Mbowe kulifumua baraza la mawaziri kivuli; nani kuingia/kutoka?

Baraza lake jipyaa lijumuishe na wengine wa upinza aache ubinafsi

Ubinafsi gani?
wabunge wa CUF, NCCR, UDP waligoma kujiunga na kambi rasmi ya upinzani.
Ni sehemu ya CCM.
Wabinafsi ni CUF na wenzake.
 
Juzi nimeleta thread ya Chadema kufanya mabadiliko kwenye baraza la Mawaziri nimeshambuliwa sana nashukuru Mbowe kalifanyia kazi.

Unajua wanabodi wengi wamesha ku identify kama Gamba ndio maana hata ukileta mada nzuri vipi inachuliwa kwa mtizamo wa kimagamba!Vua Gamba ndio usikike!!
 
Wana jf, kwa peyote mwenye taarifa za majina ya mawaziri vivuli atuwekee hapa,taarifa za kuaminika kuwa tayari yameshabandikwa katika ubao wa matangazo wa bungeni.Na inavyosemekana ni wale wenye ..... tu ndo wame....
Nawasilisha
 
Akili ya Ngumukumeza ni sawasawa na akili ya mbunge wa Mtera yaani kama baba na mwana.
 
Kwa taarifa kutoka ndani ya wabunge wa chadema ni kuwa Mbowe yupo mafichoni akiandaa hotuba yake ya kujiuzulu baada ya kuwahadaa Watanzania hivyo baada ya tamko lake Kiuongozi mpya wa kambi ya upinzani ataunda baraza jipya litakalo shirikisha vyama vyote vya upinzani Bungeni
Wana jf, kwa peyote mwenye taarifa za majina ya mawaziri vivuli atuwekee hapa,taarifa za kuaminika kuwa tayari yameshabandikwa katika ubao wa matangazo wa bungeni.Na inavyosemekana ni wale wenye ..... tu ndo wame....
Nawasilisha
 
Kwa taarifa kutoka ndani ya wabunge wa chadema ni kuwa Mbowe yupo mafichoni akiandaa hotuba yake ya kujiuzulu baada ya kuwahadaa Watanzania hivyo baada ya tamko lake Kiuongozi mpya wa kambi ya upinzani ataunda baraza jipya litakalo shirikisha vyama vyote vya upinzani Bungeni
Wewe leta hoja sio huu ujinga wako!
 
Macho na masikio yameelekezwa kwa Sugu a.k.a profesa Jay Atapewa wizara gani? ukizingatia ukomo wa elimu yake ya kidato cha nne!!!!!!!
 
hivi kumbe majina ya ""baraza vivuli la mawaziri"" nchini tanzania hubandikwa kwenye UBAO wa matangazo kama matokeo ya darasa la saba/nne. kwa nini hawayapi hadhi ya kiwaziri kwa kuyatangaza bungeni...??

aaaaaaaah ni mtazamo tu...........................!
 
LIni ulisikia hata majina ya Baraza la mwaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanatangaziwa Bungeni?? Ni jina Moja tu linalosomwa Bungeni, Spika hupewa bahasha na rasi yenye Jina la Aliyeteuliwa kuwa waziri mkuu, na Spila huifungua barua hiyo mbele ya wabunge na kuisoma, Kisha humuita mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja, baada ya hapo wabunge hupiga kura ya kumthibisha huyo aliyeteuliwa. Lakini mawaziri wengine katiba haisemi watangaziwe kwa kubandikwa ubaoni, kwa kusomwa mbele ya TBC au hata kwa kuagiza kipeperushi chenye majina kwa mshikaji mmoja akakisome sehemu wanapopita watu wakitoka sokoni.
 
tuna safari ndefu sana kufika nchi ya ahadi, mleta mada na wadau wake wachache wako mbali sana na reality
 
Macho na masikio yameelekezwa kwa Sugu a.k.a profesa Jay Atapewa wizara gani? ukizingatia ukomo wa elimu yake ya kidato cha nne!!!!!!!
life is hard bt mo harder when ur stupid,ts vry hard for me to stand alone bt vry simple standin with a crowd of coward CCM members..
 
Back
Top Bottom