MBOWE kuwafunga 'spidi gavana' wakorofi CHADEMA; Wamo Wabunge na madiwani

siasa tu hiyo hamna lolote,polisi wapo tangu uhuru hawajawafanyia wananchi vurugu,kwann leo?lazima uwe makini kidogo kutambua hili. Wenye uchungu zaidi na kujua madhara halisi ya hizi vurugu za m4v ni wale waliofiwa na ndugu zao na waliojeruhiwa
Alaah kumbe lakini walipoingia msikiti na kuua Mwembechai na Zanzibar ndio walikuwa wabaya... oooh samahani makosa yalikuwa na Mkapa na...
 
Back
Top Bottom