Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 44
Katika pita pita yangu nimekutana na mfululizo wa makala hizi ambazo Mbowe aliandika mwanzoni mwa mwaka 2007. Miaka miwili imepita toka wakati huo, je, maneno aliyoyatabiri wakati huo yametimia?
Mfululizo wenyewe unapatikana hapa: Nchi imekwama; tayari Kikwete amelemewa
Pia soma maelezo yake ya wakati huo kuhusu Hotuba ya Kikwete bungeni, kwa kupitia waraka wake wa kwanza mpaka wa sita wa Mbowe kwa Kikwete: Makala za Freeman A. Mbowe, Mwenyekiti Taifa
Mbowe ukichanganya na Dr Slaa, ukamweka na Zitto Kabwe, pembeni Tundu Lissu halafu Profesa Baregu akawa jirani unapata chama mbadala tumaini jipya la watanzania-CHADEMA.