Mbowe mwanasiasa au mfanyabiashara?

SURNAME's Join Date : 10th February 2011 Posts : 4 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power : 0 Yaani juzi tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

profile yake uliyopost hapa inahusiana vipi na mada?
Kwanini tunashindwa kujadili topic tunaanza kumchambua mtoa topic.
Back to the topic: tittle na contents havihusiani, sijui dogo unataka kutuambia nini.
 
na wewe huna tofaut na yeye! Unataka wa2 wajadil hta vcvyokuwa na maana? Jadiliana nae wewe coz inaonekana umemwelewa kulko sisi!
profile yake uliyopost hapa inahusiana vipi na mada?
Kwanini tunashindwa kujadili topic tunaanza kumchambua mtoa topic.
Back to the topic: tittle na contents havihusiani, sijui dogo unataka kutuambia nini.
 
na wewe huna tofaut na yeye! Unataka wa2 wajadil hta vcvyokuwa na maana? Jadiliana nae wewe coz inaonekana umemwelewa kulko sisi!

Kila mmoja ana uhuru wa kutoa maoni/mawazo yake ukipenda utacomment ukiona imekaa vibaya unasepa.....
 
Surname... kweli umechanganyikiwa

Heading na content haviendani

Almost heading to crappy dude
 
Kila siku nasema majitu mengi humu yanaweka ushabiki wa vyama mbele..vyama karibu vyote hapa bongo havina jipya,ndo maana kila siku nalilia wagombea binafsi...ukinambia mtu kama dr slaa na zitto kabwe kama wanamabadiliko wa kweli ntakupa dole lakini si hawa wanasiasa wa misimu tu then chali.....ushabiki wenu pelekeni kwenye vikao vya vyama,c'mon....
 
Safi sana kama ndio alivyofanya maana mie sina macho sijaona asante kwa kunitazamia............
We dogo rudi dodoma umakue.
Hujachangia chochote kuhusu topic na content.....the only thing you are doing is pretending huna side huku ukijisahau kuwa upo uchi, unajulikana unayoyasimamia aitha kwa kutumwa au kwa kujituma mwenyewe kwa sababu zilizo wazi kwetu tunaokufahamu.
Kama unataka respect, kuwa moto au baridi usijifanye vuguvugu utachekwa.
 
We dogo rudi dodoma umakue.
Hujachangia chochote kuhusu topic na content.....the only thing you are doing is pretending huna side huku ukijisahau kuwa upo uchi, unajulikana unayoyasimamia aitha kwa kutumwa au kwa kujituma mwenyewe kwa sababu zilizo wazi kwetu tunaokufahamu.
Kama unataka respect, kuwa moto au baridi usijifanye vuguvugu utachekwa.

Na wewe mbona uko uchi kupita mwenzako..umevua nguo zote..na watu tunakucheka pole. utamtetea mbowe mpaka mapofu yanakutoka tumia akili walau kidogo.
 
Kwanini mtu akiwa tofauti na nyie mnakuwa na chuki mbaya kiasi hiki? unataka kusema hayo maneno kwenye hiyo clip Michuzi kaya edit kaweka yake? Duh si mchezo mapenzi mengine bwana!

Nani ni nyie?? Dalili za ubaguzi na inferiority complex huanza kwa kuona wachangiaji wenye msimamo tofauti na wewe ni "nyie"!!! mapenzi yako kwa chama chako yasikujengee perpective ya kutofautisha watu usiowafahamu kwa hoja ya "sisi na nyie"
 
Kwani Mbowe aliongea kitu gani kibaya jana? Au mnafikiri upinzani ni kupinga tuu? Kweli mfumo wa vyama vingi bado ni mchanga sana hapo Bongo.
 
wanaharakati na wazalendo wooote amkeni kuna usanii unafanywa na wanasiasa amabao tuliwaamini na kuwapa heshima zapambanaji sasa naanza kuhisi kua mbowe ana maslahi yake binafsi katika siasa, gazeti lake limemsafisha rostama kwa scandal ya kutunga ambayp haina mantiki na yeye kaanza kumsifia kikwete kumbe bora hata ya zitto kutokua mnafiki kwa kuuweka wazi uhusiano na mafisadi hadharani na sio watu kama akina mbowe, sasa nimebaki kua na iman na Dr Slaa tu ambae kwa msimamo wake naamini hawezi chakachuliwa kirahisi, na kama kweli mbowe ana mgogoro wa kibiashara na bank na hivyo basi kaaamua kulegeza msimamo hiyo ni ishara tosha si mzalendo wa kweli, natoa wito kwa wapenda nchi woote kuamka na kutomlinda fisadi yoyote awe wa chadema, CCM au Cuf, maslahi ya taifa mbele
 
Subirini niwajibu mbowe kweli ni mwanasiasa na mfanyabiashara{dhambi} thn aliposifia ulitaka amtukane kikwete na ictoshe kesho uliza hivi`CCM ni wanasiasa au wafanyabiara au mafisadi wana JF watakupa majibu sawa baba
 
Kwa hili lazima tukubali jana mh. Mbowe hakuonyesha ukomavu wa siasa; kwanza kwa hili suala la kuridhia uandikaji wa katiba mpya mara zote JK ameunga mkono uishwaji wa katiba iliyopo na siyo kuandika mpya. Aidha tangu kutolewa kwa hotuba hiyo kumekuwepo jitihada kwa upande wa serikali kupiku hoja binafsi ya chadema kuhusu suala hilo. Katika hali hiyo ni vigumu ni kwa msingi hupi Mbowe alimumwagia sifa JK!
 
Siasa ya Tanzania imejawa na wasaliti, wafanyabiashara pamoja na wanafiki, wazalendo wanahesabika na ndio maana watu wanaacha kazi za kujenga jamii na kuingia kwenye siasa ili wakapate utajiri wa haraka haraka, Sina imani kama vyama vya siasa vya tanganyika vitatuletea mabadiliko, la muhimu tukomalie katiba mpya ili tupateagombea binafsi, unafiki umezidi tanzania, leo mbowe anasema kikwete ni msikivu kwa lipi? kaisha sahau kua kitendo cha ujeuri wa kutosikia malalamiko ya watu ndio ilipeleka polisi wakawauwa huko arusha na kwa unafiki mbowe alikua mbele kwenye mazishi na kusema mengi sasa iweje leo amuite kikwete muungwana na msikivu? najua wengi mtaumia na mtamituklana ila nimeamua kuongea ukweli kwani lamuhimu ni kuangalia maslahi ya nchi n asio mtu au chama, onyo kwa viongozi wa chadema tam bueni kua wananchi wapo makini sana na uzembe wowote utapelekea mpoteze hadhi yenu pamoja na imani ambayo tumekua nayo dhidi yenu, kuweni makini na simamieni maslahi ya nchi.
 
Back
Top Bottom