Mbowe mwanasiasa au mfanyabiashara?

SURNAME

Member
Feb 10, 2011
81
7
Nilifatilia kwa makini mchango wa mh.mbowe jana pamoja na mh.shibuda,kwakweli nilipata wakati mgumu kuamini macho yangu nilipoona mbowe akimwaga sifa tele kwa mkuu,na shibuda alipopewa nafasi aliwaponda wabunge wengi vijana hasa wa upinzani na kushangiliwa kwa maneno ccm,ccm!
 
what is your point?
unatuambia yaliyo tokea jana au unataka kujua kama mbowe ni mfanya biashara?

Maliza conflict kwenye mind kwanza kabla ya kuleta hoja maana kuna mawili umechanganya hapa,title na content of your presentation!

Kwa suara la biashara,naomba umtaje kiongozi au mwana siasa unae mfahamu sasa ambae hafanyi biashara
 
Junior member!!!!
Kiwete, lowasa + rostam wanasiasa au mafisadi???
Kuna tofauti kubwa kati ya fisadi na mfanyabiashara.
 
Mbowe ameingia kwenye mgogoro na benki wa kibiashara inawezekana ni njia ya kummaliza na yeye kujisalimisha lazima arudi kwa njia ya kuisifia serikali ghafla,kama ulisikiliza mchango wake jana unaweza kushangaa sifa zile za ghafla,leo kumwita msikivu,mstaarabu ilhali juzi arusha tulisema hawasikii sauti ya umma
 
mbowe ameingia kwenye mgogoro na benki wa kibiashara inawezekana ni njia ya kummaliza na yeye kujisalimisha lazima arudi kwa njia ya kuisifia serikali ghafla,kama ulisikiliza mchango wake jana unaweza kushangaa sifa zile za ghafla,leo kumwita msikivu,mstaarabu ilhali juzi arusha tulisema hawasikii sauti ya umma

matusi yangekuwa yanaruhusiwa hapa jamvini, saizi ungekuwa unapumulia mashine.
 
Tatizo lenu hampendi changamoto,mwapenda kusifia tu.Iweje tumshangae shibuda na sio mbowe?
 
Tatizo lenu hampendi changamoto,mwapenda kusifia tu.Iweje tumshangae shibuda na sio mbowe?

tatizo la bandiko lako ni heading against the contents ..... but you can also call yourself a great thinker
 
Mbowe ameingia kwenye mgogoro na benki wa kibiashara inawezekana ni njia ya kummaliza na yeye kujisalimisha lazima arudi kwa njia ya kuisifia serikali ghafla,kama ulisikiliza mchango wake jana unaweza kushangaa sifa zile za ghafla,leo kumwita msikivu,mstaarabu ilhali juzi arusha tulisema hawasikii sauti ya umma

wewe hujiulizi kwa nini tamko la EU kwa kiasi kikubwa limereflect matakwa ya CDM?Ni lini mbowe alisema rais hasikii.chadema walkout was a lawful demonstration against mchakato wa kumpata rais,fortunately wamesikilizwa kwa nini wasipongeze?
 
Mbowe ameingia kwenye mgogoro na benki wa kibiashara inawezekana ni njia ya kummaliza na yeye kujisalimisha lazima arudi kwa njia ya kuisifia serikali ghafla,kama ulisikiliza mchango wake jana unaweza kushangaa sifa zile za ghafla,leo kumwita msikivu,mstaarabu ilhali juzi arusha tulisema hawasikii sauti ya umma

myopia
 
SURNAME's Join Date : 10th February 2011 Posts : 4 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power : 0 Yaani juzi tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nilifatilia kwa makini mchango wa mh.mbowe jana pamoja na mh.shibuda,kwakweli nilipata wakati mgumu kuamini macho yangu nilipoona mbowe akimwaga sifa tele kwa mkuu,na shibuda alipopewa nafasi aliwaponda wabunge wengi vijana hasa wa upinzani na kushangiliwa kwa maneno ccm,ccm!

Ulitegemea abweke au amtukane huyo mkuu?? After all, all he could do was to either criticize or give praise on specific issues, which is what he did.
 
ss swal lko wap? Mbona huelewek? Au na wewe ndo shbuda mwnyewe? Ume2mwa wewe tena kma co na makamba basi na Rostam aziz! Shindwa!
 
Back
Top Bottom