Mbowe kutumia gari la serikali kwenye kampeni ni sawa?

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Nimemuona Freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema taifa akitumia gari la serkali (KUB) kwenye kampeni za udiwani maeneo mengi nchini, nikajiuliza sheria inasemaje wadau.......
 
Mnafiki kama babaaaaaaaaaaaaaaaa vile,sijui umerithi kwa nani.....................si ungempiga picha. ukianza mambo haya bado mdogo ukiwa mkubwa utakuwa mchawi sanaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lakini, kutoa shutuma kama hizi(INGAWA INAWEZEKANA NI KWELI) bora kuleta uthibitisho hapa else kutaja umemuona muda gani, maeneo yapiVinginevyo itaonekana uzushi!

but kukujibu:

Nadhani ikiwa ni shughuli za kiutendaji jimboni kwake NI SAWA, ila inapokuwa nje ya hapo na kwa shughuli zingine SI SAWA.

Mara nyingi tunaona viongozi wetu(Serikali, Taasisi) wakitumia usafiri kwa shughuli zisizo stahili..mfano kwendea Shamba, Kuchukulia mizigo n.k..SI SAHIHI.
 
Haya nape Lete picha..ingekuwa kweli mngeshamimina picha wakatì hata mkutano haujaisha.
 
Nimemuona Freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema taifa akitumia gari la serkali (KUB) kwenye kampeni za udiwani maeneo mengi nchini, nikajiuliza sheria inasemaje wadau.......

Inasema kama ulivyoona
 
Ungemkamata siku hiyo hiyo umpeleke kituo cha polisi vinginevyo funga bakuli lako
 
Sikiliza Honey

Magari wanyotumia wabunge sio ya serikali ni ya kwao wenyewe

Kila mbunge akiingia bungeni kwa mara ya kwanza anakopeshwa gari na serikali then anakua anakatwa sehemu ya mshahara wake mpaka deni linapoisha

So gari uliyomuona nayo ni yake sio ya serikali, its only that the car is still under loan, na hiyo hamzuii kuitumia atakavyo

Good day

Nimemuona Freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema taifa akitumia gari la serkali (KUB) kwenye kampeni za udiwani maeneo mengi nchini, nikajiuliza sheria inasemaje wadau.......
 
Sio gari la serikali! mbowe ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani! kwa wadhifa wake amepewa gari! sioni tatizo lolote ni wivu tuu wa kike tuu!
 
Modes, tunaomba mturudishie ule uzi unaoonesha kampeni za kule Iringa ambapo zaidi ya magari matano ya serikali yalikuwa kwenye kampeni halafu ndio tujadili hili la Mhe, Mbowe plz.
 
ndege ya serikali kufanyia kampeni za siasa 2010 mama wa kwanza imekaaje nayo?
 
Kama ni kweli basi siasa nimchezo mchafu kwa wananchi na mashabiki wao
ili kuwe na kajiuzito wa jambo ili weka picha wenye jazba wafadhaike vinginevyo
itakuwa hadith tuu
 
Mbowe anayo magari hata mengine hayajui namba zake. Anyway kama kweli alienda kwenye Campaign na gari la KUB Nafikiri sio sahihi .
USHAURI
NI Vyema basi hayo maeneo ambayo ulimuona huyo Mhe; akiwa na hilo gari la serikali hayo maeneo ya huko kusini muwasilishe RUFAA mapema ili uchaguzi urudiwe mapema. jitahidi mapema kabla siku hazijaisha.
 
Nimemuona Freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema taifa akitumia gari la serkali (KUB) kwenye kampeni za udiwani maeneo mengi nchini, nikajiuliza sheria inasemaje wadau.......

Umeona Leo tar.30/10/212!???? saa kumi na moja hii anafanya kampeni????, mlete hapa tumuadabishe, asilete mchezo na mali za wananchi kama anavyofanya kikwete.
 
Sio gari la serikali! mbowe ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani! kwa wadhifa wake amepewa gari! sioni tatizo lolote ni wivu tuu wa kike tuu!

Hivi hii inatofauti na majibu ya hakina Mramba!

"Wivu wa kike tuu" ama kweli ulevi wa madaraka ni hatari kuliko wa ulanzi.
 
Back
Top Bottom