Mbowe ndani ya Bunge

Wachangiaj wooote n wale ambao hawana kash kash! M2 anataja majina ya watoto zake wooote na mke, atakuja mmoja atataja mpk mama mkwe!
 
hivi kiongoz wa upinzani anatumia lugha ya matusi kwa manufaa ya nani? sisi wapiga kura tunamuelewa?
Huna aibu wewe?? Badala ya kuongelea habari ya umeme kuwaka au kutowaka unaongelea kushikwa mashati... Ndio nyie hata hela ya jenereta hamna na hapo umevizia computer za ofisini umeme bure ukirudi home mnapikia kuni lakini unajifanya huoni matatizo kukubwa kwako ni Mbowe kushikwa shati zaidi ya hili giza. We lazima ni mpemba tu unaonekana mvivvu sana we mke wa malaria sugu
 
Anasema atahakikisha wanaozunguka mgodi ndio wanaulisha mgodi!anasema kuna kaz ya kuzoa chuma chakav wanapata watu wa kahama!afu anasema et wanasiasa uchwara!sijui anamlenga nani
 
Inasikitisha sana viongozi wa CCM wanatofautiana katika mitazamo na ari ya utendaji....Kamati ya nishati chini ya bwana Makamba J..imetoa ripoti na mapendekezo lukuki ambayo yamekubalika hata kwa CDM, ingawa imeonekana kutokubalika kwa baadhi ya Wenzake wa CCM. Hali hiyo imepelekea Mbowe kumpongeza kwa kazi nzuri na kumualika ahamie chadema maana anasifa zote za utendaji ndani ya CDM na akiwa huko atapiga kazi zaidi ...Jamani sasa naomba nimwambie bwana Mbowe tunapojenga nyumba moja kwa nini tugombanie fito? hebu tuwe na siasa endelevu na sio kuhamishana vyama.. sio wote walio chadema wanaweza kuleta mabadiliko na mapinduzi ya kweli.....na sio wana CCM wote ambao hawajiwezi..
Nawasilisha...........
 
Nyangwine katumia lugha kali!amesema atatumia mapanga!naona Lukuvi kaomba utaratibu!afute kauli.
 
hao ccm wanaochangia kwa jazba sana leo wametoka wapi? walikuwa wapi siku zote?....usanii tu...bajeti zote ni feki tena sana tu
 
Si ndiye Makamba huyuhuyu ambaye wiki 3 zilizopita mlimponda sana hapa jamvini kuwa amekula hongo kutoka Barricks. Leo amegeuka lulu na kuanza kumpongeza? Kweli nimeamini akili za MAGWANDA ni ndogo zaidi ya haradari.
 
Si ndiye Makamba huyuhuyu ambaye wiki 3 zilizopita mlimponda sana hapa jamvini kuwa amekula hongo kutoka Barricks. Leo amegeuka lulu na kuanza kumpongeza? Kweli nimeamini akili za MAGWANDA ni ndogo zaidi ya haradari.
kwa hyo unataka m2 hata akiongea point apingwe au wewe umezoea kusifiwa daima,mi nafikiri wewe ndio una akili ndogo kuliko neno ndogo lenyewe,mtu anapewa stahili yake akifanya vyema unampa pongezi na akikosa pia unamkosoa mi sioni shida?
 
Si ndiye Makamba huyuhuyu ambaye wiki 3 zilizopita mlimponda sana hapa jamvini kuwa amekula hongo kutoka Barricks. Leo amegeuka lulu na kuanza kumpongeza? Kweli nimeamini akili za MAGWANDA ni ndogo zaidi ya haradari.

Kuna mtawala mmoja wa Russia enzi hizo aliwahi kusema mawazo ya wananchi yaliyo mengi ni upuuzi cha msingi wakupende ila ni vigeugeu tu.
Mbowe leo akimsifia Rostam utaona hapa JF pro-Mbowe wote wanamsifia na kumpamba.
Mna shida kweli nyie wenye mapenzi na viongozi.
 
Back
Top Bottom