Mbowe, ni wakati sasa wa kumpa Sugu Uenyekiti wa CHADEMA pamoja na (KUB)

Miaka 10 ya uongozi wa Mbowe ilimalizika mwaka 2014, lakini kwa sababu ambazo chadema wanazifahamu wao wenyewe mpaka sasa bado yupo madarakani. Neno demokrasia kati yale maneno yanayotengeneza CHADEMA limesalitiwa. Ingawa binafsi namuona Mbowe kama ni kiongozi mwenye maono kumzidi Sugu. Huyo mbunge wa Mbeya mjini hana ile sifa ya asili ya kuwa kiongozi mkuu wa Chama, ana jazba pia anakosa hekima ya uongozi ambayo huambatana na umri wa mtu. Ni kweli CHADEMA wanahitaji kuitendea haki maana ya neno demokrasia, lakini mrithi wa Mbowe ni lazima awe na viwango vya uelewa alivyonavyo Mbowe na ikiwezekana awe zaidi yake. Profesa Baregu na Profesa Safari ni watu wenye elimu, maarifa, ujanja wa kiasiasa na busara nyingi za uongozi, ambazo zinaweza kuijenga CHADEMA, na kuendeleza pale alipofikia Freeman Mbowe.
Ushauri huo peleka lumumba
 
Wanaukumbi.

Leo bungeni Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kuwa yeye ndiyo mbunge pekee aliyepata kura nyingi jimboni kwake ameenda mbali zaidi na kusema angetakiwa kuwa Waziri Mkuu.

Kama kupata kura nyingi ndiyo kigezo cha kuwa kiongozi basi hayo yangeanzia ndani ya chama chake Chadema wampe uongozi wa chama kabla ya kutamani kuwa Waziri Mkuu kitu ambacho akiwezekani kwa kuwa Chadema hawakushinda kwenye uchaguzi mkuu..

Maneno ya Sugu ni ya msingi siyo ya kuyapuuza ni wakati sasa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kumpisha Sugu kwenye nafasi ya Uenyekiti pamoja na kumpa uongozi wa kuwa Mkuu kambi ya upinzani Bungeni.
Mkuu Ritz wenye chama chao watakukuhukumu!! Chama hakitolewi kwa vikaratasi
 
Wanaukumbi.

Leo bungeni Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kuwa yeye ndiyo mbunge pekee aliyepata kura nyingi jimboni kwake ameenda mbali zaidi na kusema angetakiwa kuwa Waziri Mkuu.

Kama kupata kura nyingi ndiyo kigezo cha kuwa kiongozi basi hayo yangeanzia ndani ya chama chake Chadema wampe uongozi wa chama kabla ya kutamani kuwa Waziri Mkuu kitu ambacho akiwezekani kwa kuwa Chadema hawakushinda kwenye uchaguzi mkuu..

Maneno ya Sugu ni ya msingi siyo ya kuyapuuza ni wakati sasa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kumpisha Sugu kwenye nafasi ya Uenyekiti pamoja na kumpa uongozi wa kuwa Mkuu kambi ya upinzani Bungeni.

Kwani ana hisa kwa ile saccos?
 
Mbona hata Lusinde kapata kura nyingi kuliko Majaliwa? Usipande maneno yako kwenye kauli ya Sugu hakumaanisha hilo
 
Miaka 10 ya uongozi wa Mbowe ilimalizika mwaka 2014, lakini kwa sababu ambazo chadema wanazifahamu wao wenyewe mpaka sasa bado yupo madarakani. Neno demokrasia kati yale maneno yanayotengeneza CHADEMA limesalitiwa. Ingawa binafsi namuona Mbowe kama ni kiongozi mwenye maono kumzidi Sugu. Huyo mbunge wa Mbeya mjini hana ile sifa ya asili ya kuwa kiongozi mkuu wa Chama, ana jazba pia anakosa hekima ya uongozi ambayo huambatana na umri wa mtu. Ni kweli CHADEMA wanahitaji kuitendea haki maana ya neno demokrasia, lakini mrithi wa Mbowe ni lazima awe na viwango vya uelewa alivyonavyo Mbowe na ikiwezekana awe zaidi yake. Profesa Baregu na Profesa Safari ni watu wenye elimu, maarifa, ujanja wa kiasiasa na busara nyingi za uongozi, ambazo zinaweza kuijenga CHADEMA, na kuendeleza pale alipofikia Freeman Mbowe.

Alichaguliwa Kwa kura asilimia Nafikiri 97% Hakuna Ukomo wa Kuwa Mwenyekiti CHADEMA, Chadema walifanya Uchaguzi Sept 15, 2014 nafikina Mbowe mwenyewe akawaomba Wanachama wanaotaka "kupimana na yeye ubavu" wagombee, nafikiri alijitokeza mmoja. Mbowe anapendwa Chadema, Kama Nyerere alivyopendwa CCM, Hilo halina Ubishi.

Mbowe tena Chadema, achaguliwa kwa kishindo kuongoza chama hicho
 
Akili au uwezo wa mtu kufikiri haupimwi kwenye degrees tu,kuna watu wengi ni incompetent lkn wana hizo degrees. Lakini pia wapo wengine very competent lkn hawana hizo degrees. Fuatilia historia ya Nehemiah Mchechu na mafaniko yake pale NHC kisha ulinganishe na yale mashirika yanayoongozwa na wasomi wengine(Posta na simu,nk.)People are born genius, we are going to school just to polish our brains, not to learn to be genius.

Abraham Lincoln Rais wa Marekani wa 18 Ambaye Amejengewa hata na Mnara Kwenye Ikulu ya Marekani Na Sura yake Kuchongwa Kwenye Mlima wa Makumbusho, Hakuwahi hata Kusoma Darasa la kwanza. Alijifundisha Mwenyewe Kuandika, Akajifundisha Mwenyewe Mpaka akawa Mwanasheria.
Ukweli Kwa Tanzani Mtu anayelingana na Mbowe Kisiasa, Na kwa Kuwa Pioneer wa Siasa Ni Mwl. Nyerere. Tungechonga Sanamu Kwenye Milima Leo, Billa Unafiki wowote, Hata Kama Zingekuwepo sura za Wengine, Wa Kwanza ni Mwalimu Nyerere wa Pili Freeman Mbowe.

Excuse me! Ivi what level of Education has he kwanza? By the way tunakoelekea next electns watatakikana wagombea wenye atleast degree 1 up to masters! Am sick and tired of Bartenders/madalalis/Djs/school drop outs kuwa Member of Parliaments! Inafika wakati Watanzania wataelea umuimu wa kuwa na Wabunge wasomi wenye Masters na Degrees! And not by the way Mps we have todate!
a good example is PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI kuchagua Mawaziri almost all of them with Masters and Phds! ELIMU matters Alot kwenye uongozi wa nchi yeyote Duniani!
Nani kasema ukiwa na Elimu hizo utakua kiongozi mzuri ?!?!
Wenye sifa hizo wamefanya madudu walipo pewa nafasi, wamekuwa ni watu wa kukurupuka tu... Hivi unajua sifa za kiongozi?!?! Ever heard of transparency?,

Excuse me! Ivi what level of Education has he kwanza? By the way tunakoelekea next electns watatakikana wagombea wenye atleast degree 1 up to masters! Am sick and tired of Bartenders/madalalis/Djs/school drop outs kuwa Member of Parliaments! Inafika wakati Watanzania wataelea umuimu wa kuwa na Wabunge wasomi wenye Masters na Degrees! And not by the way Mps we have todate!
a good example is PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI kuchagua Mawaziri almost all of them with Masters and Phds! ELIMU matters Alot kwenye uongozi wa nchi yeyote Duniani!
Nani kasema ukiwa na Elimu hizo utakua kiongozi mzuri ?!?! Mbona
Wenye sifa hizo wamefanya madudu walipo pewa nafasi, wamekuwa ni watu wa kukurupuka tu... Hivi unajua qualities za kiongozi mzuri, je masters na ma PHD ni among of em ?!?!
 
Abraham Lincoln Rais wa Marekani wa 18 Ambaye Amejengewa hata na Mnara Kwenye Ikulu ya Marekani Na Sura yake Kuchongwa Kwenye Mlima wa Makumbusho, Hakuwahi hata Kusoma Darasa la kwanza. Alijifundisha Mwenyewe Kuandika, Akajifundisha Mwenyewe Mpaka akawa Mwanasheria.
Ukweli Kwa Tanzani Mtu anayelingana na Mbowe Kisiasa, Na kwa Kuwa Pioneer wa Siasa Ni Mwl. Nyerere. Tungechonga Sanamu Kwenye Milima Leo, Billa Unafiki wowote, Hata Kama Zingekuwepo sura za Wengine, Wa Kwanza ni Mwalimu Nyerere wa Pili Freeman Mbowe.

Mkuu acha uongo wadanganye Bavicha labda watakuelewa unamfananisha Mbowe na Lincoln daah!! Unasema kajifundisha mwenyewe amekuwa Kubenea.

Pata darsa kiduchu hapa.

Abraham Lincoln was a totally self-educated man. Though his childhood education was very limited, he learned much from books. When he was young, his mother died from drinking milk from a cow that had eaten the poisonous snakeroot plant. His father left the cabin and Abe and came back with Lincoln's new mother who started his childhood education.It was hard to find a good teacher, and good schools were rare on the frontier. Everyone who could read and write was asked to be a teacher. To repay the teachers, families gave a teacher as much extra food as they could spare, such as deer meat, ham, corn, animal skins, or produce because money was often unavailable. Lincoln's teachers were Andrew Crawford, Azel W. Dorsey, and a man known as Sweeney. There was no fixed school year, because students went to school whenever there was a teacher to teach them. Teachers used a whip to keep the students in order. If students misbehaved, they had to wear a dunce cap and sit in the corner for the day. Abe thought school was simple. He did his work at night because of chores during the afternoon, and he sat in front of the fireplace, where he would get his only light. He did his arithmetic on a fire shovel because paper was hard to get.Abe first went to school in the winter of 1815-1816 when he was six years old. He was happy to walk the four long miles to school and always arrived at school early. School opened in the winter because there were not many chores to be done around the house. The school was a one-room log cabin with one teacher and students of all ages and sizes. There were small children and large husky farm boys. It was called blab school, because the teacher made the Students read out loud, so they would not mispronounce words. Students also recited their lessons out loud to the teacher and the rest of the class. Abraham went to school when he was 6, 7, 11, 13, and 15 years old. All the time he went to school did not add up to a year. Abe did, though, remember much in between his schooling. At age 21 he could read, write, do arithmetic, and cipher to the rule of three, which was as much as most teachers in Indiana could do.Abraham Lincoln's sister taught him and encouraged him to write. When he got tired of doing arithmetic, he would write poems. Many years later he wrote about how hard it was to find a school teacher. If a straggler supposed to understand Latin happened to sojourn in the neighborhood, he was

looked upon as a wizard. Since paper was hard to get, Abe sometimes wrote in the dust or snow. Abe had extremely good handwriting, so good in fact that neighbors would ask him to compose letters for them.Abe received most of his education from the books he read. As he grew up, he became fascinated with books. He loved to read every minute of his spare time. When he went out to plow a field, he put a book under his shirt and read at the end of rows when the horses were resting. His best friend, Dennis Hanks, said, "I never saw Abe after he was 12, that he didn't have a book in his hand or in his pocket. It just didn't seem natural to see a guy read like that." Books were scarce in the backwoods, and each book he got was precious. The Lincolns did not have any books and Abe was forced to borrow. He was willing to walk miles to get a book that he might read over and over. Abe read everything he could get his hands on and once told his family, "My best friend is the man who will give me a book I haven't read." He read the Bible several times and other books such as Pilgrim's Progress and Aesop's Fables. His favorite book had a very long title: The Life of George Washington, With Curious Anecdotes, Equally Honorable To Himself and Exemplary To His Young Countrymen. He tucked the book into a corner of the loft. During one night, rain from a big storm stained the cover of the book. To pay for the damage, Abe spent three days harvesting corn for the farmer from whom he borrowed it. George Washington later became one of Lincoln's heroes. One time, Abe walked twenty miles to borrow a book about the United States. In fact, he loved reading so much, he even read a spelling book. He used school books such as Murray's English Reader and Pike's Arithmetic.Abraham Lincoln's childhood education was poor, but that did not matter. With determination and his love for reading, he became one of the greatest presidents of all time. When he was young he stood in doorways and on tree stumps and imitated speakers. He had no idea that someday he would be speaking to not only a country, but the world.� [From Michael Baron, Who Was Lincoln?; Keith Brandt, Abe Lincoln: The Young Years; Richard Kiegel, The Frontier Years of Abraham Lincoln; Larry Metzger, Abraham Lincoln; Earl Miers, Abe Lincoln in Peace and War; Russel Shorto, Abraham Lincoln To Preserve the Union; Rebecca Steoff, Abraham Lincoln.]
 
Huna somo la Kunipa wewe kwa Kukopi na Kupest. Mimi Nimesoma Literally Vitabu zaidi ya 4000 na Vingi vikiwa vya Maswala ya Siasa na Falsafa. Nilipokuwa Shule ya Msingi Woka-Mashati Rombo Nilikuwa Nasoma Kila kitu Maktaba waalimu walikuwa wakininyanganya Vitabu wakihofia Nitafeli kwani Nilikuwa Nasoma si tu Tujifunze Lugha Yetu, Nilikuwa Nikisoma habari za Wahindi Wekundu, Na Mao wa Uchina bila Kusahau Vitabu vyote Vinne vya Alfa Lela Ulela. Acha Kabisa Dogo!

Nilichosema Ni nini Na Ulichokopi na Kupesti Nini, Mimi nimesoma Biography za Kila aliye yeyote Duniani, Historia, Mataifa. Nk. Nimesoma Kwa Undani Kila Kiongozi Unayemjua sio Kukopi na Kupesti. Nimesoma Walivyoanza, Mpaka Walipofikia Kilele, na kwa wale Walioanguka walivyoanguka. Nimesoma kwa Undani habari za Viongozi na Watu maarufu Duniani. Kumbeza Mbowe ni Kutojua kuevaluete watu au tu unalako jambo
 
Sugu mtaalamu wa disko aje awe mwenyekiti aaah
hivi elimu ya sugu si sawa na mbowe
Kwani tatizo liko wapi? Eti elimu na mziki.
Mbona Mbowe pia anaitwa DJ?
Mbona Kubenea naye, kwa maneno yake mwenyewe, ana elimu ya hapa na pale na hiyo haijamzuia kuwa kamanda wa kutumainiwa chadema?
Mnyika ni naibu katibu mkuu lakini elimu yake ni ya sekondari na ni mmoja wa makamanda wa kutumainiwa chadema?
 
Wanaukumbi.

Leo bungeni Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kuwa yeye ndiyo mbunge pekee aliyepata kura nyingi jimboni kwake ameenda mbali zaidi na kusema angetakiwa kuwa Waziri Mkuu.

Kama kupata kura nyingi ndiyo kigezo cha kuwa kiongozi basi hayo yangeanzia ndani ya chama chake Chadema wampe uongozi wa chama kabla ya kutamani kuwa Waziri Mkuu kitu ambacho akiwezekani kwa kuwa Chadema hawakushinda kwenye uchaguzi mkuu..

Maneno ya Sugu ni ya msingi siyo ya kuyapuuza ni wakati sasa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kumpisha Sugu kwenye nafasi ya Uenyekiti pamoja na kumpa uongozi wa kuwa Mkuu kambi ya upinzani Bungeni.
Wapi imeelezwa ili kupata Uenyekiti wa Chama uwe umepata kura nyingi katika uchaguzi Jimboni mwako??

Mhe Mbowe anawapasua vichwa sana Fisiem...
 
Back
Top Bottom