Mbowe, Leo Jumamosi Bungeni.

mbowe hana mpya huyo. chama chake kimmshinda
If you are against CDM then you are against the well being of our people. Shame upon you! Na huu mgao wa umeme, makampuni ya mafuta kugoma kuuza mafuta ikiwepo kampuni ya serikali BP, bado unashindwa kuona na kupongeza hatua sitahiki zinazochukuliwa na CDM, mi ninafikili wewe ujiite mpinga maendeleo ya watz na co mpinga cdm
 
Na weye acha kutumia makalio yako kujibu...kama kuna akili ktk visigino basi nawe makalio ndio unayotumia kujibu
 
Hivi baba yako mzazi aliwahi kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kweli. Na weye ulishawahi kuwa kiongozi popote kweli hata kama ni kwenye club ya chibuku...sidhani maana unaumia halafu wenzio wanawiri makalio kweli
 
Unaishabikia peoples power unalijua chimbuko lake mpaka ikapenya ndani ya chadema. Ilianzia libya ambaye juzi kazika bintie kwa kichapo....usichuchumae choo cha shimo pasina kujua usalama wake.....sisi wapemba husema...kuchamba kwingi mwisho waweza ibuka na mavi tena na maana ikaondoka. Be moderate hilo ni dola baba.....ohooooooooh
 
Huyu jamaa juzi Arusha kwenye mkutano wao, anawaambia mateka wake Pro-Cdm, wasiokuwa na fikra.<br />
Mwezi ujao wataandaa Maandamano kwenda kuvamia Ofisi za Manispaa ya Arusha, kuna kiongozi hapo
<br />
<br />
jf hate preacher.
 
CDM-Kata Bana, unaniwekea picha ya Magamba ya nini mimi?
Nadhani umjui Ritz vizuri unadandia pipe kwa mbele kijana.
Kwangu mimi CCM na CDM wote ni takataka
Kwani kunamtu ana kupangia idadi ya viroba kwa siku?
 
If you are against CDM then you are against the well being of our people. Shame upon you! Na huu mgao wa umeme, makampuni ya mafuta kugoma kuuza mafuta ikiwepo kampuni ya serikali BP, bado unashindwa kuona na kupongeza hatua sitahiki zinazochukuliwa na CDM, mi ninafikili wewe ujiite mpinga maendeleo ya watz na co mpinga cdm
Mkuu anaumwa huyo achana naye sisi tumemzoea, pombe ikiisha kichwani anakuwa kijana mzuri sana
 
Unaishabikia peoples power unalijua chimbuko lake mpaka ikapenya ndani ya chadema. Ilianzia libya ambaye juzi kazika bintie kwa kichapo....usichuchumae choo cha shimo pasina kujua usalama wake.....sisi wapemba husema...kuchamba kwingi mwisho waweza ibuka na mavi tena na maana ikaondoka. Be moderate hilo ni dola baba.....ohooooooooh

Nakushauri omba msaada wa kuanzisha forum kama hii huko Pemba ili mjimwage vizuri kwa mstakabali wa visiwa vyenu.
 
CDM-Kata Bana, unaniwekea picha ya Magamba ya nini mimi?
Nadhani umjui Ritz vizuri unadandia pipe kwa mbele kijana.
Kwangu mimi CCM na CDM wote ni takataka[/QUOT]

SASA unaanza kufikiri kwa kutumia makamasi.
 
Back
Top Bottom