Mbowe kuzindua fundraising ya kujenga msikiti wa kisasa Hai

Joka kuu.

usikurupuke.

Uislam ni Dini na una taratibu zake iwe tanzania, oman au hata China wote ni kitu kile kile.

Imekatazwa kabisa kufanya au kutoa msaada kwanye kadamunassi kwani hio ni RIA na haifai kabisa. hayo yamo dhwahir katika Qur'An.

sasa Mbowe anakwenda kinyume na Qur'an na hivyo tunasiamama na kusema sio sahihi.

Je umewahi kusikia kuna Harambee ya kujenga msikiti huko Tz au popote pale zaidi ya hii ya Mbowe? jiulize kwanini?

tafakur


Waislamu wa Machame ni westernized ndio maana.
 
Faiza Foxy,

..I really dont see anything udini ktk suala hili.

..badala yake naona Mbunge anayejiweka karibu na wananchi wake.

..binafsi naona kitendo cha Mbowe kitadumisha umoja na maelewano ktk jimbo lake ambalo lina mchanganyiko wa Waislamu na Wakristo.

..quite frankly sioni tatizo kwa mwenyekiti wa chama chochote kile, kujitolea kuchangia ujenzi wa msikiti
, whether awe amealikwa au amejialika mwenyewe.

NB:
 
Hatuhitaji msaada wowote toka kwa chama cha siasa.Mbowe kama anadhani ndio njia ya kuwawin Waislam basi kakosea njia. Kama aliwachukua wachache akawahonga ili aonekane na apate publicity basi kwa hilo kachemka!Tunaojitambua tunasema NO!

hovyo kabisa!!!
Tulieni msaidiwe kujengewa msikiti nyie.

Lowasa alivyompa yule shehe wa dar yale mabulungutu 10m cash na akayashikilia ili apigwe picha vizuri hamkumuona?

Nyie watu hovyo sana nyie, kwavile sasa anayetoa ni mbowe basi kuna taratibu za kiislam.
Hovyo kabisa.
 
Ulisikia Bakhresa akigombea Urais?

Halafu ulisikia Bakhresa akiwafata hao na kutangaza kuwa kesho "ombaomba njooni Hai, ntawapa sadaka"?

Huyu Mbowe ni mdini mkubwa sana kuwa mwenyekiti wa chama chama siasa na kuanza kuigilia Misikiti ya watu.

Hata nyerere alingoja alipoikufa ndio msikiti wa hela za Gadhafi ujengwe.

nendeni mahakamani basi mkazuie mbowe asifanye fund raising kwa ajili ya msikiti.

Haovyo kabisa.
 
Uislam unakataza kutoa kitu/msaada hadharani na kwa majigambo. Unasisitiza unapotoa kwa mkono wa kulia basi ule wa kushoto usione.


Sasa nashangaa kusikia harambee ya kujenga msikiti.

Labda mnijuze ni msikiti wa Kisiasa?


Na Uislamu umekataza uongo na unafiki, kujitokeza hadharani si lazima inaweza kufunguliwa account na watu wakachangia bila kujitaja; mbona kuna misikiti mingi kina Bakhresa; Raza na wengineo wameijenga kwa kujitaja hiyo hukuiona? Au huu umekua tatizo kwa sababu mhusika ni Freeman Mbowe? Kama umeona hilo ni tatizo kwanini usijaribu kuwatafutia wadhamini wa kiislamu huko Oman ili waislamu wa Hai wapate msikiti wenye hadhi na dini yetu?

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Ulisikia Bakhresa akigombea Urais?

Halafu ulisikia Bakhresa akiwafata hao na kutangaza kuwa kesho "ombaomba njooni Hai, ntawapa sadaka"?

Huyu Mbowe ni mdini mkubwa sana kuwa mwenyekiti wa chama chama siasa na kuanza kuigilia Misikiti ya watu.

Hata nyerere alingoja alipoikufa ndio msikiti wa hela za Gadhafi ujengwe.

Mama Faiza Foxy hili ni tatizo kubwa kwa waislamu wa Tanzania, tupo mbele sana kwenye kutoa lawama na hatuji na suluhisho; Mbowe si Muislamu, taratibu za dini yetu hazijui na inawezekana kabisa hana washauri kwenye mambo yanayohusu Uislam; sifahamu analitekeleza hilo kwa propaganda za kisiasa ama kwa kuona Waislamu wa jimbo lake wanastahili kuwa na Msikiti wenye hadhi; lakin ile nia yake tu kutaka kujenga Msikiti jimboni mwake inaonyesha wazi Waislamu wa Hai wanahitaji sehemu ya ibada badala ya kutafuta cheap point ndani ya JF jaribuni kuwasiliana na mh. Mbowe mumuelekeze nini cha kufanya kubwa la msingi Waislam wa Hai wanahitaji Msikiti.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Uislam unakataza kutoa kitu/msaada hadharani na kwa majigambo. Unasisitiza unapotoa kwa mkono wa kulia basi ule wa kushoto usione.


Sasa nashangaa kusikia harambee ya kujenga msikiti.

Labda mnijuze ni msikiti wa Kisiasa?


Mathew 6:3 states:

New American Standard Bible (©1995)
But when thou doest alms, let not thy left hand know what thy right hand doeth:


King James 2000 Bible (©2003)
But when you give alms, let not your left hand know what your right hand does:

 
hovyo kabisa!!!
Tulieni msaidiwe kujengewa msikiti nyie.

Lowasa alivyompa yule shehe wa dar yale mabulungutu 10m cash na akayashikilia ili apigwe picha vizuri hamkumuona?

Nyie watu hovyo sana nyie, kwavile sasa anayetoa ni mbowe basi kuna taratibu za kiislam.
Hovyo kabisa.
Mr./Mrs. Hovyo kabisa!!! Umekuwa msema hovyo kabisa!!! Kwa sababu ya kuropoka kwako hovyo kabisa!!! Usiwe kama wale waenda hovyo kabisa!!! Usilete hoja zako za hovyo kabisa!!! Sherehe za 'ubatizo' zikafanyiwe msikitini eti kwa kuwa watachangia ujenzi wake!!! Hooovyo kabisaaa!!!
 
Bila shaka Mh. Mbowe hajui taratibu za kuchangia msikiti zilivyo. Kama haendi sawa sawa, kwa nini waislam wa Hai wasimweleze utaratibu wa kuchangia ujenzi wa msikiti unavyopaswa uwe, badala yake mnamlaumu Mh. Mbowe?
 
Bila shaka Mh. Mbowe hajui taratibu za kuchangia msikiti zilivyo. Kama haendi sawa sawa, kwa nini waislam wa Hai wasimweleze utaratibu wa kuchangia ujenzi wa msikiti unavyopaswa uwe, badala yake mnamlaumu Mh. Mbowe?

Kumbuka kuwa Uislam ni dini na dini ina tartibu zake. Mfano msikiti huo ni lazima utajengwa kuangalia Kibla. Na mwongozo wa Swala zake ni kwa mujibu wa maneno ya Allah ambao ni qur'an na matendo ya Rasul.

Ukisoma Surat Al- Maau'n 107 :4-6 inanena wazi kuwa. Adhabu kali itawadhubutikia wale wote wanaofanya mchezo katika Sala zao na wale wanao fanya mambo kwa jionyesha.

Sasa kutoa kwa dhahir au kufanya harambee ni kujionyesha kwa jamii ione umetoa kiasi gani katika kuchangia msikiti. Hilo ni kosa kubwa na Mola amebainisha uwa utapata adhabu kali sana.

Tusifanye misikiti au waislam ni ngazi ya kujipandishia kisiasa.

nampa pole kwa kuingizwa choo cha kike na washauri wake.

Lakin suala dogo sana. katimka maisha yako umewahi kusikia harambee ya msikiti? au hii ndio ya kwanza

 
Kesho tar. 10 Desemba Mhe. Freeman Mbowe atazindua fundraising campaign kwa ajili ya ujenzi wa msikiti na kanisa la kisasa huko jimboni kwake Hai. Ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya kuzaliwa kwake.


Chanzo: EA Radio

Hii ni njia nzuri ya kuwaziba midomo wanaosema CDM ni chama cha kikristo.....naomba na BAKWATA wapewe taarifa na watoe tamko juu la hili...
 
Barubaru,
Katika msikiti wa Bondeni Arusha pale nje kuna sanduku la sadaka, kwamba kila apitae anaombwa atoe chochote,
Mitaani Singida wanapita watu, wanaofahamika misikitini, wakiwa na visanduku kutoka msikitini wakiomba misaada mbalimbali ya fedha aidha kwa ajili ya ujenzi wa misikiti au kitu kingine
Hii yote ni hadharani, na lengo lijuzwa kwa waombwaji
SWALI: Hapo kitabu cha Quran kinasemaje, ni RIAH na kuwa sadaka hizi hazifai au?????
 
Usituletee porojo za vigengeni. Tupe ushahidi kuwa Waislam wa Hai walipanga leo kuchangishana na kumuomba Mbowe awajengee Msikiti kama sio sherehe za 'kubatizwa' kwake Mbowe.

Acha ushabiki wa kidini ni siku ya kuzaliwa na siyo ya kubatizwa kuzaliwa na kubatizwa ni tofauti ww
 
Uislam unakataza kutoa kitu/msaada hadharani na kwa majigambo. Unasisitiza unapotoa kwa mkono wa kulia basi ule wa kushoto usione.


Sasa nashangaa kusikia harambee ya kujenga msikiti.

Labda mnijuze ni msikiti wa Kisiasa?


Mbona Ghadafi alikuwa hatoi kwa siri?
 
Na hao Waislam wa hai wanaokubali harambee ya huyu mwenye za haram za vilabu vya usiku nasema wana walakin. Wanautukanisha Uislaam na kama kweli basi Wakiujenga huo msikiti wauite Masjid Bilicana

Toobaaa!!
 
Back
Top Bottom