si rahisi kwa mbunge yeyote wa cdm kuandika hizi sms! Kwanza zinaonekana ni kutoka kwa layman! Suspect no1 ni mwigulu!
Kwa jinsi zilivyoandikwa kishabiki hizo msg zinaonesha moja kwa moja zimetengenezwa kwa nia ya kuichafua Chadema, na hakuna mbunge au kiongozi wa CDM aliyeziandika. Hakuna anaeamini kuwa Nchemba anaichafua Chadema, kwa maneno au kauli gani alizotoa? Kwa hoja zipi? Nchemba ni mtaji mkubwa sana kwa chadema kisiasa kwa sababu anawafanya wananchi wajue kuwa CCM hawajui kujenga hoja na hawapo kwa ajili ya kutatua matatizo yanayowakabili wananchi. Afu pia nahisi Nchemba siku hizi kawai mkuu wa kile kitengo alichokua anashikilia Tambwe Hizza cha PROPAGANDA.
wakuu wanendelea kuweka attachment inasumbua nitaweka naomba subira.
Kwani hizo msg zimetua kwenye simu ya Mwigulu zikionyesha zimetoka kwa mwanachama wa CDM, au ni hisia tu? Maana hata mimi sizielewi kabisa hizo SMSKwa elimu yangu ya darasa la nne tena wa mchana nimetambua kuwa sms hizo hazijaandikwa na mtu yeyote wa CDM bali zimeandikwa na Mwigulu mwenyewe ili kuufuta udhalimu uliofanywa na yeye mwenyewe ili kuonewa huruma.
CDM mmejiumbua wenyewe kwa hizi sms, na huo utetezi wako hata mtoto wa chekechea huwezi kumzuga, anzisha jukwaa lako uweke propaganda zako, JF ni jukwaa huru na kile ukiletacho huchambuliwa kwa kina.