Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

Adolph

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
895
346
Hayawi hayawi yamekua...Wananchi wa jimbo la Kibaha vijijini na viunga vyake Jumapili Hii watapata neema ya kutembelewa na viongozi wa kitaifa wakiongozwa na kamanda wa anga Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika..

Viongozi hawa wa kitaifa wa chama watafungua matawi ya chama kisha baadae watafanya mkutano mkubwa wa hadhara Mlandizi katika uwanja wa Stand ya Mzenga...

Hamasa ni kubwa sana hapa Mlandizi ambapo kila sehemu watu wanamsubiri kwa hamu kamanda Mbowe ambaye hajafika toka 2005.. Magamba yatavuliwa. Gwanda zitavaliwa..

Maandalizi ya mkutano yanaendelea na Mkutano huo unatarajiwa kuweka historia kwa mahudhurio hapa Mlandizi..

NAWASILISHA
 
Tuna matatizo makubwa sana ya maji jimbo la ubungo,

La ajabu mbunge wetu amekuwa mtalii, anakuza chama tutafika jamani?

Ndugu yangu Mnyika amekua akilia na suala la Maji kila siku..kuja kwake huku hakumaanishi amewasaliti wapigakura wake..pia amepata nafasi hii maana wanaelekea bungeni dodoma so wananchi wa Mlandizi waliwaomba wakiwa wanaelekea bungeni angalau wapite kuwasalimu..wakimaliza tu mkutano wanaelekea dodoma moja kwa moja
 
Hivi zenji mna sehemu inaitwa ubungo??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

We mbona mbaguzi sana wewe?

Tunatetea maslahi ya watu wote, hali sio nzuri ubungo, jamaa anazunguka tu. Anamsubiri Magufuli afungue stand ndio nae apate nafasi.
 
Nawaomba wananchi wote wa kijiji cha Zegero wajitokeze kwa wingi kwenye huo mkutano. Kweli chadema kiboko maana kinaipiga ccm toka kila upande wa Tanzania. 2015 tunaweza kuwa na serikali ya chadema pale magogoni ama tukawa na asilimia kubwa ya wabunge wa chadema ndani ya bunge.
 
Wewe Tume ya Katibu, Mnyika aliyekaa kwenye ubunge miaka miwili na nusu unamlalamikia hivyo, je hao wabunge wenu wa MAGAMBA waliokaa zaidi ya miaka 20 wamefanya nini? Jaribu kutumia akili yako, usisubiri kila kitu uambiwe na Nape halafu utupie hapa jf bila kuchuja! Bora utulie kuliko kuandika pumba kila siku.
 
Tume ya katiba naye....anarukiaga tu vitu hata hajui vimetokea wapi!! Badala ailaumu serikali yake ya Magamba iliyoongoza nchi hii tangu uhuru, anamlaumu Mnyika aliyeshika Jimbo mwaka juzi???? Kweli akili ni nywele.......
 
Hali ya maji sio nzuri iwe kakaa mwaka au mwezi! hii hoja dhaifu mkuu wangu.
 
Tume ya katiba naye....anarukiaga tu vitu hata hajui vimetokea wapi!! Badala ailaumu serikali yake ya Magamba iliyoongoza nchi hii tangu uhuru, anamlaumu Mnyika aliyeshika Jimbo mwaka juzi???? Kweli akili ni nywele.......

Mkuu wangu STK ONE, kwanza pole kwa kula BAN, pili issue sio muda, na hi ndio hoja dhaifu inayotolewa na baadhi ya wabunge wa upinzani wanasingizia muda, kama hawakuwa na uwezo kwa nini walitumia haya matatizo kurubuni wapiga kura?

Nakuhakikishia, 2015, wabunge wengi wa upinzani watapoteza majimbo, na upinzani utapata majimbo mapya kabisa, hili la 2010 lilikuwa jaribio kumbe na wao wana sababu zile zile zinazotelwa na chama tawala!

Mwisho mkuu wangu, Hawa wabunge wengi wa upinzani si wabunifu, wengi ni wazuri kuongea lakini hawana ubunifu.

We chama gani linategemea kulamba viatu vya sabodo kutatua tatizo la maji tanzania? tena kwa visima! kweli?
 
Tuna matatizo makubwa sana ya maji jimbo la ubungo,

La ajabu mbunge wetu amekuwa mtalii, anakuza chama tutafika jamani?

Hizo harakati ndizo zitaleta maji ya uhakika. Utakuwa huna haja ya kujaza mandoo ndani utakuwa unaenda bombani na sufuria yako tu wakati unataka kupika.
 
Hayawi hayawi yamekua...Wananchi wa jimbo la Kibaha vijijini na viunga vyake Jumapili Hii watapata neema ya kutembelewa na viongozi wa kitaifa wakiongozwa na kamanda wa anga Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika..

Viongozi hawa wa kitaifa wa chama watafungua matawi ya chama kisha baadae watafanya mkutano mkubwa wa hadhara Mlandizi katika uwanja wa Stand ya Mzenga...

Hamasa ni kubwa sana hapa Mlandizi ambapo kila sehemu watu wanamsubiri kwa hamu kamanda Mbowe ambaye hajafika toka 2005.. Magamba yatavuliwa. Gwanda zitavaliwa..

Maandalizi ya mkutano yanaendelea na Mkutano huo unatarajiwa kuweka historia kwa mahudhurio hapa Mlandizi..

NAWASILISHA

Acha uongo Stand ya Mzenga hakuna uwanja labda kama watakaa kwenye Barabara na Chini ya Umeme Mkubwa wa Tanesco ambao wenye umeme wao wanakataza. Hata hivyo nawaomba watu wa Kikongo, Mwanabwito, Ngeta, Lupunga, Kidau, Disunyara, Ruvu Station, Kitomondo pamoja na Kwala wajitokeza kwa wingi.
 
Mkuu wangu STK ONE, kwanza pole kwa kula BAN, pili issue sio muda, na hi ndio hoja dhaifu inayotolewa na baadhi ya wabunge wa upinzani wanasingizia muda, kama hawakuwa na uwezo kwa nini walitumia haya matatizo kurubuni wapiga kura?

Nakuhakikishia, 2015, wabunge wengi wa upinzani watapoteza majimbo, na upinzani utapata majimbo mapya kabisa, hili la 2010 lilikuwa jaribio kumbe na wao wana sababu zile zile zinazotelwa na chama tawala!

Mwisho mkuu wangu, Hawa wabunge wengi wa upinzani si wabunifu, wengi ni wazuri kuongea lakini hawana ubunifu.

We chama gani linategemea kulamba viatu vya sabodo kutatua tatizo la maji tanzania? tena kwa visima! kweli?

Inaelekea wewe ni mbunifu wa uzushi na umbea.
 
kama una shida na maji kawaone dawasiko,unataka mnyika awe anabeba ndoo kukuletea maji.....................kengeeeeeee
 
Mkuu wangu STK ONE, kwanza pole kwa kula BAN, pili issue sio muda, na hi ndio hoja dhaifu inayotolewa na baadhi ya wabunge wa upinzani wanasingizia muda, kama hawakuwa na uwezo kwa nini walitumia haya matatizo kurubuni wapiga kura?

Nakuhakikishia, 2015, wabunge wengi wa upinzani watapoteza majimbo, na upinzani utapata majimbo mapya kabisa, hili la 2010 lilikuwa jaribio kumbe na wao wana sababu zile zile zinazotelwa na chama tawala!

Mwisho mkuu wangu, Hawa wabunge wengi wa upinzani si wabunifu, wengi ni wazuri kuongea lakini hawana ubunifu.

We chama gani linategemea kulamba viatu vya sabodo kutatua tatizo la maji tanzania? tena kwa visima! kweli?

wepeni kodi zenu basi mwone km watshindwa.sio kodi ccm maendeleo mdai cdm wawapi nyie?
 
Nipo mlandizi na ni mkazi chadema damu. Bora mje muwavue hawa hazaramo na wakwere na mbunge wao darasa la saba walioletewa na riz 1 wazee wa madawa wote. Wananchi washamkoka mbunge huyu bora wangempa dada yetu wa chadema hata raisi slaa alipokuja alitamka ila watu wa huku walipewa wali na nguo wakauza maisha yao. Karibuni makamanda mje mvue magamba wavae gwanda. Viwanja vya stand ya mzinga ndio stand mpya. Tujuzeni na mida ili tujipanga. Peoples power.
 
Back
Top Bottom