomiasis, both the human and cattle kinds, in Africa in 1837 than in 1937, when an entomologist mapped the spread of tsetse in Tanzania. (There was probably also less in 1837 than there is in Africa today, now that the disease has been set loose by the chaos of civil war.) Before rinderpest, cattle grazing had fenced the tsetse into distinct and well-known belts where the wildlife lived. As Henry Stanley put it, tsetse were the invariable sign of "an extensive habitat of game." Then the cattle died.
We are so used to the swift expansion of human settlement that the swift expansion of wilderness is almost unimaginable to us. But that is what happened. In the early 20th century, much of Tanzania had to be resettled from within, but on very different terms, since the bush and the tsetse had taken over vast tracts of land. Those tracts, in many cases, were the ones eventually set aside for wildlife conservation. Laws and leases make the balance sound relatively stable now. But some of the same oscillations continue. The human population just outside Grumeti Reserves grows quickly enough on its own. A drought last year pushed many of the Sukuma people into the districts just on the edge of the Serengeti and the reserves. The poaching that once might have been called subsistence hunting is now an important part of the commercial economy of Africa, including the districts bordering Grumeti. No one really wants to talk about it, because no one is sure how high up the political ladder the money rises.
Sasakwa Lodge looks south to the center of the Serengeti ecosystem. The line of smoke you often see on the southern horizon rises from a firebreak along the park border. But there are other fires even closer, more and more of them all the time, the cooking and brick-burning fires of an Africa that has been kept at bay to leave room for wildlife. To see the smoke from those fires, you would have to look in a different direction, and no veranda points that way. So you have another cup of tea and look south again, out at the fullness, the familiarity of nature.
I lingered over my tea, like everyone else, shaded by the deep veranda. I stared and stared at the landscape while I was in Africa, but it would not stay still. A sky that was thick with clouds in the morning had burned clear by noon. The giraffes I saw the day before were suddenly whistling thorn trees. The sun went down behind a mountain I was sure lay in the east. Some of this was my own confusion, of course. But most of it was the hard task of learning to see around the edges of what you think you've already seen. All the permanence I could find was right in the present.
Essentials: Grumeti Reserves, Tanzania
BEFORE YOU GO
Visas are required for United States citizens to enter Tanzania. Vaccines for yellow fever, hepatitis, typhoid and rabies, as well as malaria prophylactics, are recommended by the United States Centers for Disease Control and Prevention (www.cdc.gov).
GETTING THERE
The closest airport to Grumeti Reserves is Kilimanjaro International Airport, near Arusha; from the United States, the most convenient connections are on KLM through Amsterdam. You'll generally need to overnight in Arusha before continuing by plane to Grumeti. Recommended hotels in Arusha are the downtown Arusha Hotel (www.arushahotel.com; doubles from about $180) or the Arusha Coffee Lodge (www.elewana.com/acl; doubles from $260), set in a coffee plantation near the Arusha municipal airport.
GRUMETI RESERVES
Many United States bookings for Grumeti are handled by Micato Safaris (800-642-2861; www.micato.com), which also does an excellent job of handling all trip logistics. At Grumeti, there are three choices for lodging: Sasakwa Lodge, set high above the plains, with views of the African savanna and animals in the distance; Sabora Plains Tented Camp, air-conditioned tents on the grassland for a deeper bush experience; and, opening in December, Faru Faru River Lodge, in the woods overlooking the Grumeti River. Along with twice-daily game drives or bush walks led by superb guides, Grumeti offers bicycling on the plains, horseback riding, tennis, archery, and a full gym and spa. Food is well prepared and beautifully presented, and there is a terrific wine cellar. www.grumetireserves.com; doubles from $1,020.
 
Back
Top Bottom