Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

Kwa jinsi zilivyoandikwa kishabiki hizo msg zinaonesha moja kwa moja zimetengenezwa kwa nia ya kuichafua Chadema, na hakuna mbunge au kiongozi wa CDM aliyeziandika. Hakuna anaeamini kuwa Nchemba anaichafua Chadema, kwa maneno au kauli gani alizotoa? Kwa hoja zipi? Nchemba ni mtaji mkubwa sana kwa chadema kisiasa kwa sababu anawafanya wananchi wajue kuwa CCM hawajui kujenga hoja na hawapo kwa ajili ya kutatua matatizo yanayowakabili wananchi. Afu pia nahisi Nchemba siku hizi kawai mkuu wa kile kitengo alichokua anashikilia Tambwe Hizza cha PROPAGANDA.
 
hapa arusha mauaji hayakuwepo au?then mama porojo elewa hatuungi mkono mauaji ila mwuaji mkubwa ni nchemba anaechochea watu wafanye fujo na atajuta siku ya hukumu yake imekaribia
 
Tatizo la Mwigulu ni ukosefu wa akili na ndio maana anapenda kuzungumzia maisha binafsi ya mtu kuliko kujenga hoja
 
Tatizo la Mwigulu ni ukosefu wa akili na ndio maana anapenda kuzungumzia maisha binafsi ya mtu kuliko kujenga hoja

nakuunga mkono na ndugu livingstone naye hakuna kitu ni zero brain
 
kweli mwigulu kaishiwa sera,hzo msg kazipika yeye mwenyewe,ingekuwa imeandaliwa na cdm ingekuwa za kiwango cha juu sio za kitoto kama hvyo,kafanya hvyo kujiosha.mwigulu kama kweli umeshiriki ktk kutoa pesa ama mawazo ktk mgogoro wa ndago damu iliyomwagika ya kijana yule itakurudia wewe,itakulilia wewe,daima damu ni nzito kuliko maji.itakutesa sana,najua hlo waliwaza sana vingnevyo katubu,dhambi hyo itakutafuna,mbona wakti wa juma kilimba mbunge mstaafu hapakuwah kutokea haya mauaji hata kidogo.
 
Kwa elimu yangu ya darasa la nne tena wa mchana nimetambua kuwa sms hizo hazijaandikwa na mtu yeyote wa CDM bali zimeandikwa na Mwigulu mwenyewe ili kuufuta udhalimu uliofanywa na yeye mwenyewe ili kuonewa huruma.
 
Hizo sms imekaa kama propaganda za siku zote Nchemba! Ushabiki huu mpaka lili yawezekana kuna agenda iko nyuma ya pazia
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Mbona kaongea vema kuwa wawe wanalumbana kwa hoja za kisiasa na sio personal issues. Mbowe amekubali kuwa criticized kisiasa na sio binafsi, he is so genius......!
 
kama msg zenyewe ndiyo hizo basi ni upuuzi mtupu, ni propaganda za kitoto sana, mfano: ohh waliomteka ulimboka ni wafuasi wa chadema kwa sababu walivaa magwanda kama ya chadema. ni mtu mwenye akili finyu sana ndiyo anaweza kuto ushahidi kama huu. hizo msg zinaonesha zimeandikwa na mwigulu mwenyewe. maana ndiyo kiwango chake cha mwisho cha kufikili...... yani njia ya uhakika kabisa ya kutoa haya mambo ya kipuuzi ni kuhakikisha 2015 ccm chali. wakichakachua kama kwaida yao nasi tuna wachakachua. hawa jaama ukiwachekea watakuingia vidole mpaka puani.
 
Upuuzi mtupu kajiandikia mwenyewe kuatafuta umaarufu.
Ujinga mtupu.lol!
Hazina mshiko wala haingii akilini kwa mtu yoyote isipokuwa huyo aliyeandikiwa.
 
Unajua wewe ni verified user sio anonymous tutakutafuta udhibitishe na useme umetoa wapi
 
Back
Top Bottom